Siasa safi imekosekana Jimbo langu la Iramba!

Siasa safi imekosekana Jimbo langu la Iramba!

Miye nagombea udiwani kata ya tulya kule iramba bondeni kwenye samaki ziwa kitangiri
naomba mniombee
 
afu babu yangu yule,acha nimtingishe kidogo,ila 2025 nitaingia kwa gia zote
upo iramba kwa sasa?
Yes. Nipo Iramba huku Simbalungwala huku. Karibia na ile njia ya kuelekea Mugela kule kwa Prof. Kitila Mkumbo!
 
Kiongozi, twende hoja kwa hoja siasa haigombi bahati mbaya sana umeanza kunipunguza akili yangu kuifanya ndogo badala ya kulijibia lililoko mezani.

Haya twende kazi tuyaache hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekukubali Kiongozi. Unajua pale uliposema "shame on you" na ndiyo ukaniweka kundi la "kudidimiza Iramba" ikaniuma sana sana. Ila sasa naona tu wamoja. Tujadili namna ya kuinasua Iramba kwa wapenda madaraka hawa!
 
Back
Top Bottom