guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Miye nagombea udiwani kata ya tulya kule iramba bondeni kwenye samaki ziwa kitangiri
naomba mniombee
naomba mniombee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kumtoa yule bwana? Kila la kheri!Miye nagombea udiwani kata ya tulya kule iramba bondeni kwenye samaki ziwa kitangiri
naomba mniombee
afu babu yangu yule,acha nimtingishe kidogo,ila 2025 nitaingia kwa gia zoteUnataka kumtoa yule bwana? Kila la kheri!
Mbona unakuja na vitisho badala ya kujibu hoja?
Yes. Nipo Iramba huku Simbalungwala huku. Karibia na ile njia ya kuelekea Mugela kule kwa Prof. Kitila Mkumbo!afu babu yangu yule,acha nimtingishe kidogo,ila 2025 nitaingia kwa gia zote
upo iramba kwa sasa?
Nimekukubali Kiongozi. Unajua pale uliposema "shame on you" na ndiyo ukaniweka kundi la "kudidimiza Iramba" ikaniuma sana sana. Ila sasa naona tu wamoja. Tujadili namna ya kuinasua Iramba kwa wapenda madaraka hawa!Kiongozi, twende hoja kwa hoja siasa haigombi bahati mbaya sana umeanza kunipunguza akili yangu kuifanya ndogo badala ya kulijibia lililoko mezani.
Haya twende kazi tuyaache hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
nakuja inboxYes. Nipo Iramba huku Simbalungwala huku. Karibia na ile njia ya kuelekea Mugela kule kwa Prof. Kitila Mkumbo!
Mayu umeona thread ingine anavyojigamba Dkt Mwigulu?nakuja inbox
kule tulya ndo kwetu,
ebu nitagMayu umeona thread ingine anavyojigamba Dkt Mwigulu?