Siasa safi imekosekana Jimbo langu la Iramba!

Umemjibu vizuri sana. Mtazamo mbaya kabisa!
 
Yupo Madiluu hapa. Tafuteni wa kupambana nae.
 
Kwa hiyo wewe ndio mmoja wa wapiga kura mnaonunulika mnaoangalia pipi na soda?!ili kumpigia kiongozi wako kura. Shame on you nanyinyi ndio mnaoididimiza iramba halafu unakuja kuleta ngojera na mashairi humu.
Wala! Nimejituma mwenyewe Mkuu! Prof. Kitila unamjua wewe? Hawezi hata kukunulia soda au pipi! Vijiji vyetu jirani sana na namjua toka nitoke!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wewe ndio mmoja wa wapiga kura mnaonunulika mnaoangalia pipi na soda?!ili kumpigia kiongozi wako kura. Shame on you nanyinyi ndio mnaoididimiza iramba halafu unakuja kuleta ngojera na mashairi humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Rais anapokuwa anawagawia watu juice na soda wanapoenda pale Ikulu huwa anabembeleza kura? Akili ndogo sana wewe!
 
I see, nimeamini kweli IRAMBA Nkhulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…