Siasa siasani mtaani kimyaa kama hakuna kilichotokea

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,875
Reaction score
12,665
Lile jiwe limetupiga pakubwa urithi wake utadumu milele

Angepewa uenyekiti wa simba na yanga ingependeza zaidi mzogoo upungue tumechoka kelele wallahi
 
Ila mtaani kila mtu anaisemea vibaya hii awamu, hakuna hata mmoja anae isifia hii awamu kwa jema kila mtu ni kilio. Ni vile tu watu Wana machungu mioyoni mwao.
Labda kwenu ,huku kwetu hapana ..Huku siasa hakuna kabisa yaani hata yale maandamano sijaona watu wakizungumzia
 
Wewe itakuwa unaishi vile vijiji ambavyo wazee Bado wanajua JIWE Bado yupo madarakani kwa hiyo huwezi kusikia kelele
 
Nipeni location ya kijiwe kinacho jadili siasa nije nichangie hoja au siku hizi vijiwe vimehamia mitandaoni
 
Eti hakuna ht mmoja!
Unatumia kigezo gani wewe!
Nchi ina vijiji zaidi ya elf 10
Ila mtaani kila mtu anaisemea vibaya hii awamu, hakuna hata mmoja anae isifia hii awamu kwa jema kila mtu ni kilio. Ni vile tu watu Wana machungu mioyoni mwao.
Kwani
 
Wananchi wameshausoma mchezo hawanufaiki na hizo serekasi, wanaendelea na shughuli zao
Lile jiwe limetupiga pakubwa urithi wake utadumu milele

Angepewa uenyekiti wa simba na yanga ingependeza zaidi mzogoo upungue tumechoka kelele wallahi
 
Lile jiwe limetupiga pakubwa urithi wake utadumu milele

Angepewa uenyekiti wa simba na yanga ingependeza zaidi mzogoo upungue tumechoka kelele wallahi
Acha tule maulid bwasheee,🤔.Achana na mikorogo kwa sasa!
 
Back
Top Bottom