Siasa tunazoziona leo KENYA ni zilezile za Kikwete na Lowassa

Siasa tunazoziona leo KENYA ni zilezile za Kikwete na Lowassa

Hapa Tanzania twambie ni kiingozi gani anamiliki angalau chopa 3
Niambie kwanza kwanini huyo kiongozi wa bongo amiliki chopa na asimiliki maghorofa/Apartments (real estates)?Choper ziko mpk za $300,000 huko.Sio inshu wala
 
Niambie kwanza kwanini huyo kiongozi wa bongo amiliki chopa na asimiliki maghorofa/Apartments (real estates)?
Hivyo vitu watu wanavyo vingi sana. Kwa hapa tunaongelea vitu kama chopa hizo
 
Hivyo vitu watu wanavyo vingi sana. Kwa hapa tunaongelea vitu kama chopa hizo
Chopa ziko mpk za $300,000 sio kitu Cha kuongelea kwa matajiri.

Ongelea hata kumiliki Gulfstream mzee.
 
Mbona walimpigia Raila kipindi yupo pamoja na Uhuru Kenyata vs Mwai Kibaki ?Sema Kibaki akaiba Urais. Uhuru Kenyata akimuunga mkono Raila Odinga kazi kwisha. Wakikiyu wanafuata maneno ya Uhuru Kenyata.
Haijawahi tokea uhuru akamuunga mkono Raila....nakumbuka 2007 walikubaliana waungane ODM na KANU ya uhuru kipindi hicho...Uhuru akachomoa betri akaenda kwa kibaki.Raila alienda kumchukua Ruto ndio kupata uwaziri mkuu...kwasababu uhuru hajawahi kuwa na ushawishi kenya...si amewahi kushindwa uchaguzi 2002.
 
Naongelea uchaguzi wa 2022.
Africa utashindaje bila rais aliyeko madarakani kutaka?Labda huko Zambia,Malawi Ila kwa E/Africa wote Ni walewale tu.

Atashinda yule rafiki yake kipenzi Magufuli.
 
😄😄😄 JK hakuwahi kumpenda ticha hata siku 1 hata kumuita Baba wa Taifa aligoma kabisa kabisa,anaishia tu kumuita Mwl 😄😄😄.

ninacho zungumzia hapa ni yeye kupendwa na ticha na sio yeye kumpenda ticha....alikulia kwenye mikono ya ticha kisiasa huwezi jua shida yake kwa ticha ni ipi....maana wote ni binadamu..
 
ninacho zungumzia hapa ni yeye kupendwa na ticha na sio yeye kumpenda ticha....alikulia kwenye mikono ya ticha kisiasa huwezi jua shida yake kwa ticha ni ipi....maana wote ni binadamu..
Ticha angekua hai boyz2men wasingeichukua hii nchi 2005.
 
Ticha angekua hai boyz2men wasingeichukua hii nchi 2005.

nyakati hubadirika, hata yeye angejikuta anakubaliana nao, nyakati hizi binadamu ana mbinu nyingi kufanikisha mambo yake...
Hata BWM hakupenda JK awe rais 2005 ila uoga wake na pressure ya Nccr mageuzi vilimtisha akauza mechi..hizo ni mbinu tu..

Amini pia, kama sio JK, leo hii EL angekuwa ikulu, BWM hakuwa na ujanja wa kumdhibiti EL na kundi lake... fitina, maarifa na michezo ya JK vilimnyika EL ikulu..

Ticha asingewaweza vijana wa kizazi hiki na kasi yao ya michakato....pia hata nyakati alizotawala yeye na nyakati hizi tofauti...mbinu za zama zile huwezi kuzitumia leo ndio maana hata yeye aliliona na kuamua kung'atuka..
 
Haijawahi tokea uhuru akamuunga mkono Raila....nakumbuka 2007 walikubaliana waungane ODM na KANU ya uhuru kipindi hicho...Uhuru akachomoa betri akaenda kwa kibaki.Raila alienda kumchukua Ruto ndio kupata uwaziri mkuu...kwasababu uhuru hajawahi kuwa na ushawishi kenya...si amewahi kushindwa uchaguzi 2002.
Uhuru ndiyo Rais. Unaposema hajawahi kuwa na ushawishi lakini ndo kashindwa Urais. Kushinda mara ya kwanza si issue maana kura zake aligawana na Mwai Kibaki. Kipindi kile Mwai Kibaki alikuwa na kura za wakikuyu na wakalenjin pia. Ruto yupo na nani this time mwenye ushawishi kwa Kikuyus ?
 
Uhuru hajawahi kuwa na nguvu za ushawishi kwenye siasa za kenya, hilo wala halina ubishi.....

2013 asingeweza kushinda bila kuungana na Ruto, hata 2007/8 Odinga alishinda baada ya kuunganisha nguvu na Ruto.......

kaisome kwanza historia ya Ruto ndio urudi hapa,
 
Ruto hana lolote.
 
Tofauti ya wanasiasa wa Kenya na Tanzania, wanasiasa wengi wa Tanzania wanapata hela na kuwa matajiri wakiwa tayari kwenye siasa na kupitia hiyo siasa kwa maana ya madili, wanasiasa wa Kenya wengi wao wanaingia kwenye siasa tayari wakiwa matajiri na wanainvestment nyingi....na huo mfumo ndio unafanya siasa za Tanzania kuwa za hovyo..
Kwa upande wa Tanzania uko sahihi kwa kiasi kikubwa, lakini kwa upande wa Kenya siyo kweli sana. Kenyatta mwenye utajiri wake ulitokana na baba yake kuwa kwenye siasa.
 
Kwa upande wa Tanzania uko sahihi kwa kiasi kikubwa, lakini kwa upande wa Kenya siyo kweli sana. Kenyatta mwenye utajiri wake ulitokana na baba yake kuwa kwenye siasa.
Ila Luto ana hali ngumu sana, anapokea mapigo kutoka pande zote. Alikosea kuanza kubomoa madaraja kablaya hajayavuka, au kukata matawi aliyokuwa amekalia. Nimeangalia video za speech mbalimbali dhi yake nikaona kuwa sasa hivi anaogelea hewani bila mabawa.

Kuna uwezekano ruto akashinda fuatilieni tu vizur
 
Ruto kajisahau sana kiasi hana heshima kwa rais wake na kuanza kumtweeza mbele za watu.

Nakuhakikishia Ruto urais mwaka 2022 atausikia kupitia radio citizen tu .
RUTO ni mshari sana,anavijembe vya maneno ya dhara,Ingekuwa hapa TZ angekuwa ameshakula pin na Mtungi
 
Kuna uwezekano ruto akashinda fuatilieni tu vizur
Luto amebwanwa koo; hawezi kushinda. Siasa za kenya zimekuwa za divide and conquer, na mara nying block ya wagikuyu ndiyo imakuwa haigawanyinki, kwa hiyo wakiwa upande wako una uhakika wa kushinda. Arap Moi alifanikiwa kutawala Kenya kwa muda mrefu kwa sababu aligawanya ile block ya wagukuyu. Huyu Luto ameshindwa kuigawanya, na sasa imehamia kwa Odinga.
 
Back
Top Bottom