wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Niambie kwanza kwanini huyo kiongozi wa bongo amiliki chopa na asimiliki maghorofa/Apartments (real estates)?Choper ziko mpk za $300,000 huko.Sio inshu walaHapa Tanzania twambie ni kiingozi gani anamiliki angalau chopa 3
Hivyo vitu watu wanavyo vingi sana. Kwa hapa tunaongelea vitu kama chopa hizoNiambie kwanza kwanini huyo kiongozi wa bongo amiliki chopa na asimiliki maghorofa/Apartments (real estates)?
Kwani lini aliwahi kushinda?Kwahiyo unakubali kuwa Ruto ataangukia pua this time?
Naongelea uchaguzi wa 2022.Kwani lini aliwahi kushinda?
Chopa ziko mpk za $300,000 sio kitu Cha kuongelea kwa matajiri.Hivyo vitu watu wanavyo vingi sana. Kwa hapa tunaongelea vitu kama chopa hizo
Haijawahi tokea uhuru akamuunga mkono Raila....nakumbuka 2007 walikubaliana waungane ODM na KANU ya uhuru kipindi hicho...Uhuru akachomoa betri akaenda kwa kibaki.Raila alienda kumchukua Ruto ndio kupata uwaziri mkuu...kwasababu uhuru hajawahi kuwa na ushawishi kenya...si amewahi kushindwa uchaguzi 2002.Mbona walimpigia Raila kipindi yupo pamoja na Uhuru Kenyata vs Mwai Kibaki ?Sema Kibaki akaiba Urais. Uhuru Kenyata akimuunga mkono Raila Odinga kazi kwisha. Wakikiyu wanafuata maneno ya Uhuru Kenyata.
Africa utashindaje bila rais aliyeko madarakani kutaka?Labda huko Zambia,Malawi Ila kwa E/Africa wote Ni walewale tu.Naongelea uchaguzi wa 2022.
😄😄😄 JK hakuwahi kumpenda ticha hata siku 1 hata kumuita Baba wa Taifa aligoma kabisa kabisa,anaishia tu kumuita Mwl 😄😄😄.
Ticha angekua hai boyz2men wasingeichukua hii nchi 2005.ninacho zungumzia hapa ni yeye kupendwa na ticha na sio yeye kumpenda ticha....alikulia kwenye mikono ya ticha kisiasa huwezi jua shida yake kwa ticha ni ipi....maana wote ni binadamu..
Ticha angekua hai boyz2men wasingeichukua hii nchi 2005.
Uhuru ndiyo Rais. Unaposema hajawahi kuwa na ushawishi lakini ndo kashindwa Urais. Kushinda mara ya kwanza si issue maana kura zake aligawana na Mwai Kibaki. Kipindi kile Mwai Kibaki alikuwa na kura za wakikuyu na wakalenjin pia. Ruto yupo na nani this time mwenye ushawishi kwa Kikuyus ?Haijawahi tokea uhuru akamuunga mkono Raila....nakumbuka 2007 walikubaliana waungane ODM na KANU ya uhuru kipindi hicho...Uhuru akachomoa betri akaenda kwa kibaki.Raila alienda kumchukua Ruto ndio kupata uwaziri mkuu...kwasababu uhuru hajawahi kuwa na ushawishi kenya...si amewahi kushindwa uchaguzi 2002.
Uhuru hajawahi kuwa na nguvu za ushawishi kwenye siasa za kenya, hilo wala halina ubishi.....Uhuru ndiyo Rais. Unaposema hajawahi kuwa na ushawishi lakini ndo kashindwa Urais. Kushinda mara ya kwanza si issue maana kura zake aligawana na Mwai Kibaki. Kipindi kile Mwai Kibaki alikuwa na kura za wakikuyu na wakalenjin pia. Ruto yupo na nani this time mwenye ushawishi kwa Kikuyus ?
Ruto hana lolote.Uhuru hajawahi kuwa na nguvu za ushawishi kwenye siasa za kenya, hilo wala halina ubishi.....
2013 asingeweza kushinda bila kuungana na Ruto, hata 2007/8 Odinga alishinda baada ya kuunganisha nguvu na Ruto.......
kaisome kwanza historia ya Ruto ndio urudi hapa,
Kwa upande wa Tanzania uko sahihi kwa kiasi kikubwa, lakini kwa upande wa Kenya siyo kweli sana. Kenyatta mwenye utajiri wake ulitokana na baba yake kuwa kwenye siasa.Tofauti ya wanasiasa wa Kenya na Tanzania, wanasiasa wengi wa Tanzania wanapata hela na kuwa matajiri wakiwa tayari kwenye siasa na kupitia hiyo siasa kwa maana ya madili, wanasiasa wa Kenya wengi wao wanaingia kwenye siasa tayari wakiwa matajiri na wanainvestment nyingi....na huo mfumo ndio unafanya siasa za Tanzania kuwa za hovyo..
Ila Luto ana hali ngumu sana, anapokea mapigo kutoka pande zote. Alikosea kuanza kubomoa madaraja kablaya hajayavuka, au kukata matawi aliyokuwa amekalia. Nimeangalia video za speech mbalimbali dhi yake nikaona kuwa sasa hivi anaogelea hewani bila mabawa.Kwa upande wa Tanzania uko sahihi kwa kiasi kikubwa, lakini kwa upande wa Kenya siyo kweli sana. Kenyatta mwenye utajiri wake ulitokana na baba yake kuwa kwenye siasa.
Kuna uwezekano ruto akashinda fuatilieni tu vizurIla Luto ana hali ngumu sana, anapokea mapigo kutoka pande zote. Alikosea kuanza kubomoa madaraja kablaya hajayavuka, au kukata matawi aliyokuwa amekalia. Nimeangalia video za speech mbalimbali dhi yake nikaona kuwa sasa hivi anaogelea hewani bila mabawa.
RUTO ni mshari sana,anavijembe vya maneno ya dhara,Ingekuwa hapa TZ angekuwa ameshakula pin na MtungiRuto kajisahau sana kiasi hana heshima kwa rais wake na kuanza kumtweeza mbele za watu.
Nakuhakikishia Ruto urais mwaka 2022 atausikia kupitia radio citizen tu .
Kajamaa sijui kanajiona kama nani pale Kenya!RUTO ni mshari sana,anavijembe vya maneno ya dhara,Ingekuwa hapa TZ angekuwa ameshakula pin na Mtungi
Luto amebwanwa koo; hawezi kushinda. Siasa za kenya zimekuwa za divide and conquer, na mara nying block ya wagikuyu ndiyo imakuwa haigawanyinki, kwa hiyo wakiwa upande wako una uhakika wa kushinda. Arap Moi alifanikiwa kutawala Kenya kwa muda mrefu kwa sababu aligawanya ile block ya wagukuyu. Huyu Luto ameshindwa kuigawanya, na sasa imehamia kwa Odinga.Kuna uwezekano ruto akashinda fuatilieni tu vizur