Siasa tunazoziona leo KENYA ni zilezile za Kikwete na Lowassa

Wewe bavicha inakuhusu nini?
 
Haya nenda kanawe miguu ukalale hapo valandani kwenye jamvi
Nipo freshi, tena sana jombaa, jisaidie mwenyewe. Anza kwa kujifunza lugha, valandani ndio wapi? Sema varanda we kinyangarika.
 
Nipo freshi, tena sana jombaa, jisaidie mwenyewe. Anza kwa kujifunza lugha, valandani ndio wapi? Sema varanda we kinyangarika.
Nakuona kwenye ubora wako hapo chato dadeeki hakatizi hata panya.
 
Nakuona kwenye ubora wako hapo chato dadeeki hakatizi hata panya. View attachment 2010653
Nikifanya nini Chato? Mimi ni mkenya jombaa, nilichofanya tu ni kujaribu kukueleza chanzo cha kiburi cha Naibu Rais Dr. Ruto. Ingependeza zaidi kama ungejikita kwenye hizo siasa zenu za maji taka. Naona zinakupa stress sio haba, hadi umechanganyikiwa mithili ya ngiri mwenye mimba.
 
Ruto alikuwa na kila kitu,Ruto anajulikana Kama self made king.Alishakuwa na vyeo vingi.Alishakuwa makamu wa rais miaka ya mwisho ya Mzee Moi.Rutto alikuwa taniri balaaa.
Self made wapi?,Rutto amekuwa maarufu kwa mgongo was Odinga.
 
Africa utashindaje bila rais aliyeko madarakani kutaka?Labda huko Zambia,Malawi Ila kwa E/Africa wote Ni walewale tu.

Atashinda yule rafiki yake kipenzi Magufuli.
Na huo ndio ukweli,Afrika Raid aliyopo madarakani ndio anachagua nani amrithi labda Wananchi watoke front.
 
Haini saidii kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…