The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
hata kama hakuna mabadiliko tunalazimika kuing'oa ccm, hayo mengine yatajulikana mbeleni.Nimejaribu kufanya tathimini fupi ya namna siasa za bara letu zinavyofanyika, inasikitisha kwamba msukumo mkubwa wa watu kuingia kwenye siasa ni njaa tu...
Hii Ni Africa, vita kubwa tulionayo Ni njaa naufukara kuanzia level ya mtu mmojamoja mpaka kitaifa. Nivzur maamuzi ya kila mmoja wetu yabase kwenye hio factor kua kuanzia ndugu madiwani wabunge Marais mawazir nakila tumjuaye Yuko kwenye vita ya njaa kwaajili ya yeye nakizazi chake sio habar yakumtegeme mtu apigane kwaajili yako.Nimejaribu kufanya tathimini fupi ya namna siasa za bara letu zinavyofanyika, inasikitisha kwamba msukumo mkubwa wa watu kuingia kwenye siasa ni njaa tu...
Yawezekana uko sahihi inategemea una nafasi gani kama ni mtu wa mstari wa mbele kwenye chama fulani unakuwa na uhakika kikishika madaraka na wewe una fungu lako lakini kama unatokea ndolezi/kwenye kimondo kama mimi endelea kulima kahawa kwa nguvu msimu wa mavuno uuze ya kutoshahata kama hakuna mabadiliko tunalazimika kuing'oa ccm, hayo mengine yatajulikana mbeleni.
Wewe ndo mtoa roho,Ndicho ulichobakiza. Damu ya Lissu inakutesa Sana umebakiza matusi ili ujifariji. Mwisho wa siku muuaji akafa akamuacha Lissu. Kitendo Cha Lissu kupona kilitakiwa kiwe fundisho na kitendo Cha Rais Kufariki mafichoni ni funzo pia . Tukiendelea kujidanganya Kuna fundisho la tatu linakuja ambalo litaacha watu midomo wazi na wengine kutubu na kujuta.
hawa ccm waliojipa kazi ya kuuza raslimali za nchi kwa maslahi binafsi hawatufai hata kidogo, ni bora kuweka utawala mpya hata kama watakua wabovu.Yawezekana uko sahihi inategemea una nafasi gani kama ni mtu wa mstari wa mbele kwenye chama fulani unakuwa na uhakika kikishika madaraka na wewe una fungu lako lakini kama unatokea ndolezi/kwenye kimondo kama mimi endelea kulima kahawa kwa nguvu msimu wa mavuno uuze ya kutosha
Kwani una uhakika gani kwamba wao hawatauza!? Siji kusahau kijana mmoja alisafiri kwa baiskeli umbali mrefu sana akiwa amevaa skafu na sare za chama fulani pinzani alafu ilikuwa safari ya kutwa nzima akiwa amejaa mabango na mabandiko ya mgombea fulani yaani humwambii kitu, ila baada ya kuikosa nafasi yule mgombea akakikacha chamahawa ccm waliojipa kazi ya kuuza raslimali za nchi kwa maslahi binafsi hawatufai hata kidogo, ni bora kuweka utawala mpya hata kama watakua wabovu.
unadhani wazalendo kama nyerere nchini wameisha? huo mtindio ubongo wa kuamini na wengine wataiba akati hawajepewa madraka ndo kunafanya ccm waendelee kufanya watakavyoKwani una uhakika gani kwamba wao hawatauza!? Siji kusahau kijana mmoja alisafiri kwa baiskeli umbali mrefu sana akiwa amevaa skafu na sare za chama fulani pinzani alafu ilikuwa safari ya kutwa nzima akiwa amejaa mabango na mabandiko ya mgombea fulani yaani humwambii kitu, ila baada ya kuikosa nafasi yule mgombea akakikacha chama
UmenenaNimejaribu kufanya tathimini fupi ya namna siasa za bara letu zinavyofanyika, inasikitisha kwamba msukumo mkubwa wa watu kuingia kwenye siasa ni njaa tu.
Nimejaribu kuangalia mataifa yaliyojaribu kubadili vyama, ukweli ni kwamba hakukuwa na jipya malalamiko ya wananchi yalibaki pale pale kama si kuongezeka.
Mifano ya nchi zilizochagua upinzani:
Malawi, Zambia, Kenya, Uganda nk.
Kwenye mataifa yote hayo walichagua upinzani kwa matumaini makubwa sana lakini upinzani uliposhika hatamu wananchi wakagundua wamedanganywa
Wito wangu tuchape kazi siasa ni ajira kuwashabikia sana wanasiasa kujitoa ufahamu ni kujidhalilisha.
Unahoaja ya msingi sana,Nimejaribu kufanya tathimini fupi ya namna siasa za bara letu zinavyofanyika, inasikitisha kwamba msukumo mkubwa wa watu kuingia kwenye siasa ni njaa tu.
Nimejaribu kuangalia mataifa yaliyojaribu kubadili vyama, ukweli ni kwamba hakukuwa na jipya malalamiko ya wananchi yalibaki pale pale kama si kuongezeka.
Mifano ya nchi zilizochagua upinzani:
Malawi, Zambia, Kenya, Uganda nk.
Kwenye mataifa yote hayo walichagua upinzani kwa matumaini makubwa sana lakini upinzani uliposhika hatamu wananchi wakagundua wamedanganywa
Wito wangu tuchape kazi siasa ni ajira kuwashabikia sana wanasiasa kujitoa ufahamu ni kujidhalilisha.