Siasa ya Kenya Imekomaa kuliko Tz ola.....

ni kweli utakua huelewi maana ya democracy endapo ungejua kuwa kilichompoteza Ben ni kupractice freedom of speech usingebishana hapa, freedom of speech na freedom of choice ni element za democracy unless una tafsiri yako ya democracy!
 
Siasa za Kenya ni copy and paste kutoka US...FAKE POLITICS.

ON TOP OF ALL UKABILA NDIO KIGEZO CHA SIASA ZA KENYA
 
Ben anaingiaje hapa, mbona kama unakwepa ninachokuuliza? Kama Kenya kuna freedom of speech unayoisifia, ni kwa nini watu wanakufa kwa sababu tu wana maoni tofauti?
 
Ben anaingiaje hapa, mbona kama unakwepa ninachokuuliza? Kama Kenya kuna freedom of speech unayoisifia, ni kwa nini watu wanakufa kwa sababu tu wana maoni tofauti?
nitajie watu wawili waliokufa kenya kwa kutoa maoni yao kwenye awamu ya uhuru kenyata!
 
nitajie watu wawili waliokufa kenya kwa kutoa maoni yao kwenye awamu ya uhuru kenyata!

Kwa hiyo mleta Mada amedanganya kwamba hakuna Binadamu aliyepoteza maisha kwenye primaries huko nchini Kenya?
 
Duh! Kama uchambuzi wako uko sahihi, basi ni swala gumu kuamua sijui kipi ni bora, kwangu ningechagua Amani na ili maisha ya Binadamu ambao wana familia ndugu na jamaa wanaowategemea yasipotee bure!

Kwanza sijapendezwa na taarifa za Wakenya wachache walopoteza maisha yao, sio jambo nzuri, ila pia unafaa ujiulize waliyapoteza kwenye mazingira gani. Huu uhuru wa kuchagua unayemtaka huwa una gharama zake, mambo hayaji bila kuingia gharama za kuwapoteza wachache, aidha tuamue kuishi kwa 'amani' lakini kwenye mioyo yetu tumejaa majungu kama ilivyo Tanzania au tuamue kuyaanika wazi hadi kieleweke.

Hao wachache walioaga dunia ilitokana na baadhi ya viongozi kuthubutu kutuletea mambo ya Tanzania ambapo viongozi wanasukumizwa kwenye koo za watu badala ya wenyewe kuamua nani. Mambo kama hayo huleta majungu na chuki, desturi yetu Wakenya huwa tunaamua kieleweke papo hapo, lakini Watanzania wanaondoka kwa majungu na hasira na vilio na kuanzia hapo wanaendelea kulalamika kwenye mitandao hadi miaka mitano iishe tena warudie yale yale.

Hivi yule Ben Saanane mlishamrudisha kwa jamii yake au ndio kabisa kaishia kuwa historia, juzi niliona kwenye video mkutano wa CUF jamaa wanatembezwa kichapo hadi huruma, nchi yenu hiyo ya 'amani' ni balaa. Hebu ona hii video hapa ya 'amani' yenu.

Kwa hiyo mleta Mada amedanganya kwamba hakuna Binadamu aliyepoteza maisha kwenye primaries huko nchini Kenya?
wewe ndio uniambie ni county ipi mtu amekufa kwenye hizi ongoing primaries
 
Ndiyo maana nikasema ni swali gumu, maana yake ni kwamba halina jibu rahisi, kwangu mimi ningechagua Amani, kwani naamini maisha ya Binadamu ni muhimu klk Siasa lkn huo ni mtazamo wangu kama wewe ulivyo na wako kwamba unaona Kenyan way ni bora, kwamba kuuwa watu kwa ajili ya hii inayoitwa Demokrasia!
 
wewe ndio uniambie ni county ipi mtu amekufa kwenye hizi ongoing primaries

Mimi siwezi kukwambia kwa maana sifahamu kama watu wamekufa hivyo hilo swali unapswa umuulize mleta Mada, nilikuwa tu nachangia kuhusu alichokiandika kwamba kuna Watu wamekufa huko Kenya kwenye primaries!
 
Nimekuambia hayo ya watu wachache kupoteza maisha ni bahati mbaya tu maana sio kila sehemu ya Kenya, na pia hata Tanzania kuna watu hupoteza maisha kwenye sisa, ila siwezi nikachagua huo usanii unaoita 'amani', tumia muda wako kutafuta nini maana ya neno 'amani'.
 
ndio alikufa kisiasa otherwise unithibitishie kifo cha mawazo hakikuwa cha kisiasa na most recently ni ben saanane ambaye pm ameliambia bunge ametangulia mbele ya haki bila kutoa maelezo!
Ungeanza wewe uliyetuhumu, kuthibitisha kwamba kilikuwa kifo cha kisiasa.
Ila najua huna huo uthibitisho, ila ukipingwa unataka mpingaji akuthibitishie.
 
Ni wapi nimekulazimisha uchague chochote?
 
Siasa za Kenya ni copy and paste kutoka US...FAKE POLITICS.

ON TOP OF ALL UKABILA NDIO KIGEZO CHA SIASA ZA KENYA

Utakufa stress bure..... vipi Pogba hajatengeneza Danganyika iwe Dubai ya Africa in 100 days??
 
Hapo kwa maghembe umegusa penyewe, hana analofanya kule anarudigi kipindi cha uchaguzi tuu na bado anaendelea kua mbunge kila uchaguzi...
 
Juzi ulileta mada ya kuwaponda wakenya, wakakushambulia nusu wakutowe macho. Leo umeleta mada ya kuwasifia, wamepotea.

Unaposema Kenya wanachagua mtu anaewaletea maendeleo, nadhani unaangalia siasa za Kenya juu juu. Kenya politics is exclusive, its for the elite people. Wanaofanikiwa kujikita kwenye siasa ni wenye pesa mifukoni, ni watu walijijengea makundi ya kumlida na kuhakikisha anashimda no matter what. Huwezi kufanya siasa Kenya ukiwa mikono mitupu. Wakati hali ni tofauti na Tanzania ambapo unaweza ukawa mtu wa hali ya kawaida au hata ya chini, lakini ukachagama mpaka ukawa Rais wa Tanzania.

Siasa za Kenya mnaziamgalia kwa jicho la husuda, lakini, hazilindi kila jamii, waturkana atapigamia cha Turkana tuu, wamombasa atapigania cha Mombasa tuu, hakuna kupigania taifa zima kwa pamoja. Wanakuwa wamoja pale tuu jina la Kenya linapopakwa matope, vinginevyo kila mtu kivyake.

Mbunge au governor kukaa muda mrefu sio kipimo cha kusema demokrasia ni ya kweli au sio ya kweli. Mbona nchi zilizokomaa kidemokrasia kama Marekani na Uwingereza Kuna wabunge wengi wamekuwa katika nafasi zao kwa miaka mingi tuu?? There's something called "safe seat" yani jimbo lisilo tetereka, wananchi wameridhika na mbunge wao au kiongozi wao.
 
Sasa ndo umeangalia juu juu zaidi..... Give me just one Mp mwenye amekaa for the last 25 years.... Just 1....Nitakupatia zawadi
 
Sasa ndo umeangalia juu juu zaidi..... Give me just one Mp mwenye amekaa for the last 25 years.... Just 1....Nitakupatia zawadi

Hamna hoja hapo, siasa zenu ni ukabila kwa 100%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…