Jamii yoyote huongoza Kwa misingi ya Sheria na Sheria ya uchaguzi inasema Chama KAZI yake ni kuteuwa wagombea pekeyake . Vyama vyote vimefanya hivyo ni muda wa CCM kutangaza kujitoa ili WAIACHIE mifumo ifanye KAZI yake... KAZI kwako Polepole
Labda tucheze Siasa zisizo na mipaka labda itakuwa fursa ni muda wa kuuwa ubwenyenye wa URAIS kuwa kila kitu Kwa kuanzishwa Urais WA kukaimu walau Kwa miezi SITA SITA