Tangu Serikali ya awamu ya Sita ianze rasmi kufanya kazi upepo wa siasa umebadilika kabisa na kuwa siasa za kistaarabu na za kushindana hoja kwa hoja.
Rais mstaafu Mh. Dkt. Jakaya Kikwete aliyasema hayo katika kumbukizi ya maadhimisho ya siku ya kumkumbuka Mwl. Nyerere kuwa hoja haipigwi rungu bali hujibiwa kwa hoja na wala si vihoja.
Juzi katibu mkuu mpya wa CCM ndugu Daniel Chongolo alithibithisha kubadilika kwa mwenendo mzima wa siasa kwa kusema siasa za sasa sio tena zile za piga nikupige.
Hii ilionyesha dhahiri ukomavu wa hali ya juu kwa kiongozi huyu tofauti kabisa na uongozi uliopita ambao ulikuwa wa ajabu kuliko hata ule wa wakoloni.
Sasa hatuna budi kumuunga mkono Rais wetu kipenzi Mama Samia Hassan Suluhu atufikishe katika Tanzania yeye democracy ya uhakika na yenye wananchi huru kutoa maoni yao.