Lissu alitegemea Sana support ya nchi za Magharibi kwa kifedha, na watu wa kumpigia Kelele
Alitegemea kuwa Maria Sarungi angetembeza bakuli na kumchangia yeye kupata pesa za kuendesha chama. Kwamba Maria angewasawishi international NGOs na Diaspora kumchangia fedha bwana Lissu.
Kwamba kupitia Kelele za Maria Sarungi fujo na maandamano ya chadema kupitia no reform no election vingepata mwitikio change kutoka ndani na nje ya nchi.
Hali imekuwa tofauti, wakati Chadema wanapochekelea Sera za Trump wanasahau kuwa Sarungi analia kukosa pesa ya kuendeshea NGO yake, Sarungi analia hakuna wa kumhurumia tena. Mataifa ya ulaya yanahangaika kukabiliana na Sera za Trump kwa masilahi ya nchi zao. Hata Ukrain na washirika wake hawafikirii kushinda Vita tena. Wanawaza mazungumzo ya kumakiza Vita ili biashara ya gesi na umeme kutoka kwa urusi viendelee.
Lissu anapaswa kufikiri namna Bora ya kupata pesa bila western allies, bila Maria Sarungi na Diaspora, maana Sarungi mwenyewe ametaharuki na hajui pa kushika. Kodi ya nyumba Kenya inaisha anatamani kurudi nyumbani, ila huku ametukana Sana viongozi.
Diaspora hawawezi kumchangia maana na wenyewe hawajui mustakabali wao huko Marekani maana Trump hatabiliki. Na wale waliopo ulaya wana wasiwasi Sera za Trump kuigwa huko kwa baadhi ya vyama na kupata uungwaji mkono.
Usisherehekee watu kukosa ARVs kwa lengo serikali ichukiwe na wewe upate fursa ya kuongoza. Huu mchezo unatula wote.