Siasa ya Trump inavyoathiri harakati za Lissu na CHADEMA

Lissu alitegemea Sana support ya nchi za Magharibi kwa kifedha, na watu wa kumpigia Kelele

Alitegemea kuwa Maria Sarungi angetembeza bakuli na kumchangia yeye kupata pesa za kuendesha chama. Kwamba Maria angewasawishi international NGOs na Diaspora kumchangia fedha bwana Lissu.

Kwamba kupitia Kelele za Maria Sarungi fujo na maandamano ya chadema kupitia no reform no election vingepata mwitikio change kutoka ndani na nje ya nchi.

Hali imekuwa tofauti, wakati Chadema wanapochekelea Sera za Trump wanasahau kuwa Sarungi analia kukosa pesa ya kuendeshea NGO yake, Sarungi analia hakuna wa kumhurumia tena. Mataifa ya ulaya yanahangaika kukabiliana na Sera za Trump kwa masilahi ya nchi zao. Hata Ukrain na washirika wake hawafikirii kushinda Vita tena. Wanawaza mazungumzo ya kumakiza Vita ili biashara ya gesi na umeme kutoka kwa urusi viendelee.

Lissu anapaswa kufikiri namna Bora ya kupata pesa bila western allies, bila Maria Sarungi na Diaspora, maana Sarungi mwenyewe ametaharuki na hajui pa kushika. Kodi ya nyumba Kenya inaisha anatamani kurudi nyumbani, ila huku ametukana Sana viongozi.

Diaspora hawawezi kumchangia maana na wenyewe hawajui mustakabali wao huko Marekani maana Trump hatabiliki. Na wale waliopo ulaya wana wasiwasi Sera za Trump kuigwa huko kwa baadhi ya vyama na kupata uungwaji mkono.

Usisherehekee watu kukosa ARVs kwa lengo serikali ichukiwe na wewe upate fursa ya kuongoza. Huu mchezo unatula wote.
serikali ya ccm ndo itakayoadhirika
 
We bumunda kweli kwahiyo ulitaka wasichukue ruzuku sababu tu hawatambui matokeo ya urais hv hilo bichwa lako ni pango la kuhifadhia meno tu
Kukubali kupokea ruzuku ni kukubal matokeo sababu ruxuku inatolewa kwa idadi ya kura mtu kapata
 
Chadema ndio hamna akili, Leo munampongeza lisu kwamba kwa Mara ya kwanza pesa ya ruzuku imeingia kwenye akaunti ya chama, mimi nilijua labda mungempongeza kwa kuzikataa hizo pesa. Maana uchaguzi wenyewe lisu hautambui, wala wale wabunge akina Mdee lisu hawatambui, wala maridhiano lisu hayatambui, ila ruzuku inayotokana hayo anazitambua na kuzitumia.
aliyekuambia pesa inakatiliwa ni nani? Unakataa pesa kama unaona italeta matatizo
 
We JUHA, hivi una familia? Unaiendeshaje?
 
Lissu alitegemea Sana support ya nchi za Magharibi kwa kifedha, na watu wa kumpigia Kelele

Alitegemea kuwa Maria Sarungi angetembeza bakuli na kumchangia yeye kupata pesa za kuendesha chama. Kwamba Maria angewasawishi international NGOs na Diaspora kumchangia fedha bwana Lissu.

Kwamba kupitia Kelele za Maria Sarungi fujo na maandamano ya chadema kupitia no reform no election vingepata mwitikio change kutoka ndani na nje ya nchi.

Hali imekuwa tofauti, wakati Chadema wanapochekelea Sera za Trump wanasahau kuwa Sarungi analia kukosa pesa ya kuendeshea NGO yake, Sarungi analia hakuna wa kumhurumia tena. Mataifa ya ulaya yanahangaika kukabiliana na Sera za Trump kwa masilahi ya nchi zao. Hata Ukrain na washirika wake hawafikirii kushinda Vita tena. Wanawaza mazungumzo ya kumakiza Vita ili biashara ya gesi na umeme kutoka kwa urusi viendelee.

Lissu anapaswa kufikiri namna Bora ya kupata pesa bila western allies, bila Maria Sarungi na Diaspora, maana Sarungi mwenyewe ametaharuki na hajui pa kushika. Kodi ya nyumba Kenya inaisha anatamani kurudi nyumbani, ila huku ametukana Sana viongozi.

Diaspora hawawezi kumchangia maana na wenyewe hawajui mustakabali wao huko Marekani maana Trump hatabiliki. Na wale waliopo ulaya wana wasiwasi Sera za Trump kuigwa huko kwa baadhi ya vyama na kupata uungwaji mkono.

Usisherehekee watu kukosa ARVs kwa lengo serikali ichukiwe na wewe upate fursa ya kuongoza. Huu mchezo unatula wote.
 
Lissu alitegemea Sana support ya nchi za Magharibi kwa kifedha, na watu wa kumpigia Kelele

Alitegemea kuwa Maria Sarungi angetembeza bakuli na kumchangia yeye kupata pesa za kuendesha chama. Kwamba Maria angewasawishi international NGOs na Diaspora kumchangia fedha bwana Lissu.

Kwamba kupitia Kelele za Maria Sarungi fujo na maandamano ya chadema kupitia no reform no election vingepata mwitikio change kutoka ndani na nje ya nchi.

Hali imekuwa tofauti, wakati Chadema wanapochekelea Sera za Trump wanasahau kuwa Sarungi analia kukosa pesa ya kuendeshea NGO yake, Sarungi analia hakuna wa kumhurumia tena. Mataifa ya ulaya yanahangaika kukabiliana na Sera za Trump kwa masilahi ya nchi zao. Hata Ukrain na washirika wake hawafikirii kushinda Vita tena. Wanawaza mazungumzo ya kumakiza Vita ili biashara ya gesi na umeme kutoka kwa urusi viendelee.

Lissu anapaswa kufikiri namna Bora ya kupata pesa bila western allies, bila Maria Sarungi na Diaspora, maana Sarungi mwenyewe ametaharuki na hajui pa kushika. Kodi ya nyumba Kenya inaisha anatamani kurudi nyumbani, ila huku ametukana Sana viongozi.

Diaspora hawawezi kumchangia maana na wenyewe hawajui mustakabali wao huko Marekani maana Trump hatabiliki. Na wale waliopo ulaya wana wasiwasi Sera za Trump kuigwa huko kwa baadhi ya vyama na kupata uungwaji mkono.

Usisherehekee watu kukosa ARVs kwa lengo serikali ichukiwe na wewe upate fursa ya kuongoza. Huu mchezo unatula wote.
Ww utakuwa ni mzee lazima, wazee ndio huwa wana propaganda za kihivi.
 
Chadema ndio hamna akili, Leo munampongeza lisu kwamba kwa Mara ya kwanza pesa ya ruzuku imeingia kwenye akaunti ya chama, mimi nilijua labda mungempongeza kwa kuzikataa hizo pesa. Maana uchaguzi wenyewe lisu hautambui, wala wale wabunge akina Mdee lisu hawatambui, wala maridhiano lisu hayatambui, ila ruzuku inayotokana hayo anazitambua na kuzitumia.
Brother kwani hizo hela zinatoka chama chako? Mbona povu sana. Au hujui maana ya serikali
 
Chadema ndio hamna akili, Leo munampongeza lisu kwamba kwa Mara ya kwanza pesa ya ruzuku imeingia kwenye akaunti ya chama, mimi nilijua labda mungempongeza kwa kuzikataa hizo pesa. Maana uchaguzi wenyewe lisu hautambui, wala wale wabunge akina Mdee lisu hawatambui, wala maridhiano lisu hayatambui, ila ruzuku inayotokana hayo anazitambua na kuzitumia.
Ishara ya mtu mjinga(Kama wewe) ni kutukana watu.
 
Lissu alitegemea Sana support ya nchi za Magharibi kwa kifedha, na watu wa kumpigia Kelele

Alitegemea kuwa Maria Sarungi angetembeza bakuli na kumchangia yeye kupata pesa za kuendesha chama. Kwamba Maria angewasawishi international NGOs na Diaspora kumchangia fedha bwana Lissu.

Kwamba kupitia Kelele za Maria Sarungi fujo na maandamano ya chadema kupitia no reform no election vingepata mwitikio change kutoka ndani na nje ya nchi.

Hali imekuwa tofauti, wakati Chadema wanapochekelea Sera za Trump wanasahau kuwa Sarungi analia kukosa pesa ya kuendeshea NGO yake, Sarungi analia hakuna wa kumhurumia tena. Mataifa ya ulaya yanahangaika kukabiliana na Sera za Trump kwa masilahi ya nchi zao. Hata Ukrain na washirika wake hawafikirii kushinda Vita tena. Wanawaza mazungumzo ya kumakiza Vita ili biashara ya gesi na umeme kutoka kwa urusi viendelee.

Lissu anapaswa kufikiri namna Bora ya kupata pesa bila western allies, bila Maria Sarungi na Diaspora, maana Sarungi mwenyewe ametaharuki na hajui pa kushika. Kodi ya nyumba Kenya inaisha anatamani kurudi nyumbani, ila huku ametukana Sana viongozi.

Diaspora hawawezi kumchangia maana na wenyewe hawajui mustakabali wao huko Marekani maana Trump hatabiliki. Na wale waliopo ulaya wana wasiwasi Sera za Trump kuigwa huko kwa baadhi ya vyama na kupata uungwaji mkono.

Usisherehekee watu kukosa ARVs kwa lengo serikali ichukiwe na wewe upate fursa ya kuongoza. Huu mchezo unatula wote.
Nchi za Magharibi ndo Marekani?
 
Kukubali kupokea ruzuku ni kukubal matokeo sababu ruxuku inatolewa kwa idadi ya kura mtu kapata
Ok tuashumu kama unavyotaka wewe walikubali matokeo na wacha ruzuku wachukue kwani ni haki yao inawasaidia kuendesha shughuli za kisiasa kwani hata ccm nao wanapokea ruzuku kutoka serikalini.
 
Lissu alitegemea Sana support ya nchi za Magharibi kwa kifedha, na watu wa kumpigia Kelele

Alitegemea kuwa Maria Sarungi angetembeza bakuli na kumchangia yeye kupata pesa za kuendesha chama. Kwamba Maria angewasawishi international NGOs na Diaspora kumchangia fedha bwana Lissu.

Kwamba kupitia Kelele za Maria Sarungi fujo na maandamano ya chadema kupitia no reform no election vingepata mwitikio change kutoka ndani na nje ya nchi.

Hali imekuwa tofauti, wakati Chadema wanapochekelea Sera za Trump wanasahau kuwa Sarungi analia kukosa pesa ya kuendeshea NGO yake, Sarungi analia hakuna wa kumhurumia tena. Mataifa ya ulaya yanahangaika kukabiliana na Sera za Trump kwa masilahi ya nchi zao. Hata Ukrain na washirika wake hawafikirii kushinda Vita tena. Wanawaza mazungumzo ya kumakiza Vita ili biashara ya gesi na umeme kutoka kwa urusi viendelee.

Lissu anapaswa kufikiri namna Bora ya kupata pesa bila western allies, bila Maria Sarungi na Diaspora, maana Sarungi mwenyewe ametaharuki na hajui pa kushika. Kodi ya nyumba Kenya inaisha anatamani kurudi nyumbani, ila huku ametukana Sana viongozi.

Diaspora hawawezi kumchangia maana na wenyewe hawajui mustakabali wao huko Marekani maana Trump hatabiliki. Na wale waliopo ulaya wana wasiwasi Sera za Trump kuigwa huko kwa baadhi ya vyama na kupata uungwaji mkono.

Usisherehekee watu kukosa ARVs kwa lengo serikali ichukiwe na wewe upate fursa ya kuongoza. Huu mchezo unatula wote.
Crap
 
Kwa usaliti ulio nao huna tofauti na Kaisario Tiberio Pontio Pilato aliyekuwa liwali wa Uyahudi na Herode mfalme wa Galilaya
 
Back
Top Bottom