Siasa ya Trump inavyoathiri harakati za Lissu na CHADEMA

Wanasema ruzuku inatokana na idadi ya kura alizopata Antipasu kwenye uchaguzi huo, na si wa bunge Wala kutambua uchaguzi!!!Sina uhakika...! Sheria zinasemaje kuhusu mgawanyo wa ruzuku!
Kwahiyo hizo kura alizopata Lisu wanazitambua, na kuzipokelea ruzuku, sasa mbona wanadai waliibiwa kura? Na ule uchaguzi hawautambui?
 
Lisu alitegemea Sana support ya nchi za magharibi kwa kifedha, na watu wa kumpigia Kelele,
Alitegemea kuwa Maria Sarungi angetembeza bakuli na kumchangia yeye kupata pesa za kuendesha chama. Kwamba Maria angewasawish international NGOs na Diaspora kumchangia fedha bwana Lisu.
Kwamba kupitia Kelele za Maria Sarungi fujo na maandamano ya chadema kupitia no reform no election vingepata mwitikio change kutoka ndani na nje ya nchi.
Hali imekuwa tofauti, wakati Chadema wanapochekelea Sera za Trump wanasahau kuwa Sarungi analia kukosa pesa ya kuendeshea NGO yake, Sarungi analia hakuna wa kumhurumia tena. Mataifa ya ulaya yanahangaika kukabiliana na Sera za Trump kwa masilahi ya nchi zao. Hata Ukrain na washirika wake hawafikirii kushinda Vita tena. Wanawaza mazungumzo ya kumakiza Vita ili biashara ya gesi na umeme kutoka kwa urusi viendelee.
Lisu anapasa kufikiri namna Bora ya kupata pesa bila western allies, bila Maria Sarungi na Diaspora, maana Sarungi mwenyewe ametaharuki na hajui pa kushika. Kodi ya nyumba Kenya inaisha anatamani kurudi nyumbani, ila huku ametukana Sana viongozi. Diaspora hawawezi kumchangia maana na wenyewe hawajui mustakabali wao huko marekani maana Trump hatabiliki. Na wale waliopo ulaya wana wasiwasi Sera za Trump kuigwa huko kwa baadhi ya vyama na kupata uungwaji mkono.
Usisherehekee watu kukosa ARVs kwa lengo serikali ichukiwe na wewe upate fursa ya kuongoza. Huu mchezo unatula wote.
Achana na Lisu "The state wanataka walau mbunge mmoja tu ndani ya Bunge afufue mchakato wa katiba mpya lakini wote wachumia tumbo na hawataki kabisa"

Kumzodoa lisu hakukisaidii chama chetu kushika dola Bali katiba mpya ndio takwa la Dola ambayo ilitupa Dola!

Dola itatuponyoka Kwa kukaza fuvu mwenyekiti!
 
Ruzuku ipo kisheria kwa vyama vyote sio zawadi,inaonesha wazi kabisa kwamba uelewa wako wa mambo ni mdogo sanaaa,kuna wakati tuhitahidi kuficha upumbavu ktk vichwa vyeti kuepuka fedhea za kipuuzi.Asante
Mean wa ruzuku Haiti sawa inategemea nani alipata kura nyingi, sasa matokeo ya uchaguzi hamkuyatambua, sasa mbona hamgomei kusema kuwa munachokipata ni kidogo kuliko kura zebu? Maana munadai muliwazidi CCM kura.
Wala kuwapeleka CCM mahakani kuwa wanapata ruzuku nyingi kuliko Chadema? Maana nyinyi kura zenu zilikuwa nyingi kuliko wao.
 
Ulivyo mjinga hujui kukatwa kwa misaada CCM ndio wapo kwenye disadvantage, subirini madawa na takataka nyingine zikwame kwa kushindwa kutenga bajeti, halafu na CDM wakati wa kampeni waifanye agenda. Kumbuka waathirika wa Ukimwi,Tb na Malaria wengi ni wa hali ya chini na ndio mambumbumbu wengi wa CCM. Mwaka huu meza inapinduka
 
Lisu alitegemea Sana support ya nchi za magharibi kwa kifedha, na watu wa kumpigia Kelele,
Alitegemea kuwa Maria Sarungi angetembeza bakuli na kumchangia yeye kupata pesa za kuendesha chama. Kwamba Maria angewasawish international NGOs na Diaspora kumchangia fedha bwana Lisu.
Kwamba kupitia Kelele za Maria Sarungi fujo na maandamano ya chadema kupitia no reform no election vingepata mwitikio change kutoka ndani na nje ya nchi.
Hali imekuwa tofauti, wakati Chadema wanapochekelea Sera za Trump wanasahau kuwa Sarungi analia kukosa pesa ya kuendeshea NGO yake, Sarungi analia hakuna wa kumhurumia tena. Mataifa ya ulaya yanahangaika kukabiliana na Sera za Trump kwa masilahi ya nchi zao. Hata Ukrain na washirika wake hawafikirii kushinda Vita tena. Wanawaza mazungumzo ya kumakiza Vita ili biashara ya gesi na umeme kutoka kwa urusi viendelee.
Lisu anapasa kufikiri namna Bora ya kupata pesa bila western allies, bila Maria Sarungi na Diaspora, maana Sarungi mwenyewe ametaharuki na hajui pa kushika. Kodi ya nyumba Kenya inaisha anatamani kurudi nyumbani, ila huku ametukana Sana viongozi. Diaspora hawawezi kumchangia maana na wenyewe hawajui mustakabali wao huko marekani maana Trump hatabiliki. Na wale waliopo ulaya wana wasiwasi Sera za Trump kuigwa huko kwa baadhi ya vyama na kupata uungwaji mkono.
Usisherehekee watu kukosa ARVs kwa lengo serikali ichukiwe na wewe upate fursa ya kuongoza. Huu mchezo unatula wote.
Nawa uso kwanza na piga mswaki! uvundo!
 
Ulivyo mjinga hujui kukatwa kwa misaada CCM ndio wapo kwenye disadvantage, subirini madawa na takataka nyingine zikwame kwa kushindwa kutenga bajeti, halafu na CDM wakati wa kampeni waifanye agenda. Kumbuka waathirika wa Ukimwi,Tb na Malaria wengi ni wa hali ya chini na ndio mambumbumbu wengi wa CCM. Mwaka huu meza inapinduka
Sasa Chadema ikishinda misaada itarejea?
 
Mzigo wako huo hapo boss.
20250201_031634.jpg
 
Sasa Chadema ikishinda misaada itarejea?
Naona kijana wa Uvccm njaa imekukamata kichwa mpaka unashindwa kusoma kwa utulivu.
subirini madawa na takataka nyingine zikwame kwa kushindwa kutenga bajeti
Elewa hapo, halafu elewa pia CCM ndio walikuwa tegemezi na wanufaika wakubwa wa hiyo misaada sio CDM
 
Kwahiyo hizo kura alizopata Lisu wanazitambua, na kuzipokelea ruzuku, sasa mbona wanadai waliibiwa kura? Na ule uchaguzi hawautambui?
Kwa hiyo nyumbani kwenu baba yako akiibiwa ile redio ya mbao bendi mbili ndiyo anaikana na nyumba yake?
 
Lissu alitegemea Sana support ya nchi za Magharibi kwa kifedha, na watu wa kumpigia Kelele

Alitegemea kuwa Maria Sarungi angetembeza bakuli na kumchangia yeye kupata pesa za kuendesha chama. Kwamba Maria angewasawishi international NGOs na Diaspora kumchangia fedha bwana Lissu.

Kwamba kupitia Kelele za Maria Sarungi fujo na maandamano ya chadema kupitia no reform no election vingepata mwitikio change kutoka ndani na nje ya nchi.

Hali imekuwa tofauti, wakati Chadema wanapochekelea Sera za Trump wanasahau kuwa Sarungi analia kukosa pesa ya kuendeshea NGO yake, Sarungi analia hakuna wa kumhurumia tena. Mataifa ya ulaya yanahangaika kukabiliana na Sera za Trump kwa masilahi ya nchi zao. Hata Ukrain na washirika wake hawafikirii kushinda Vita tena. Wanawaza mazungumzo ya kumakiza Vita ili biashara ya gesi na umeme kutoka kwa urusi viendelee.

Lissu anapaswa kufikiri namna Bora ya kupata pesa bila western allies, bila Maria Sarungi na Diaspora, maana Sarungi mwenyewe ametaharuki na hajui pa kushika. Kodi ya nyumba Kenya inaisha anatamani kurudi nyumbani, ila huku ametukana Sana viongozi.

Diaspora hawawezi kumchangia maana na wenyewe hawajui mustakabali wao huko Marekani maana Trump hatabiliki. Na wale waliopo ulaya wana wasiwasi Sera za Trump kuigwa huko kwa baadhi ya vyama na kupata uungwaji mkono.

Usisherehekee watu kukosa ARVs kwa lengo serikali ichukiwe na wewe upate fursa ya kuongoza. Huu mchezo unatula wote.
Chadema itafia Kwa wanaharakati!
 
Uchaguzi si hamukuutambua lakini? Kwahiyo kura alizopata Lisu munazitambua nakuzikubali? Si ndio maana munapokea ruzuku sio kwa sababu ya covid Ila kula za rais? Hivi wewe na Mimi bumunda hapo nani?
kiswahilio cha nchi gani hiki?
 
Lissu alitegemea Sana support ya nchi za Magharibi kwa kifedha, na watu wa kumpigia Kelele

Alitegemea kuwa Maria Sarungi angetembeza bakuli na kumchangia yeye kupata pesa za kuendesha chama. Kwamba Maria angewasawishi international NGOs na Diaspora kumchangia fedha bwana Lissu.

Kwamba kupitia Kelele za Maria Sarungi fujo na maandamano ya chadema kupitia no reform no election vingepata mwitikio change kutoka ndani na nje ya nchi.

Hali imekuwa tofauti, wakati Chadema wanapochekelea Sera za Trump wanasahau kuwa Sarungi analia kukosa pesa ya kuendeshea NGO yake, Sarungi analia hakuna wa kumhurumia tena. Mataifa ya ulaya yanahangaika kukabiliana na Sera za Trump kwa masilahi ya nchi zao. Hata Ukrain na washirika wake hawafikirii kushinda Vita tena. Wanawaza mazungumzo ya kumakiza Vita ili biashara ya gesi na umeme kutoka kwa urusi viendelee.

Lissu anapaswa kufikiri namna Bora ya kupata pesa bila western allies, bila Maria Sarungi na Diaspora, maana Sarungi mwenyewe ametaharuki na hajui pa kushika. Kodi ya nyumba Kenya inaisha anatamani kurudi nyumbani, ila huku ametukana Sana viongozi.

Diaspora hawawezi kumchangia maana na wenyewe hawajui mustakabali wao huko Marekani maana Trump hatabiliki. Na wale waliopo ulaya wana wasiwasi Sera za Trump kuigwa huko kwa baadhi ya vyama na kupata uungwaji mkono.

Usisherehekee watu kukosa ARVs kwa lengo serikali ichukiwe na wewe upate fursa ya kuongoza. Huu mchezo unatula wote.
Uelewa wako ni mdogo sana, hii mada uliyoleta ni kubwa sana kuliko uwezo wa akili yako. Jitahidi watu wasijue kuwa huna akili.
 
Naona ushabadili ID ulete matapishi yako bila kutambuliwa, 🤮🤮🤮🤮

Huyu Lissu anawalaza na viatu vichafu deile, mbona bado sana? Ndio kwanza kaanza kuunda taasisi mtateseka sana
 
Lissu alitegemea Sana support ya nchi za Magharibi kwa kifedha, na watu wa kumpigia Kelele

Alitegemea kuwa Maria Sarungi angetembeza bakuli na kumchangia yeye kupata pesa za kuendesha chama. Kwamba Maria angewasawishi international NGOs na Diaspora kumchangia fedha bwana Lissu.

Kwamba kupitia Kelele za Maria Sarungi fujo na maandamano ya chadema kupitia no reform no election vingepata mwitikio change kutoka ndani na nje ya nchi.

Hali imekuwa tofauti, wakati Chadema wanapochekelea Sera za Trump wanasahau kuwa Sarungi analia kukosa pesa ya kuendeshea NGO yake, Sarungi analia hakuna wa kumhurumia tena. Mataifa ya ulaya yanahangaika kukabiliana na Sera za Trump kwa masilahi ya nchi zao. Hata Ukrain na washirika wake hawafikirii kushinda Vita tena. Wanawaza mazungumzo ya kumakiza Vita ili biashara ya gesi na umeme kutoka kwa urusi viendelee.

Lissu anapaswa kufikiri namna Bora ya kupata pesa bila western allies, bila Maria Sarungi na Diaspora, maana Sarungi mwenyewe ametaharuki na hajui pa kushika. Kodi ya nyumba Kenya inaisha anatamani kurudi nyumbani, ila huku ametukana Sana viongozi.

Diaspora hawawezi kumchangia maana na wenyewe hawajui mustakabali wao huko Marekani maana Trump hatabiliki. Na wale waliopo ulaya wana wasiwasi Sera za Trump kuigwa huko kwa baadhi ya vyama na kupata uungwaji mkono.

Usisherehekee watu kukosa ARVs kwa lengo serikali ichukiwe na wewe upate fursa ya kuongoza. Huu mchezo unatula wote.

A short-sighted mind arguments.

Kitu Cha muhimu zaidi ni kuungwa mkono na Wananchi wengi zaidi ambao wenye akili timamu sawa sawa kabisa, wenye nia ya dhati kabisa ya kudai na kupigania Haki zao, wenye dhamira za dhati kabisa katika HAKI, Demokrasia, Maendeleo, Mabadiliko pamoja na mambo mengine yote ya msingi. Mtaji mkubwa zaidi wa Chama chochote kile Cha Siasa ni WATU. Watu ndio mtaji mkubwa zaidi.
Msingi Mkuu wa Demokrasia hapa duniani unaamini kwamba "wengi ndio kushinda"

Chama cha ANC Cha Afrika Kusini enzi za kupigania Uhuru wa Watu weusi kilikuwa hakina pesa na wala Viongozi wake hawakuwa na pesa, hata miradi yao binafsi ilihujumiwa na Utawala wa Makaburu. Kwanza Utawala wa nchi hiyo chini ya Wazungu wachache walikitangaza Chama hicho cha ANC kuwa ni KUNDI LA KIGAIDI.

Lakini kwa kuwa Chama hicho Cha ANC kilikuwa kinaungwa mkono Sana na Watu/Wananchi walio wengi Wapenda HAKI, basi Utawala wa kidhalimu wa Makaburu ulishindwa na hatimaye Chama hicho kiliibuka kidedea na kushika Dola katika nchi hiyo ya Afrika Kusini hadi sasa. Watu Wapenda Haki walijitolea muhanga katika harakati za hatari kubwa sana za kukipigania Chama hicho hadi kikashinda licha ya kuwepo kwa Vitisho vikubwa vya kuuawa kutoka kwa Utawala wa Makaburu. Haikuwa kazi rahisi hata kidogo katika kukipigania Chama hicho, lakini hatimaye HAKI ilishinda
 
Back
Top Bottom