Kwahiyo hizo kura alizopata Lisu wanazitambua, na kuzipokelea ruzuku, sasa mbona wanadai waliibiwa kura? Na ule uchaguzi hawautambui?Wanasema ruzuku inatokana na idadi ya kura alizopata Antipasu kwenye uchaguzi huo, na si wa bunge Wala kutambua uchaguzi!!!Sina uhakika...! Sheria zinasemaje kuhusu mgawanyo wa ruzuku!
Achana na Lisu "The state wanataka walau mbunge mmoja tu ndani ya Bunge afufue mchakato wa katiba mpya lakini wote wachumia tumbo na hawataki kabisa"Lisu alitegemea Sana support ya nchi za magharibi kwa kifedha, na watu wa kumpigia Kelele,
Alitegemea kuwa Maria Sarungi angetembeza bakuli na kumchangia yeye kupata pesa za kuendesha chama. Kwamba Maria angewasawish international NGOs na Diaspora kumchangia fedha bwana Lisu.
Kwamba kupitia Kelele za Maria Sarungi fujo na maandamano ya chadema kupitia no reform no election vingepata mwitikio change kutoka ndani na nje ya nchi.
Hali imekuwa tofauti, wakati Chadema wanapochekelea Sera za Trump wanasahau kuwa Sarungi analia kukosa pesa ya kuendeshea NGO yake, Sarungi analia hakuna wa kumhurumia tena. Mataifa ya ulaya yanahangaika kukabiliana na Sera za Trump kwa masilahi ya nchi zao. Hata Ukrain na washirika wake hawafikirii kushinda Vita tena. Wanawaza mazungumzo ya kumakiza Vita ili biashara ya gesi na umeme kutoka kwa urusi viendelee.
Lisu anapasa kufikiri namna Bora ya kupata pesa bila western allies, bila Maria Sarungi na Diaspora, maana Sarungi mwenyewe ametaharuki na hajui pa kushika. Kodi ya nyumba Kenya inaisha anatamani kurudi nyumbani, ila huku ametukana Sana viongozi. Diaspora hawawezi kumchangia maana na wenyewe hawajui mustakabali wao huko marekani maana Trump hatabiliki. Na wale waliopo ulaya wana wasiwasi Sera za Trump kuigwa huko kwa baadhi ya vyama na kupata uungwaji mkono.
Usisherehekee watu kukosa ARVs kwa lengo serikali ichukiwe na wewe upate fursa ya kuongoza. Huu mchezo unatula wote.
Nje ya mada, Trump ànataka kununua Gaza, nani atapokea malipo? Yaani muuzaji wa hiyo Gaza nani?A junk of rubbish narations
Mean wa ruzuku Haiti sawa inategemea nani alipata kura nyingi, sasa matokeo ya uchaguzi hamkuyatambua, sasa mbona hamgomei kusema kuwa munachokipata ni kidogo kuliko kura zebu? Maana munadai muliwazidi CCM kura.Ruzuku ipo kisheria kwa vyama vyote sio zawadi,inaonesha wazi kabisa kwamba uelewa wako wa mambo ni mdogo sanaaa,kuna wakati tuhitahidi kuficha upumbavu ktk vichwa vyeti kuepuka fedhea za kipuuzi.Asante
Nawa uso kwanza na piga mswaki! uvundo!Lisu alitegemea Sana support ya nchi za magharibi kwa kifedha, na watu wa kumpigia Kelele,
Alitegemea kuwa Maria Sarungi angetembeza bakuli na kumchangia yeye kupata pesa za kuendesha chama. Kwamba Maria angewasawish international NGOs na Diaspora kumchangia fedha bwana Lisu.
Kwamba kupitia Kelele za Maria Sarungi fujo na maandamano ya chadema kupitia no reform no election vingepata mwitikio change kutoka ndani na nje ya nchi.
Hali imekuwa tofauti, wakati Chadema wanapochekelea Sera za Trump wanasahau kuwa Sarungi analia kukosa pesa ya kuendeshea NGO yake, Sarungi analia hakuna wa kumhurumia tena. Mataifa ya ulaya yanahangaika kukabiliana na Sera za Trump kwa masilahi ya nchi zao. Hata Ukrain na washirika wake hawafikirii kushinda Vita tena. Wanawaza mazungumzo ya kumakiza Vita ili biashara ya gesi na umeme kutoka kwa urusi viendelee.
Lisu anapasa kufikiri namna Bora ya kupata pesa bila western allies, bila Maria Sarungi na Diaspora, maana Sarungi mwenyewe ametaharuki na hajui pa kushika. Kodi ya nyumba Kenya inaisha anatamani kurudi nyumbani, ila huku ametukana Sana viongozi. Diaspora hawawezi kumchangia maana na wenyewe hawajui mustakabali wao huko marekani maana Trump hatabiliki. Na wale waliopo ulaya wana wasiwasi Sera za Trump kuigwa huko kwa baadhi ya vyama na kupata uungwaji mkono.
Usisherehekee watu kukosa ARVs kwa lengo serikali ichukiwe na wewe upate fursa ya kuongoza. Huu mchezo unatula wote.
Sasa Chadema ikishinda misaada itarejea?Ulivyo mjinga hujui kukatwa kwa misaada CCM ndio wapo kwenye disadvantage, subirini madawa na takataka nyingine zikwame kwa kushindwa kutenga bajeti, halafu na CDM wakati wa kampeni waifanye agenda. Kumbuka waathirika wa Ukimwi,Tb na Malaria wengi ni wa hali ya chini na ndio mambumbumbu wengi wa CCM. Mwaka huu meza inapinduka
Naona kijana wa Uvccm njaa imekukamata kichwa mpaka unashindwa kusoma kwa utulivu.Sasa Chadema ikishinda misaada itarejea?
Elewa hapo, halafu elewa pia CCM ndio walikuwa tegemezi na wanufaika wakubwa wa hiyo misaada sio CDMsubirini madawa na takataka nyingine zikwame kwa kushindwa kutenga bajeti
Kwa hiyo nyumbani kwenu baba yako akiibiwa ile redio ya mbao bendi mbili ndiyo anaikana na nyumba yake?Kwahiyo hizo kura alizopata Lisu wanazitambua, na kuzipokelea ruzuku, sasa mbona wanadai waliibiwa kura? Na ule uchaguzi hawautambui?
Umempendelea sana.Apewe kibuyu chenye majivu ndani yake.Mzigo wako huo hapo boss.
View attachment 3231659
Na kwa nini akili zako umeelekeza kwenye misaada tu?Sasa Chadema ikishinda misaada itarejea?
NetaNje ya mada, Trump ànataka kununua Gaza, nani atapokea malipo? Yaani muuzaji wa hiyo Gaza nani?
Chadema itafia Kwa wanaharakati!Lissu alitegemea Sana support ya nchi za Magharibi kwa kifedha, na watu wa kumpigia Kelele
Alitegemea kuwa Maria Sarungi angetembeza bakuli na kumchangia yeye kupata pesa za kuendesha chama. Kwamba Maria angewasawishi international NGOs na Diaspora kumchangia fedha bwana Lissu.
Kwamba kupitia Kelele za Maria Sarungi fujo na maandamano ya chadema kupitia no reform no election vingepata mwitikio change kutoka ndani na nje ya nchi.
Hali imekuwa tofauti, wakati Chadema wanapochekelea Sera za Trump wanasahau kuwa Sarungi analia kukosa pesa ya kuendeshea NGO yake, Sarungi analia hakuna wa kumhurumia tena. Mataifa ya ulaya yanahangaika kukabiliana na Sera za Trump kwa masilahi ya nchi zao. Hata Ukrain na washirika wake hawafikirii kushinda Vita tena. Wanawaza mazungumzo ya kumakiza Vita ili biashara ya gesi na umeme kutoka kwa urusi viendelee.
Lissu anapaswa kufikiri namna Bora ya kupata pesa bila western allies, bila Maria Sarungi na Diaspora, maana Sarungi mwenyewe ametaharuki na hajui pa kushika. Kodi ya nyumba Kenya inaisha anatamani kurudi nyumbani, ila huku ametukana Sana viongozi.
Diaspora hawawezi kumchangia maana na wenyewe hawajui mustakabali wao huko Marekani maana Trump hatabiliki. Na wale waliopo ulaya wana wasiwasi Sera za Trump kuigwa huko kwa baadhi ya vyama na kupata uungwaji mkono.
Usisherehekee watu kukosa ARVs kwa lengo serikali ichukiwe na wewe upate fursa ya kuongoza. Huu mchezo unatula wote.
kiswahilio cha nchi gani hiki?Uchaguzi si hamukuutambua lakini? Kwahiyo kura alizopata Lisu munazitambua nakuzikubali? Si ndio maana munapokea ruzuku sio kwa sababu ya covid Ila kula za rais? Hivi wewe na Mimi bumunda hapo nani?
Uelewa wako ni mdogo sana, hii mada uliyoleta ni kubwa sana kuliko uwezo wa akili yako. Jitahidi watu wasijue kuwa huna akili.Lissu alitegemea Sana support ya nchi za Magharibi kwa kifedha, na watu wa kumpigia Kelele
Alitegemea kuwa Maria Sarungi angetembeza bakuli na kumchangia yeye kupata pesa za kuendesha chama. Kwamba Maria angewasawishi international NGOs na Diaspora kumchangia fedha bwana Lissu.
Kwamba kupitia Kelele za Maria Sarungi fujo na maandamano ya chadema kupitia no reform no election vingepata mwitikio change kutoka ndani na nje ya nchi.
Hali imekuwa tofauti, wakati Chadema wanapochekelea Sera za Trump wanasahau kuwa Sarungi analia kukosa pesa ya kuendeshea NGO yake, Sarungi analia hakuna wa kumhurumia tena. Mataifa ya ulaya yanahangaika kukabiliana na Sera za Trump kwa masilahi ya nchi zao. Hata Ukrain na washirika wake hawafikirii kushinda Vita tena. Wanawaza mazungumzo ya kumakiza Vita ili biashara ya gesi na umeme kutoka kwa urusi viendelee.
Lissu anapaswa kufikiri namna Bora ya kupata pesa bila western allies, bila Maria Sarungi na Diaspora, maana Sarungi mwenyewe ametaharuki na hajui pa kushika. Kodi ya nyumba Kenya inaisha anatamani kurudi nyumbani, ila huku ametukana Sana viongozi.
Diaspora hawawezi kumchangia maana na wenyewe hawajui mustakabali wao huko Marekani maana Trump hatabiliki. Na wale waliopo ulaya wana wasiwasi Sera za Trump kuigwa huko kwa baadhi ya vyama na kupata uungwaji mkono.
Usisherehekee watu kukosa ARVs kwa lengo serikali ichukiwe na wewe upate fursa ya kuongoza. Huu mchezo unatula wote.
Lissu alitegemea Sana support ya nchi za Magharibi kwa kifedha, na watu wa kumpigia Kelele