Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Nimejaribu kupita katika maeneo kadhaa vijijini na nilichokibaini ni kuwa kuna majengo mengi mno ya madarasa katika shule za msingi na sekondari ambayo hayajakamilika kutokana na na uhaba wa fedha lakini hivi karibuni Serikali imepata fedha ambazo zimeelekezwa katika ujenzi wa madarasa mengine mapya jambo ambalo linahitaji kuangaliwa kwa kina.
Tunaweza tukajiuliza na kutafakari je ni kipi cha muhimu kati ya kukamilisha leongo au kurudia lengo na kuanza upya?
Kuna shule ambazo zina uhaba wa madarasa kwa kweli lakini zipo shule ambazo madarasa siyo shida. Mgawanyo wa fedha zenye uelekeo wa kutatua kero moja nchi nzima ni njia nzuri ila inawezekana kuwa njia isiyo sahihi kila mahali.