Inawezekana hii ni mojawapo ya sababu ya kujitokeza mamia ya watia nia kwenye kura za maoni kwenye kiti cha mgombea urais 2015, urais Z'bar 2020 na ubunge 2020, sio kukua kwa demokrasia kama inavyodaiwa na viongozi mbali mbali wa CCM.
Je, tunafikiri viongozi watangulizi walikuwa hawapewi zawadi kama mikungu ya ndizi au kuku walipokwenda kutembelea sehemu mbalimbali? Jibu ni hapana, walipewa isipokuwa hizi zawadi ziliishia huko huko bila hata kuletwa jukwaani na kupoteza hoja msingi badala yake kuku ndiye akawa agenda. Nafikiri haya ni matokeo ya siasa nyepesi ya miaka ya karibu!
Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Afrika.