Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Siasa za Afrika zina matatizo mengi sana, tukubali tu kuongozwa na CCM kikubwa waendelee kutii muongozo wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, CCM ndicho chama kilicholeta Uhuru wa Tanganyika December 9, 1961 kwa hali ya utulivu bila kumwaga damu kipindi hicho ikijulikana kama TANU
Watanzania tumenufaika na matunda ya CCM kama tujuavyo penye faida lazima kuwepo na mapungufu kidogo, mapungufu ya CCM sio makubwa ni madogo sana kikubwa ijitahidi sana kuendelea kutii muongozo wa katiba
Tanzania ina vyama vingi vya upinzani lakini vinaishia kufanya vioja visivyoisha kila wakati jambo ambalo linawafanya Watanzania wabaki CCM kwasababu ya kuchoka na timbwili na mauzauza ya vyama vya upinzani yanayofanyika kila wakati ikiwemo viongozi vya vyama kutokuachia madaraka na kunyukana wao kwa wao ndani ya Chama jambo linalowafanya Watanzania wasiwaamini viongozi wa vyama hivyo
Wapo wengi wanaoenda mbali na kusema ikiwa Wenyeviti wa vyama wanashindwa kuwapa nafasi ya madaraka kwa viongozi wengine je wakipewa uraisi watakubali kustaafu?
Wengine wanasema ikiwa mambo ambayo yanapingwa na vyama hivyo wao wenyewe wanayafanya je nani atawaamini?
Wengine wanasema ikiwa viongozi wa vyama hivyo wananyukana wenyewe kwa wenyewe iko wapi hadhi ya wao kuwa viongozi maana yake ni kuwa hawana sifa za kuongoza nchi kwasababu ya madhaifu yao ya kurushiana makombora wenyewe kwa wenyewe