Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,384
Kwa taarifa yako Museveni ameongeza matumizi ya bandari letu na hili la reli amelivalia njuga, yeye kama yeye hana jinsi ya kujinasua.
Mimi namsubiria Ruto nione falsafa zake maana uhuru ni kiherehere saana kama raia wakeLile genge lilikua mobilised na serikali ya Kenya kupitia chancellor wa Nairobi University ili eti kubackfire M7 alivyoitosa Kenya kwenye pipeline and other favors, walitaka kuandaa genge kama hilo kwa JPM wakasanukiwa mapema ile ziara ikatupiliwa mbali. Ikumbukwe uhuru kupitia mkewe alikua anatoa fedha za matibabu na uangalizi wa karibu kwa Tundu Lissu alivyokua Nairobi
Kenya: Nyanza's Moment in the Sun as Magufuli and Obama Come Calling
Nyanza region is gearing up to receive two high profile visitors -- President John Magufuli of Tanzania and former US President Barack Obama -- in the next three weeks.allafrica.com
Kumbe maandamano mliyoyaanda yaliyakuwa ni catalyst kwa m7 kuongeza matumizi ya bandari yenu dah
Let us tuone ....
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Siasa za Tanzania zinasababisha vidonda vya tumbo ndani ya muda mfupi sana endapo mfuatiliaji hutokuwa makini!
Ni afadhali mara 10 kudowload video za ngono kuliko kufuatilia siasa za Tanzania zinazodhuru mwili na nafsi
Wenye mawazo kama wewe ndiyo mnaziharibu nchi zetu. Kwa kuwafanya ma Rais wa Africa ma miunguwatu wasiokosea na wasioambiwa wapi wanazikosea nchi zao !!!. Si shangai kwa nini Tz sasa hivi kiongozi hawezi kuambiwa madhaifu yake ya kibinaadamu bali tu kutukuzwa. [emoji107]M7 alikua upset kabisa baada ya kupitia hiyo kadhia alafu wanaweza kufikiri ni jambo dogo lakini linaweza kuwa linked na serikali ya Kenya ikahisishwa moja kwa moja na hilo tukio
Haiwezekani Rais anafika chuo na kukutana na hiyo kadhia secret service ya Kenya haijui what planned, maana yake walitakiwa wafanye clearing wiki au siku kadhaa nyuma kujua nini soft and hard-core threats ili waishauri Ikulu what they should risk sababu wao ndio host security machinery
Kiafrika lile lilikua tukio kubwa na baya sana kwa mtu mkubwa kama Rais kulipitia, walikuwa na jukumu la kumuambia M7 asiende kwa hiyo moja kwa moja wanawajibika kwa hiyo kadhia aliyoipata M7
Sasa watamsubiri huyo Bobby Wine awe Rais ndio arejeshe mahusiano mapya na Uganda like for this time aisee hilo tukio lime deteriorate in wholesale Uganda-Kenya diplomacy
ETi Museveni azomwe na wanafunzi wa miaka kati ya 18-23 imsababishe kugeuza bandari... Keep on hoping. ππππMakamu wa Rais wa Kenya kaiba billion 7 alafu anawaambia wananchi kwani ni nyingi? πππ Kweli kuna nchi na inji alafu hapa wanafunzi wa Kenya wanathubutu kumuita M7 dictator
Hayo yote Uhuru alieyopatana na M7 yasahauni kabisa sababu mmemthalilisha sana M7 na ndio maana alivyotoka tu Kenya akaituma kamati yake ya Bunge kuja Tanzania mara moja kuweka uhakika wa kutumia bandari zetu.
He heeeee ucherwa anajulikana na hyu shida imeanzia kwenye 1.5 tillionMimi na shangaa professor mzima tena mwenye uzoefu wa serikali ana shindwa na kazi yake hadi anaamua kutukana bunge..
Anafaa angalie mkataba wake wa kazi aone kama kutukana bunge ni moja wapo ya kazi ya CAG..
Profesa uchwara huyu, Tz ipo na professionals wengi wa hesabu kazi ipewe mwingine
He heeeee ucherwa anajulikana na hyu shida imeanzia kwenye 1.5 tillion
Sent using Jamii Forums mobile app
M7 alikua upset kabisa baada ya kupitia hiyo kadhia alafu wanaweza kufikiri ni jambo dogo lakini linaweza kuwa linked na serikali ya Kenya ikahisishwa moja kwa moja na hilo tukio
Haiwezekani Rais anafika chuo na kukutana na hiyo kadhia secret service ya Kenya haijui what planned, maana yake walitakiwa wafanye clearing wiki au siku kadhaa nyuma kujua nini soft and hard-core threats ili waishauri Ikulu what they should risk sababu wao ndio host security machinery
Kiafrika lile lilikua tukio kubwa na baya sana kwa mtu mkubwa kama Rais kulipitia, walikuwa na jukumu la kumuambia M7 asiende kwa hiyo moja kwa moja wanawajibika kwa hiyo kadhia aliyoipata M7
Sasa watamsubiri huyo Bobby Wine awe Rais ndio arejeshe mahusiano mapya na Uganda like for this time aisee hilo tukio lime deteriorate in wholesale Uganda-Kenya diplomacy
Sure
Kumbe that why m7 alituma watu waje kuangalia bandari ya dsm
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Upuuzi kama huo ndio ulifanya m7 apitishe bomba la mafuta huku japo total waliichagua Kenya
[emoji23][emoji23][emoji23]kwaiyo wakenya ndio wamemchoka m7 eti na mmeshawachagulia kabisa Uganda bob wine dah
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Bomba gani? Unaweza nionyesha picha?[emoji28][emoji28][emoji28]
Ukihoji ndo yanakukuta ya Assad [emoji849][emoji849] Lissu nkHivi huo mpunga haujarejeshwa? Yaani wapigaji waliamua hawarejeshi chochote.
Naona imekugusa penyewe. πππππWewe jamaa ni ngiri maji kwelikweli
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Sasa unadai picha ya bomba aliyakuwa wapo hatua za mwanzo kabisaNaona imekugusa penyewe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamekuwa hatua za mwanzo kwa miaka ngapi sahii?Sasa unadai picha ya bomba aliyakuwa wapo hatua za mwanzo kabisa
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Ulitaka Serikali ya Kenya iwacharaze viboko ? Yaani mtu akiwa dikteta asisemwe ? Ila Kenya wanasiasa wanakua mabwenyenye kwelikweli. Kuanzia Bewuot mpaka kwa RutoHawa jamaa democracia uchwara ndio inawaangusha
Sidhan kama m7 alifurahia kuitwa hivyo na wanachuo huku KE ikiwachekea tu
Sent using my iPhone using jamiiforum app