Siasa za Bongo husababisha nivumilie za kwetu na kuziona nafuu

Siasa za Bongo husababisha nivumilie za kwetu na kuziona nafuu

Kumbe maandamano mliyoyaanda yaliyakuwa ni catalyst kwa m7 kuongeza matumizi ya bandari yenu dah

Let us tuone ....
Kwa taarifa yako Museveni ameongeza matumizi ya bandari letu na hili la reli amelivalia njuga, yeye kama yeye hana jinsi ya kujinasua.

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Lile genge lilikua mobilised na serikali ya Kenya kupitia chancellor wa Nairobi University ili eti kubackfire M7 alivyoitosa Kenya kwenye pipeline and other favors, walitaka kuandaa genge kama hilo kwa JPM wakasanukiwa mapema ile ziara ikatupiliwa mbali. Ikumbukwe uhuru kupitia mkewe alikua anatoa fedha za matibabu na uangalizi wa karibu kwa Tundu Lissu alivyokua Nairobi

Mimi namsubiria Ruto nione falsafa zake maana uhuru ni kiherehere saana kama raia wake

Wenzetu now ndio wapo ZAMA za ukombozi na wameamua kuanza na Uganda[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Siasa za Tanzania zinasababisha vidonda vya tumbo ndani ya muda mfupi sana endapo mfuatiliaji hutokuwa makini!

Ni afadhali mara 10 kudowload video za ngono kuliko kufuatilia siasa za Tanzania zinazodhuru mwili na nafsi
 
Kumbe maandamano mliyoyaanda yaliyakuwa ni catalyst kwa m7 kuongeza matumizi ya bandari yenu dah

Let us tuone ....

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Na pia tunafungua mpaka wa pili baina ya Kenya na Uganda, hatoki mtu mpaka kieleweke.
 
Siasa za Tanzania zinasababisha vidonda vya tumbo ndani ya muda mfupi sana endapo mfuatiliaji hutokuwa makini!

Ni afadhali mara 10 kudowload video za ngono kuliko kufuatilia siasa za Tanzania zinazodhuru mwili na nafsi

Spika anakomoa mbunge kwa kutangaza mikopo yake hadharani....hehehehe aisei

M7 alikua upset kabisa baada ya kupitia hiyo kadhia alafu wanaweza kufikiri ni jambo dogo lakini linaweza kuwa linked na serikali ya Kenya ikahisishwa moja kwa moja na hilo tukio

Haiwezekani Rais anafika chuo na kukutana na hiyo kadhia secret service ya Kenya haijui what planned, maana yake walitakiwa wafanye clearing wiki au siku kadhaa nyuma kujua nini soft and hard-core threats ili waishauri Ikulu what they should risk sababu wao ndio host security machinery

Kiafrika lile lilikua tukio kubwa na baya sana kwa mtu mkubwa kama Rais kulipitia, walikuwa na jukumu la kumuambia M7 asiende kwa hiyo moja kwa moja wanawajibika kwa hiyo kadhia aliyoipata M7

Sasa watamsubiri huyo Bobby Wine awe Rais ndio arejeshe mahusiano mapya na Uganda like for this time aisee hilo tukio lime deteriorate in wholesale Uganda-Kenya diplomacy
Wenye mawazo kama wewe ndiyo mnaziharibu nchi zetu. Kwa kuwafanya ma Rais wa Africa ma miunguwatu wasiokosea na wasioambiwa wapi wanazikosea nchi zao !!!. Si shangai kwa nini Tz sasa hivi kiongozi hawezi kuambiwa madhaifu yake ya kibinaadamu bali tu kutukuzwa. [emoji107]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makamu wa Rais wa Kenya kaiba billion 7 alafu anawaambia wananchi kwani ni nyingi? 😂😂😂 Kweli kuna nchi na inji alafu hapa wanafunzi wa Kenya wanathubutu kumuita M7 dictator

Hayo yote Uhuru alieyopatana na M7 yasahauni kabisa sababu mmemthalilisha sana M7 na ndio maana alivyotoka tu Kenya akaituma kamati yake ya Bunge kuja Tanzania mara moja kuweka uhakika wa kutumia bandari zetu.

ETi Museveni azomwe na wanafunzi wa miaka kati ya 18-23 imsababishe kugeuza bandari... Keep on hoping. 😛😛😛😛
 
Mimi na shangaa professor mzima tena mwenye uzoefu wa serikali ana shindwa na kazi yake hadi anaamua kutukana bunge..
Anafaa angalie mkataba wake wa kazi aone kama kutukana bunge ni moja wapo ya kazi ya CAG..
Profesa uchwara huyu, Tz ipo na professionals wengi wa hesabu kazi ipewe mwingine
He heeeee ucherwa anajulikana na hyu shida imeanzia kwenye 1.5 tillion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M7 alikua upset kabisa baada ya kupitia hiyo kadhia alafu wanaweza kufikiri ni jambo dogo lakini linaweza kuwa linked na serikali ya Kenya ikahisishwa moja kwa moja na hilo tukio

Haiwezekani Rais anafika chuo na kukutana na hiyo kadhia secret service ya Kenya haijui what planned, maana yake walitakiwa wafanye clearing wiki au siku kadhaa nyuma kujua nini soft and hard-core threats ili waishauri Ikulu what they should risk sababu wao ndio host security machinery

Kiafrika lile lilikua tukio kubwa na baya sana kwa mtu mkubwa kama Rais kulipitia, walikuwa na jukumu la kumuambia M7 asiende kwa hiyo moja kwa moja wanawajibika kwa hiyo kadhia aliyoipata M7

Sasa watamsubiri huyo Bobby Wine awe Rais ndio arejeshe mahusiano mapya na Uganda like for this time aisee hilo tukio lime deteriorate in wholesale Uganda-Kenya diplomacy

Wabongo karibuni kwenye democrasy. Mmezoea dictatorship hadi mkiona democrasy mnadhani ni ukosefu wa heshima. Huku hata rais wetu tunamboo. Vilaza kama Redeemer hawawezi elewa haya.
 
Sure

Kumbe that why m7 alituma watu waje kuangalia bandari ya dsm

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Museveni amekua akituma watu waje kuangalia bandari tangu miaka ya 80s. Ni lini hiyo bandari itatake over biashara ya Mombasa kwenda Uganda?
 
Upuuzi kama huo ndio ulifanya m7 apitishe bomba la mafuta huku japo total waliichagua Kenya

[emoji23][emoji23][emoji23]kwaiyo wakenya ndio wamemchoka m7 eti na mmeshawachagulia kabisa Uganda bob wine dah

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Bomba gani? Unaweza nionyesha picha?😅😅😅
 
Bongo hata siasa zenyewe hamna kuna ubabe tu akiyeitwa dikteta uchwara amegraduate nakuwa rais wa mashetani
 
Hawa jamaa democracia uchwara ndio inawaangusha
Sidhan kama m7 alifurahia kuitwa hivyo na wanachuo huku KE ikiwachekea tu

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Ulitaka Serikali ya Kenya iwacharaze viboko ? Yaani mtu akiwa dikteta asisemwe ? Ila Kenya wanasiasa wanakua mabwenyenye kwelikweli. Kuanzia Bewuot mpaka kwa Ruto
 
Back
Top Bottom