Siasa za Bongo husababisha nivumilie za kwetu na kuziona nafuu

Ulitaka Serikali ya Kenya iwacharaze viboko ? Yaani mtu akiwa dikteta asisemwe ? Ila Kenya wanasiasa wanakua mabwenyenye kwelikweli. Kuanzia Bewuot mpaka kwa Ruto
Sasa udiktekta wake unawahusu nn wakenya ?

Wakenya wapambane na miguna wao

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Hizi ndio siasa za ajabu ajabu za Tz. Sisiemu hoyeee, humasikini mbere kwa mbere!
 
Oii, mnafanya michezo kwenye siasa alafu kwenye michezo ndio sasa mnaingiza siasa. Maanake kwenye michezo hamuonekani hata kidogo kwenye ramani ya dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…