Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,384
Sasa udiktekta wake unawahusu nn wakenya ?Ulitaka Serikali ya Kenya iwacharaze viboko ? Yaani mtu akiwa dikteta asisemwe ? Ila Kenya wanasiasa wanakua mabwenyenye kwelikweli. Kuanzia Bewuot mpaka kwa Ruto
Wakenya wapambane na miguna wao
Sent using my iPhone using jamiiforum app