Napenda kuwakumbusha Wana ccm na wapinzani epukeni siasa za kuhujumiana nadhani mnakumbuka yalio tokea Znz na bara miaka ya nyuma wakati ule hapakuwa na teknolojia tunayo SASA.
Vyombo vya usalama jeshi la Wana nchi wa Tanzania na usalama wataifa wa tahadharisheni viongoz wakuu kwamba hili Taifa linamtafuta muanzishaji Tu watu wamechoka na nyie mnajuwa SASA ni Bora kuwe na uvumilivu wakisiasa uchaguz upite ila kama vyama vikianza kuhujumiana na kuchomeana Moto nyumban nataka kuwahakikishia nyumban itaungua na jeshi pamoja na vyombo vya ulinzi hamtoweza zuwia.
Mimi naliogopa Sana Taifa hili na niwakumbushe Yale yalitokea Kusini kipindi cha gas maeneo ambayo ccm ilikuwa ngome ila palinuka mpaka vyombo vya usalama havikuamini.
Kuhusu Lisu na Membe Mimi nataka kusema hawa no watu hatari na nibora kukaa mbali nao maana Kwa lolote litawakuta msidhani siasa za hili Taifa zitabaki kama zilivyokuwa kiufupi dunia na makundi ya usalama dunian wanaiangalia Tz Kwa ukaribu kuliko kipindi chochote like. Hatupaswi kulala wala kuchukua kimasihara.
Hayo ndio maoni yangu.