Siasa za chuki na kuhujumiana zitaleta mpasuko mkubwa ktk Taifa

Wana CCM hawaamini jinsi Watanzania walivyosisimka baada ya Mpendwa wao kurejea nchini.Hata mkipiga mawe,risasi au mabomu hawatawasikiliza wala kurudi nyuma.

Nchi inaenda kupata Nuru ya Utu,Usawa,Haki na Amani ya kweli. Endeleeni na shughuli mnayoiweza ya kuzindua/kuzidua/kuzindua ambayo kwa miaka mitano mmeifanya sana.Pia jifunzeni siasa za kujenga hoja siyo kuwagombeza waajiri wenu kila Siku, mumetutishia, kutukemea na kutuweka ndani na kututumbua bila kutusikiliza vya kutosha.Mnatuita wanyonge huku mnatunyonga?

Nawashauri mrudi kwenye misingi ya Taiga hili,Amani ni tunda LA Haki,hivyo Msijaribu kuhujumu zoezi la Uchaguzi Mkuu wa 2020, Watanzania hawatakubali na lolote linaweza kutokea. Mmekataa Katiba Mpya wamewavumilia ila sidhani kama hawatatendewa Haki katika uchaguzi huu,je watanyamaza?
 
Unaanza kwa kupoteza lengo kumbe wewe ni wale wale, unajifanya huoni wanaoanzisha vurugu.

Ukishaonyesha ushabiki huwezi kutoa ushauri wowote na watu wakautilia maanani, watakuona mnafiki tu kama wengi wa huko unakoshabikia.
 
Sijawahi kuona bandiko lako lenye weledi au kuwa na maana, yote ni pumba tu. Kwa taarifa yako hakuna kosa wala sheria aliyoivunja. kasome utaelewa lkn sidhani kama utasoma kwani akili yako sio ya kiusomaji.
 
kwani katiba yetu ya Tanzania inakataza kuwa na vyama vingi?
 
Duu so kule Mongolandege nako kuliguswa ? Basi psych. Inasumbua
 
Emu tuthibitishie uko chini kumeharibikaje ulimpa ndogo ama ilikuwaje mpaka ukajua chini kumealibika
 
Naunga mkono hoja ila baada ya kushauri watu wa kukaa nao mbali, umesahau kushauri watu wa kukaa nao karibu!.
P
Haya maoni ila wakukaa karibu naye wanamjuwa mm siongei siasa naongea uhalisia kwenye kuhujumiana tutaumizana Sana tena Sana
 
Tanzania ni kubwa kuliko watu wachache ambao wanataka kutufarakanisha
 
Haya maoni ila wakukaa karibu naye wanamjuwa mm siongei siasa naongea uhalisia kwenye kuhujumiana tutaumizana Sana tena Sana
Naamini majawabu yapo. Kuvuruga Tanzania ni Dhambi isiyosameheka. Wanasiasa waangalie kila step wanazochukua kinda umoja
 
Joined 15 June 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…