Siasa za El nino : Hapo ulipo kuna mvua ,jua kali au upepo ?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
Tunatishiana sana kwa wale tulionunua vyakula Septemba mzigo umeisha na hapa tunambiwa kununua tena eti ni katikati ya October hii full kupewa betting

Tumeanza kuambiwa kuwa kuna maeneo mvua imeanza baadhi ya maeneo hapa nchini kuwa Tanzania ni kubwa na humu jamiiforums tupo kila sehemu nambie huko uliko inayesha au jua tu na upepo?

Broo umekariri elnino sio mvua pekee bali hata ukame ,upepo mkali(vimbunga ,tsunami), au hata mafuriko ,hali ya ukame yaweza tokea pale ambapo majira ya mvua yatahama au yasiwepo kabisa .
 
Nimeandika mvua,jua ,upepo kama kipaumbele vya matokeo au wewe hujui kusoma

USSR
 
nambie huko uliko inayesha au jua tu na upepo?
Hakuna mvua ila lile wingu la jana limeniudhi sana nilitaka ishuke mvua ya kufa mnyama ila vimeshuka vitonetone tu na juu kuna bonge la wingu au kuna muhuni anazuia mvua mboni km sielewi?
 
El Nino ilikuwepo tangu kuumbwa kwa ulimwengu, ipo na itaendelea kuwepo. Siyo kitu kipya.
Kilichobadilika ni kupeana taarifa, siku hizi hata majuha yanapata na zinasambazwa bila kuzichakata.
Taarifa zinatolewa kijinga kabisa, unaweza ukaona El Nino ikifuata ramani za mikoa.
 
Broo umekariri elnino sio mvua pekee bali hata ukame ,upepo mkali(vimbunga ,tsunami), au hata mafuriko ,hali ya ukame yaweza tokea pale ambapo majira ya mvua yatahama au yasiwepo kabisa .
Lengo la hii el nino kwa walivyosema viongozi ni mvua kubwa au hukufuatilia walichokua wanasema kwenye vyombo vya habari? sijasikia wakisema ukame na upepo mkali, vile vibanda pembezoni mwa barabara wamefanya operesheni ondoa vibanda ili kupisha mvua sio ukame wala upepo mkali
 
El Nino ilikuwepo tangu kuumbwa kwa ulimwengu, ipo na itaendelea kuwepo. Siyo kitu kipya.
Kilichobadilika ni kupeana taarifa, siku hizi hata majuha yanapata na zinasambazwa bila kuzichakata.
Taarifa zinatolewa kijinga kabisa, unaweza ukaona El Nino ikifuata ramani za mikoa.
Nimekutana na Eli nino huku!
 
Attachments

  • 43358ac182ac057ded8d663a80936ca2_1791352180888.mp4
    11.4 MB
Tunatishiana sana kwa wale tulionunua vyakula Septemba mzigo umeisha na hapa tunambiwa kununua tena eti ni katikati ya October hii full kupewa betting

Tumeanza kuambiwa kuwa kuna maeneo mvua imeanza baadhi ya maeneo hapa nchini kuwa Tanzania ni kubwa na humu jamiiforums tupo kila sehemu nambie huko uliko inayesha au jua tu na upepo?

USSR
Billon 700 lazima zifanyiwe justification
 
Broo umekariri elnino sio mvua pekee bali hata ukame ,upepo mkali(vimbunga ,tsunami), au hata mafuriko ,hali ya ukame yaweza tokea pale ambapo majira ya mvua yatahama au yasiwepo kabisa .
Eemm namimi nieleweshe mkuu kwaivo hata ukame unaweza kuitwa elnino
 
Back
Top Bottom