Broo umekariri elnino sio mvua pekee bali hata ukame ,upepo mkali(vimbunga ,tsunami), au hata mafuriko ,hali ya ukame yaweza tokea pale ambapo majira ya mvua yatahama au yasiwepo kabisa .Tunatishiana sana kwa wale tulionunua vyakula Septemba mzigo umeisha na hapa tunambiwa kununua tena eti ni katikati ya October hii full kupewa betting
Tumeanza kuambiwa kuwa kuna maeneo mvua imeanza baadhi ya maeneo hapa nchini kuwa Tanzania ni kubwa na humu jamiiforums tupo kila sehemu nambie huko uliko inayesha au jua tu na upepo?
USSR
Nimeandika mvua,jua ,upepo kama kipaumbele vya matokeo au wewe hujui kusomaBroo umekariri elnino sio mvua pekee bali hata ukame ,upepo mkali(vimbunga ,tsunami), au hata mafuriko ,hali ya ukame yaweza tokea pale ambapo majira ya mvua yatahama au yasiwepo kabisa .
Hakuna mvua ila lile wingu la jana limeniudhi sana nilitaka ishuke mvua ya kufa mnyama ila vimeshuka vitonetone tu na juu kuna bonge la wingu au kuna muhuni anazuia mvua mboni km sielewi?nambie huko uliko inayesha au jua tu na upepo?
Lengo la hii el nino kwa walivyosema viongozi ni mvua kubwa au hukufuatilia walichokua wanasema kwenye vyombo vya habari? sijasikia wakisema ukame na upepo mkali, vile vibanda pembezoni mwa barabara wamefanya operesheni ondoa vibanda ili kupisha mvua sio ukame wala upepo mkaliBroo umekariri elnino sio mvua pekee bali hata ukame ,upepo mkali(vimbunga ,tsunami), au hata mafuriko ,hali ya ukame yaweza tokea pale ambapo majira ya mvua yatahama au yasiwepo kabisa .
Nimekutana na Eli nino huku!El Nino ilikuwepo tangu kuumbwa kwa ulimwengu, ipo na itaendelea kuwepo. Siyo kitu kipya.
Kilichobadilika ni kupeana taarifa, siku hizi hata majuha yanapata na zinasambazwa bila kuzichakata.
Taarifa zinatolewa kijinga kabisa, unaweza ukaona El Nino ikifuata ramani za mikoa.
Billon 700 lazima zifanyiwe justificationTunatishiana sana kwa wale tulionunua vyakula Septemba mzigo umeisha na hapa tunambiwa kununua tena eti ni katikati ya October hii full kupewa betting
Tumeanza kuambiwa kuwa kuna maeneo mvua imeanza baadhi ya maeneo hapa nchini kuwa Tanzania ni kubwa na humu jamiiforums tupo kila sehemu nambie huko uliko inayesha au jua tu na upepo?
USSR
Heche kwenu ni mwiba mbavuni π
Eemm namimi nieleweshe mkuu kwaivo hata ukame unaweza kuitwa elninoBroo umekariri elnino sio mvua pekee bali hata ukame ,upepo mkali(vimbunga ,tsunami), au hata mafuriko ,hali ya ukame yaweza tokea pale ambapo majira ya mvua yatahama au yasiwepo kabisa .
Hivi tumeenda kuzikaHata sielewi! Nilikuwa Eda! Sasa niko Zimbabwe!