Siasa za Kenya ni burudani tosha kila kukicha. Mwanasiasa Mtata Aisha Jumwa akiserebuka kwa Gospel kusherehekea anguko la BBI

May Day

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Posts
6,311
Reaction score
9,027
Mmoja wa Wanasisa wenye vituko kutokea Pwani ya Kenya Bi Aisha Jumwa ameamua kutoa burudani ya aina yake huku akipeleka ujumbe kwa Wapinzani wa Ruto.

Hivi BBI ni nini?
Inasimama kwa maneno 'building bridges initiative'

Iibuniwa na Raila na Kenyata baada ya kushikana mikono kusahau yaliyopita wagange yajayo, almaarufu kule Kenya kama 'hand shake'

Wakaandaa mapendekezo fulani fulani ili waje kurekebisha katiba, sasa mtiti ukawa kuipigia debe hiyo BBI Wananchi wailewe.
 
Inasimama kwa maneno 'building bridges initiative'

Iibuniwa na Raila na Kenyata baada ya kushikama mikono kusahau yaliyopita wagange yajayo, almaarufu kule Kenya kama 'hand shake'

Wakaandaa mapendekezo fulani fulani ili waje kurekebisha katiba, sasa mtiti ukawa kuipigia debe hiyo BBI Wananchi wailewe.

Uhuru mjanja now kaanza kumgeuka Raila anajifanya yuko fair kwa wote wanaotaka Urais
 
Duh, ingawa kwa mimi bado sijaona dalili za Uhuru kurudi nyuma.

Uhuru hataki Ruto awe raisi na imeshakuwa wazi na sidhani kama atabadilika.
 
Ruto anatakiwa kuzicheza karata zake kwa umakini zaidi, maana ile Uhuru kumgeuka na kujenga ukaribu na Odinga kunamfanya kuwa vulnerable......
 
Uhuru kamfanyia vibaya sana mwenzake! Yaani kamfanya kama toilet paper au ndomu! Hapo Ruto atafute mgombea mwenza kutoka Mount Kenya ili azigawe kura za Uhuru na mwenzake! Maana wale jamaa wa Ukambani na kwa Waluhya wamegoma kumwachia Odinga!
 
Mmoja wa Wanasisa wenye vituko kutokea Pwani ya Kenya Bi Aisha Jumwa ameamua kutoa burudani ya aina yake huku akipeleka ujumbe kwa Wapinzani wa Ruto.

Huyu ni mwanamme au mwanamke?
 
Ruto anatakiwa kuzicheza karata zake kwa umakini zaidi, maana ile Uhuru kumgeuka na kujenga ukaribu na Odinga kunamfanya kuwa vulnerable......
Hali halisi ilivyo ni kuwa Ruto haoneshi kurudi nyuma na ana mikakati kama aliyokuwa anaitumia Mzee wetu wa Monduli...Hivyo Wafuasi anao na si wa kumchukulia poa.

Ila naona Uhuru anapambana kumtoa kwenye ramani, na sijui kama atafaulu tusubiri hiyo August 2022.

Hofu yangu ni yatakayofuata baada ya Uchaguzi.
 
Hapo ni kasheshe, ni bora wakapunguza intimidations......mambo yafanyike kwenye ulingo ulio sawa.
 
Back
Top Bottom