Aisha Jumwa, huwa nalipenda sana hili dada kutoka Pwani ya KenyaMmoja wa Wanasisa wenye vituko kutokea Pwani ya Kenya Bi Aisha Jumwa ameamua kutoa burudani ya aina yake huku akipeleka ujumbe kwa Wapinzani wa Ruto.
Duu nimesubiri ageuke nione msambwanda nimeambulia patupu[emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525]
Umeshawahi kuliona. Aise ndo maana hageukiAisha ana tako la kihindi angekua na msambwanda mbona wangemkoma maana ni mcharuko balaa
Kwa mujibu wa raila odinga ni mfumo ulio anzishwa kwa dhumuni la kuchukua maoni kwa haja ya kugeuza mfumo wa uongozi.Hivi BBI ni nini?
Inasimama kwa maneno 'building bridges initiative'Hivi BBI ni nini?
Inasimama kwa maneno 'building bridges initiative'
Iibuniwa na Raila na Kenyata baada ya kushikama mikono kusahau yaliyopita wagange yajayo, almaarufu kule Kenya kama 'hand shake'
Wakaandaa mapendekezo fulani fulani ili waje kurekebisha katiba, sasa mtiti ukawa kuipigia debe hiyo BBI Wananchi wailewe.
Uhuru kamfanyia vibaya sana mwenzake! Yaani kamfanya kama toilet paper au ndomu! Hapo Ruto atafute mgombea mwenza kutoka Mount Kenya ili azigawe kura za Uhuru na mwenzake! Maana wale jamaa wa Ukambani na kwa Waluhya wamegoma kumwachia Odinga!Ruto anatakiwa kuzicheza karata zake kwa umakini zaidi, maana ile Uhuru kumgeuka na kujenga ukaribu na Odinga kunamfanya kuwa vulnerable......
Huyu ni mwanamme au mwanamke?Mmoja wa Wanasisa wenye vituko kutokea Pwani ya Kenya Bi Aisha Jumwa ameamua kutoa burudani ya aina yake huku akipeleka ujumbe kwa Wapinzani wa Ruto.
Hali halisi ilivyo ni kuwa Ruto haoneshi kurudi nyuma na ana mikakati kama aliyokuwa anaitumia Mzee wetu wa Monduli...Hivyo Wafuasi anao na si wa kumchukulia poa.Ruto anatakiwa kuzicheza karata zake kwa umakini zaidi, maana ile Uhuru kumgeuka na kujenga ukaribu na Odinga kunamfanya kuwa vulnerable......
Hapo ni kasheshe, ni bora wakapunguza intimidations......mambo yafanyike kwenye ulingo ulio sawa.Hali halisi ilivyo ni kuwa Ruto haoneshi kurudi nyuma na ana mikakati kama aliyokuwa anaitumia Mzee wetu wa Monduli...Hivyo Wafuasi anao na si wa kumchukulia poa.
Ila naona Uhuru anapambana kumtoa kwenye ramani, na sijui kama atafaulu tusubiri hiyo August 2022.
Hofu yangu ni yatakayofuata baada ya Uchaguzi.
Shapeless lady with a V shapeMmoja wa Wanasisa wenye vituko kutokea Pwani ya Kenya Bi Aisha Jumwa ameamua kutoa burudani ya aina yake huku akipeleka ujumbe kwa Wapinzani wa Ruto.