joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Nilifunzwa kutojibizana na wanawake hadharani, kila mwanamke kwangu ni mama yangu.Kwa maneno na vitendo vyenu kuwa tusipochagua CCM maendeleo hamleti ni kheri muondoke tu.
Sasa unajifanya hhahaah.Nilifunzwa kutojibizana na wanawake hadharani, kila mwanamke kwangu ni mama yangu.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Yani jana na we pia ulikua live kuwatch BBI pale Bomas kutokea chato[emoji122][emoji122][emoji122]
Zanzibar na Kenya hawana tofauti, ubaguzi na ukabila ni historia yao tangu hata kabla ya kupata Uhuru. Kama ilivyo Kenya, kila uchaguzi, lazima Zanzibar watu watakufa, tofauti ni kwamba Zanzibar wanakufa wachache sio kama Kenya.Hawa sijui kwanini wanachafua kale kakisiwa ka Wazenji....
Kama ni siasa hamuelewi nyamazeni.
sisi si kama Tanzania...kila mtu anafungwa mdomo CCM iwapumbaze.
Miaka ya toka Uhuru , huko 60s, siasa hapa imekuwa moto, akili zetu si za kulala ovyo
Kenya uchaguzi uliopita waliuliwa zaidi ya watu 1000, na bado mkajisifia kwamba uchaguzi umefanyika Kwa amani, yaani wakenya 100 wsmepigwa rusasi wakiwemo watoto wadogo (Pendo), na bado uchaguzi mnasema ni wa Amani, hao watatu huko Zanzibar ingekua ni Kenya huo uchaguzi sijui mngeitaje. By the way Zanzibar ni wabaguzi kama huko Kenya. Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wewe piga tu domo hapa na polisi wanaendelea kuuwa watu Tanzania, so far more than 20 people have been killed.Kenya uchaguzi uliopita waliuliwa zaidi ya watu 1000, na bado mkajisifia kwamba uchaguzi umefanyika Kwa amani, yaani wakenya 100 wsmepigwa rusasi wakiwemo watoto wadogo (Pendo), na bado uchaguzi mnasema ni wa Amani, hao watatu huko Zanzibar ingekua ni Kenya huo uchaguzi sijui mngeitaje. By the way Zanzibar ni wabaguzi kama huko Kenya. Sent from my TECNO-L8
Please make me understand some few things here, kwani siku hizi Zanzibar sio Tanzania?Ninarudia tena, Zanzibar na Kenya zinafanana sana katika ubaguzi na kuchinjana kila kipindi cha uchaguzi. Dhambi ya ukabila na ubaguzi ni kuchinjana.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Si hawa jamaa wawaachie wazenji nchi yaoHawa sijui kwanini wanachafua kale kakisiwa ka Wazenji....
Umeskia lini kenya kabla uchaguzi ukaona maandamano..Zanzibar na Kenya hawana tofauti, ubaguzi na ukabila ni historia yao tangu hata kabla ya kupata Uhuru. Kama ilivyo Kenya, kila uchaguzi, lazima Zanzibar watu watakufa, tofauti ni kwamba Zanzibar wanakufa wachache sio kama Kenya.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Nionyeshe wapi uhuru na naibu wake walitukanana na kugombezana..Onyesha ni nchi gani ambako Naibu na rais wake wanashambuliana hadharani. Failed state ndio nchi pekee ambako hakuna law and order, viongozi wanatukanana na kugombezana hadharani. Hii haiwezi kutokea katika "Civilized Community"
Mpokonyeni bakhresa kwanza ndio na sisi tutafutaMkiweza kuyarudisha mashamba ambayo akina kenyatta, Dalamare et al ndiyo tutasema mumeamka. Saa hii bado mko fofofo, mkifa njaa huku wenzenu wakilima maua.
Zanzibar ni nchi yenye mamlaka yake ya kujiendesha, kuna maeneo tumeungana, lakini maeneo mengi hatuja ungana nao.Please make me understand some few things here, kwani siku hizi Zanzibar sio Tanzania?
Kwani hao polisi wanauwa watu huko Zanzibar ni polisi wa Zanzibar na si wa Tanzania?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo kila kinachifanyika Kenya lazima kifanyike exactly the same nchi zote? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeskia lini kenya kabla uchaguzi ukaona maandamano..
Nynyi naona mumefika level ingine, mnauwana hata kabla uchaguzi
We teargas 20 umesikia wapiWewe piga tu domo hapa na polisi wanaendelea kuuwa watu Tanzania, so far more than 20 people have been killed.
Mpokonyeni bakhresa kwanza ndio na sisi tutafuta