Siasa za Kenya ni vituko juu ya vituko na BBI

Siasa za Kenya ni vituko juu ya vituko na BBI

Yani jana na we pia ulikua live kuwatch BBI pale Bomas kutokea chato[emoji122][emoji122][emoji122]

Hawa sijui kwanini wanachafua kale kakisiwa ka Wazenji....

2603106_1603790985093.png
 
Hawa sijui kwanini wanachafua kale kakisiwa ka Wazenji....
Zanzibar na Kenya hawana tofauti, ubaguzi na ukabila ni historia yao tangu hata kabla ya kupata Uhuru. Kama ilivyo Kenya, kila uchaguzi, lazima Zanzibar watu watakufa, tofauti ni kwamba Zanzibar wanakufa wachache sio kama Kenya.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni siasa hamuelewi nyamazeni.

sisi si kama Tanzania...kila mtu anafungwa mdomo CCM iwapumbaze.

Miaka ya toka Uhuru , huko 60s, siasa hapa imekuwa moto, akili zetu si za kulala ovyo

Mkiweza kuyarudisha mashamba ambayo akina kenyatta, Dalamare et al ambayo wanayatumia kulima maua, ndiyo tutasema mmeamka. Saa hii bado mko fofofo, mkifa njaa huku wenzenu wakilima maua.
 
Kenya uchaguzi uliopita waliuliwa zaidi ya watu 1000, na bado mkajisifia kwamba uchaguzi umefanyika Kwa amani, yaani wakenya 100 wsmepigwa rusasi wakiwemo watoto wadogo (Pendo), na bado uchaguzi mnasema ni wa Amani, hao watatu huko Zanzibar ingekua ni Kenya huo uchaguzi sijui mngeitaje. By the way Zanzibar ni wabaguzi kama huko Kenya. Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kenya uchaguzi uliopita waliuliwa zaidi ya watu 1000, na bado mkajisifia kwamba uchaguzi umefanyika Kwa amani, yaani wakenya 100 wsmepigwa rusasi wakiwemo watoto wadogo (Pendo), na bado uchaguzi mnasema ni wa Amani, hao watatu huko Zanzibar ingekua ni Kenya huo uchaguzi sijui mngeitaje. By the way Zanzibar ni wabaguzi kama huko Kenya. Sent from my TECNO-L8
Wewe piga tu domo hapa na polisi wanaendelea kuuwa watu Tanzania, so far more than 20 people have been killed.
 
Ninarudia tena, Zanzibar na Kenya zinafanana sana katika ubaguzi na kuchinjana kila kipindi cha uchaguzi. Dhambi ya ukabila na ubaguzi ni kuchinjana.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Please make me understand some few things here, kwani siku hizi Zanzibar sio Tanzania?
Kwani hao polisi wanauwa watu huko Zanzibar ni polisi wa Zanzibar na si wa Tanzania?
 
Zanzibar na Kenya hawana tofauti, ubaguzi na ukabila ni historia yao tangu hata kabla ya kupata Uhuru. Kama ilivyo Kenya, kila uchaguzi, lazima Zanzibar watu watakufa, tofauti ni kwamba Zanzibar wanakufa wachache sio kama Kenya.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Umeskia lini kenya kabla uchaguzi ukaona maandamano..
Nynyi naona mumefika level ingine, mnauwana hata kabla uchaguzi
 
Onyesha ni nchi gani ambako Naibu na rais wake wanashambuliana hadharani. Failed state ndio nchi pekee ambako hakuna law and order, viongozi wanatukanana na kugombezana hadharani. Hii haiwezi kutokea katika "Civilized Community"
Nionyeshe wapi uhuru na naibu wake walitukanana na kugombezana..

Kila mtu ametoa maoni yako, labda we leo utupe maana ya mpya ya kutukanana na kugombezana hadharani
 
Mkiweza kuyarudisha mashamba ambayo akina kenyatta, Dalamare et al ndiyo tutasema mumeamka. Saa hii bado mko fofofo, mkifa njaa huku wenzenu wakilima maua.
Mpokonyeni bakhresa kwanza ndio na sisi tutafuta
 
Please make me understand some few things here, kwani siku hizi Zanzibar sio Tanzania?
Kwani hao polisi wanauwa watu huko Zanzibar ni polisi wa Zanzibar na si wa Tanzania?
Zanzibar ni nchi yenye mamlaka yake ya kujiendesha, kuna maeneo tumeungana, lakini maeneo mengi hatuja ungana nao.

Zanzibar wanayo tume yao ya uchaguzi ambayo ndiyo inayosimamia uchaguzi wa wao, kuna rais na naibu rais wawili na bunge lao

Japo Wizara ya mambo ya ndani yenye kusimamia polisi ni wizara ya Muungano, lakini polisi Zanzibar lazima wapate maelekezo na kibali toka serikali ya Zanzibar, hata kama Magufuli ameamrisha polisi kuchukua hatua, lazima hiyo hatua pia ikubaliwe na viongozi wa serikali ya Zanzibar.
 
Umeskia lini kenya kabla uchaguzi ukaona maandamano..
Nynyi naona mumefika level ingine, mnauwana hata kabla uchaguzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo kila kinachifanyika Kenya lazima kifanyike exactly the same nchi zote? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Baakhresa hamiliki hata kilimeta moja ya ardhi. Kutokana na upungufu wa sukari, mwaka juzi Magufuli amemuomba aanzishe kiwanda cha sukari na amempa acres 10,000 kwa lease ya miaka 33, kwa masharti ya kulima miwa, hawezi kuliuza au kubadili matumizi, akifilisika ardhi inarudishwa serikalini

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom