Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Siasa za Kenya ni vituko vitupu, nafikiri hii ndio lifestyle yao deep in their capillaries and veins, nilikua nawashangaa wakenya kwa kuporomosha matusi mazito kwenye page ya Magufuli kipindi cha Corona kumbe nilikua wrong kichizi.
Maana ya BBI ni building bridges initiative lakini kwenye hii video kinachoonekana ni blasting them away and make the valley even more huge, what a shenaniganism 😀😀😀
Hapa ni vita kabisa na hii ndio reality ya maisha ya wakenya, yaani ni kama uzao wa kambale baba ana ndevu, mama ana ndevu na watoto wanazo no order at all, hapa makamu wao ananangwa peupe nae anajibu mapigo na kuzomewa juu 😅😅😅
Jamani watanzania tuendelee tu na unafki wetu, tuendelee tu kuheshimiana na kuwa waungwana, we're are civilized
This monkey business is only a reality in bananas Republic 😅😅😅