Siasa za kikanda: Malori 150 ya Tanzania Madereva wake wazuiwa nchini Zambia

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
30 September 2021
Kasumbalesa
Mpakani mwa DR Congo na Zambia
na Nakonde Zambia

Zaidi wa malori 150 ya Tanzania pamoja na madereva wake wazuiwa kuendelea na safari yao baada ya kuvuka mpaka na makontena ya magogo toka nchini DR Congo. Tayari siku thelathini zimepita bila kupatikana ruhusa ya kuendelea na safari. Huku wengine pia wakisema wao wana siku 90 wamekwama nchini Zambia.

Madereva na wamiliki wa malori wamefanya juhudi kuwasiliana na ubalozi wa Tanzania mjini Lusaka Zambia na idara mbalimbali za serikali nyumbani Tanzania bila mafanikio.

Madereva hao wapo ktk kituo cha forodha mpakani nchini Zambia baada ya kuvuka na mzigo huo wenye nyaraka zote halali za mizigo na zinazoonesha wamiliki wa magogo ni wa Nchi DR Congo.

Maafisa wa forodha wa Zambia walidai kuwa magogo hayo ni ya kutoka nchini Zambia. Makontena yalifunguliwa na kufanyiwa uhakiki na kufungwa tena kwa seal lakini bado malori hayo ya Tanzania hayajaruhusiwa kuendelea na safari kuelekea bandari ya Dar es Salaam Tanzania.

Source : Global TV online
 
Kasumbalesa Border Post Zambia
Kasumbalesa border road between Drcongo and Zambia

Source : Debby Muya
 
.. Mkuu nmeona pia clip ingine leo madereva wa malori watanzania wamezuiwa nchini Malawi na baadhi ya malori hayo kuanza kuharibiwa kwa kuvinjwa vioo na taa. Maelezo yaliyoambatana na video hiyo ni kwamba madereva wa Malawi wamefanya mgomo kushinikiza waongezewe mishahara na kulazimisha ("kuyateka").
Kama ni kweli tatizo ni kubwa sana
 
Bila shaka wewe unajaribu kuleta uchonganishi baina ya tx na zm, kisa wao wameperusha vyema bendera kuwazidi kwa mambo yenu ya hovyo, hujaeleweka uhusiano Kati ya Drc, zambia na tz, vinginevyo kama sii majungu na kuutumia uzuzu wa wengi kwa manufaa na maslahi ya wenye kuyatazama manufaa ya wachache.
 
30 September 2021
Kasumbalesa
Mpakani mwa DR Congo na Zambia
na Nakonde Zambia

Zaidi wa malori 150 ya Tanzania pamoja na madereva wake wazuiwa kuendelea na safari yao baada ya kuvuka mpaka na makontena ya magogo toka nchini DR Congo. Tayari siku thelathini zimepita bila kupatikana ruhusa ya kuendelea na safari. Huku wengine pia wakisema wao wana siku 90 wamekwama nchini Zambia.

Madereva na wamiliki wa malori wamefanya juhudi kuwasiliana na ubalozi wa Tanzania mjini Lusaka Zambia na idara mbalimbali za serikali nyumbani Tanzania bila mafanikio.

Madereva hao wapo ktk kituo cha forodha mpakani nchini Zambia baada ya kuvuka na mzigo huo wenye nyaraka zote halali za mizigo na zinazoonesha wamiliki wa magogo ni wa Nchi DR Congo.

Maafisa wa forodha wa Zambia walidai kuwa magogo hayo ni ya kutoka nchini Zambia. Makontena yalifunguliwa na kufanyiwa uhakiki na kufungwa tena kwa seal lakini bado malori hayo ya Tanzania hayajaruhusiwa kuendelea na safari kuelekea bandari ya Dar es Salaam Tanzania.

Source : Global TV online

Kwani Manara analizungumziaje hili?🤣🤏🤌
 
.. Mkuu nmeona pia clip ingine leo madereva wa malori watanzania wamezuiwa nchini Malawi na baadhi ya malori hayo kuanza kuharibiwa kwa kuvinjwa vioo na taa. Maelezo yaliyoambatana na video hiyo ni kwamba madereva wa Malawi wamefanya mgomo kushinikiza waongezewe mishahara na kulazimisha ("kuyateka").
Kama ni kweli tatizo ni kubwa sana

29 September 2021

MADEREVA WA MALORI KUTOKA TANZANIA WANAVYOFANYIWA UNYAMA NCHINI MALAWI.

Source : BM24 News
 
30 September 2021
Lilongwe Malawi

SAKATA la MADEREVA wa TZ Wanaodaiwa KUTEKWA MALAWI, UBALOZI WATOA TAMKO...

UBALOZI wa Tanzania nchini Malawi umetoa taarifa kuhusu tetesi kuwa baadhi ya madereva wa malori kutoka Tanzania wamewekwa kizuizini nchini Malawi huku baadhi ya magari yao kuharibiwa...
Source: Global TV online
 
Mgomo wa madereva wa Malori wa Malawi wapelekea pia malori ya kampuni za kitanzania na madereva wao kushindwa kuendelea na safari

30 September 2021
Lilongwe, Malawi

Malawi truck drivers demand $160 a month

Malawi truck drivers demand $160 a month​

Sep 30, 2021 Russell Kondowe Business 0

MALAWI-TRUCKS.jpg

Malawian truck drivers have asked government to back their demand for a K140,000 as the UK runs out of truck drivers. Both countries are fighting a fuel crisis. In Malawi, the crisis has been caused by a sit in of drivers for tankers.

Truck drivers have complained that despite government setting a minimum wage of K140,000, employees are not adhering to the directive as the drivers are still being paid K40,000.

The drivers are also concerned that they are required to present certificates of negative Covid-19 test every time they travel but they pay $50 (K40,000) to get tested.

Truck owners under Transporters Association of Malawi and Fuel Transporters Association of Malawi also joined the strike yesterday demanding government to stop giving the majority of contracts to foreign companies.

On Wednesday, some of the striking drivers were arrested by police officers.

The strike has led to shortage of fuel in filling stations across the country. Malawi Energy Regulatory Authority (MERA) said yesterday that there is fuel in reserves and efforts were being made to address the fuel stockouts.

Following concerns over the fuel shortage, government last night reminded truck owners to comply with the K140,000 minimum wage for truck drivers Government also gazetted a law reducing a 48-page passport fee for crossborder truck drivers from K120,000 to K60,000 while the Ministry of Health ordered that all truck drivers who cross borders should be testing for Covid-19 free of charge.

Source : Malawi truck drivers demand $160 a month - Malawi 24 - Malawi news
 
Haikande Hichilema
Mwanzilishi wa hizi fitna ni Edgar Lungu tena kama si kosei ni kwenye miezi hii ya karibuni baada ya kupitisha sheria zao tata za kulinda maslahi ya nchi yao na watu wao.

Nadhani na sisi tunatakiwa tuwe na sheria za aina hii hii, za jino kwa jino. Magufuli alijitahidi sana kwenye sarakasi za aina hii. Ngoja tuone na Chifu Hangaya nae atachukua hatua gani.
 
30 September 2021
Kasumbalesa
Mpakani mwa DR Congo na Zambia
na Nakonde Zambia

Zaidi wa malori 150 ya Tanzania pamoja na madereva wake wazuiwa kuendelea na safari yao baada ya kuvuka mpaka na makontena ya magogo toka nchini DR Congo. Tayari siku thelathini zimepita bila kupatikana ruhusa ya kuendelea na safari. Huku wengine pia wakisema wao wana siku 90 wamekwama nchini Zambia.

Madereva na wamiliki wa malori wamefanya juhudi kuwasiliana na ubalozi wa Tanzania mjini Lusaka Zambia na idara mbalimbali za serikali nyumbani Tanzania bila mafanikio.

Madereva hao wapo ktk kituo cha forodha mpakani nchini Zambia baada ya kuvuka na mzigo huo wenye nyaraka zote halali za mizigo na zinazoonesha wamiliki wa magogo ni wa Nchi DR Congo.

Maafisa wa forodha wa Zambia walidai kuwa magogo hayo ni ya kutoka nchini Zambia. Makontena yalifunguliwa na kufanyiwa uhakiki na kufungwa tena kwa seal lakini bado malori hayo ya Tanzania hayajaruhusiwa kuendelea na safari kuelekea bandari ya Dar es Salaam Tanzania.

Source : Global TV online

Si mlikuwa mnamsingizia Magufuri kuwa ana uhusiano na majirani? Sasahivi lawama mnamtwisha nani! maana mwenye kubebeshwa mabaya yote hayupo.Mwambieni Samia maana alituambia amefungua Nchi
 
Mwanzilishi wa hizi fitna ni Edgar Lungu tena kama si kosei ni kwenye miezi hii ya karibuni baada ya kupitisha sheria zao tata za kulinda maslahi ya nchi yao na watu wao.

Nadhani na sisi tunatakiwa tuwe na sheria za aina hii hii, za jino kwa jino. Magufuli alijitahidi sana kwenye sarakasi za aina hii. Ngoja tuone na Chifu Hangaya nae atachukua hatua gani.
Utasubiri sana
 
30 September 2021
Tunduma, Songwe

Mwenyekiti wa CHAWAMATA aomba serikali ingilie mgogoro

MADEREVA ZAIDI YA 200 WA MALORI WAKWAMA ZAMBIA NA CONGO.WAMLILIA RAIS SAMIA
Mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi wa malori Tanzania CHAWAMATA Bw. Abukakar Msangi aomba serikali iwasaidie madereva wa kiTanzania waliokwama nje ya nchi.

Madereva hao wamekwama kwa miezi 4 nchini Zambia hawawezi kuacha malori yenye thamani ya mamilioni ya shilingi pamoja na mzigo wa mteja. Wanadaiwa parking charges walipopaki magari hayo .Hawajalipwa mishahara kutokana na mvutano wa nchi hizo mbili yaani Zambia na DR Congo kila mmoja ikidai magogo ni Mali yake.
Source : Songwe TV 1
 
September 23, 2021
Lusaka, Zambia

Alert youths impound eight trucks allegedly loaded with illegal timber​

Traffic came to a standstill yesterday in Mongu town when youths intercepted eight container trucks suspected to be carrying illegal timber.

One of the aggrieved youths Eugene Kapatiso says the trucks were impounded around 17hours near Mongu round- about after a tip off from Kaoma Town where the trunks passed through.

Speaking on his colleagues behalf , Mr Kapatiso has appealed to President Hakainde Hichilema’s new dawn administration to ensure that the law visits those dealing in illegal timber.

The trucks bearing Namibian foreign number plates were in transit to Katimamulilo Border post in Sesheke District enroute to Namibia.

And Mongu Mayor Nyambe Matakala who rushed to the scene called for strict scrutiny of people behind the export of illegal timber.
Mr Matakala says Government has not yet lifted the ban on export of timber and wonders why people are still exporting it.

Meanwhile, Western Province Joint Operation Committee (PJOC) Chairperson Brigadier General Francis Chitambo has disclosed that the Mukula which is being transported is from the neighboring Democratic Republic of Congo ( DR-Congo) adding that the merchandise has the necessary documentation.

Mr Chitambo revealed this during a meeting held in the office of the Police Commissioner with the UPND leadership and some security wings in the area.

In the recent past, the country has recorded a number of scandals in the illegal timber trade where a few notable individuals have benefited at the expense of the general populace.

However, the new dawn government is committed to ensuring that the country does not record any further illegal trading in timber.

Source : Zambia : Alert youths impound eight trucks allegedly loaded with illegal timber
© Lusaka Times | All rights reserved.
 
Haikande Hichilema

30 September 2021
HAIKANDE HICHILEMA - NO TIMBER LICENSE FOR FOREIGNERS

Licences will go to Zambians , no timber licence for foreigners says President Haikande Hichilema of Zambia
Source : LITOVIA TV
 
Back
Top Bottom