Siasa za kujaza matumbo zinawasumbua CHADEMA mnawaza kurudi Bungeni maana mlishageuza ajira

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.

Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
 
Ndio maana wengi wao wanapigania wale covid19 wasitolewe wanalea marioo waliokosa ubunge na udiwani!
 
Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.

Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Una akili fupi sana kijana, waliokimbilia bila hata kupiwa kura, yaani kupita bila kupingwa akiwepo hadi Majaliwa, Nape, Tale, vp hawa walikuwa wanaenda kufagia huko bungeni?
Njaa iko kwa wabunge wote, ndio maana wengi wana madeni makubwa.

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Wabunge wote wapo pale kupiga hela. Ndio maana wakiomba ridhaa wajumbe huwa wanachukua chao mapema.

Wachache sana tena wanahesabika wapo pale kuweka kinga ya biashara zao na kutafuta tenda za miradi kwa kutengeneza connection za ofisi, idara, taasisi na mashirika ya serikali.
 
Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.

Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Kwani kuna dhambi gani? Hujui kuwa bungeni ndipo mahali muafaka pa kusukumia agenda? Hopeless thinking.
 
Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.

Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Unaweza kutuambia chochote kuhusu wabunge wa ccm wanaokula hizo posho na mishahara miaka yote hiyo? Wamelisaidia vipi taifa?
 
Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.

Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi

Punguza utoto dogo.
 
Kwenye mjengo wa bunge kibogoyo na majizi ya kura?
Bro hujasahau tu habari za 2020? Wananchi ndio waliamua. Kwa kuwa unatamani kurudi mjengoni jaribu tena 2025.
 
Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.

Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Idugunde the witch. Mfuate mume wako kuzimu umsaidie kukusanya kuni mbanikwe pamoja badala ya kulialia humu.
 
Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.

Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Ngoja afike Erythrocyte hapa.
 
Bro hujasahau tu habari za 2020? Wananchi ndio waliamua. Kwa kuwa unatamani kurudi mjengoni jaribu tena 2025.
Sijawahi hata kutamani uongozi ndani ya hii shithole country. Wananchi waliamua, au ni yule dhalimu aliyeko motoni ndio aliagiza uhayawani ule?
 
Back
Top Bottom