Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ngoja waamke kisha wawashe data waanze kukutolea povuKufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.
Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Tafsiri mbovu tu. Mzalendo namba moja hakuwa na ubaguzi wala ukabila
Mpumbavu anapoonesha ubora wa upumbavu wake ni hatari kwa hivi inaishia nchi gani he 2022 kulikuwepo na uchaguzi au uchaguzi?Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.
Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Kaka una uhakika na unayo yaongea?wamaanisha waziri Mkuu kuwa bungeni ni kujaza tumbo? Hebu chakatua unayo jiri kuyasema kabla hujasema.Maana tuna wabunge mmle.Kwahiyo nao wamefanya ni ajira kwa sababu ya kujaza matumbo Yao??Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.
Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
WAJINGA MNAONGEZEKA KWA KASI Inaonyesha ni AKILI NDOGO uliyonayo unashindwa kuelewa Chama cha Siasa lazima kiwe na WABUNGEKufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.
Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.
Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Mbona nyie hamtoki? Umesahau yule mbunge wenu aliyesema kuwa Yuko tayari hata kumwaga damu ila sio kupoteza Ubunge? Usiwe mwepesi kusahauKufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.
Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
ccm wao hawataki posho na mishahara???Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.
Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Naona mmeshaanza kuogopa 2025.Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.
Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Utawala wa JF pengine wafikirie kuanzisha jukwaa lingine jipya lililo mahususi kwa hoja ya kijinga na kipuuzi kama hii.Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.
Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Nyie mataahira wa Sukuma Gang siasa za majitaka zimeshapitwa na wakati zimezikwa kule ChatoKufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.
Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Jambazi sugu Sabaya ataozea jela Kwa ujambazi wakeNa ndio sababu ya wao kuunda kundi la kumkomoa Sabaya!
Maana Sabaya aliwatoa kwenye Reli kuanzia na mwenyekiti Mbowe!
Mhamiaji haramu hawezi kuwa mzalendoTafsiri mbovu tu. Mzalendo namba moja hakuwa na ubaguzi wala ukabila