Wenyewe wanakuja akina Mmawia na Lema wao!Ngoja tuone...
Ndio maana wengi wao wanapigania wale covid19 wasitolewe wanalea marioo waliokosa ubunge na udiwani!Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.
Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Una akili fupi sana kijana, waliokimbilia bila hata kupiwa kura, yaani kupita bila kupingwa akiwepo hadi Majaliwa, Nape, Tale, vp hawa walikuwa wanaenda kufagia huko bungeni?Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.
Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Kwani kuna dhambi gani? Hujui kuwa bungeni ndipo mahali muafaka pa kusukumia agenda? Hopeless thinking.Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.
Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Unaweza kutuambia chochote kuhusu wabunge wa ccm wanaokula hizo posho na mishahara miaka yote hiyo? Wamelisaidia vipi taifa?Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.
Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.
Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Narudia tena, punguza utoto dogo.Utoto gani hapo zaidi ya ukweli usiopingika
Unadhani hatujui mnavyohitaji kurudi mjengoni?
Idugunde the witch. Mfuate mume wako kuzimu umsaidie kukusanya kuni mbanikwe pamoja badala ya kulialia humu.Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.
Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Ngoja afike Erythrocyte hapa.Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.
Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Sijawahi hata kutamani uongozi ndani ya hii shithole country. Wananchi waliamua, au ni yule dhalimu aliyeko motoni ndio aliagiza uhayawani ule?Bro hujasahau tu habari za 2020? Wananchi ndio waliamua. Kwa kuwa unatamani kurudi mjengoni jaribu tena 2025.