Siasa za kuropoka chini ya kivuli cha CCM: Serikali kupata maswali magumu

Kwahiyo haupendi wananchi waambiwe ukweli wa kura zao, kumbuka mama aliwahi kusema "kura zenu wapeni upande ule lakini CCM ndiyo itakayounda serikiali".
 
Mbona mama naye aliwahi kusema hivyo, kura zenu wapeni upande ule lakini CCM ndiyo itakayounda serikali! Na Karume hivi karibuni aliwahi kusema kuwa CCM haijawahi kushinda uchaguzi Zanzibar. Kwa kauli hizi nani anamuhujumu nani!
 
 
Wote wanaotoa kauli tata wanashughulikiwa kwa mujibu wa mteule wao, ubaya ubwela
 
Nilichogundua ni kuwa yawezekana wakuu wa wilaya, Das ni watu wasiojulikana, yaani ili upate cheo hicho lazima utokee huko.
 
Magufuli impact.. Hayati Magufuli aliwaathiri watu wengi sana .sana sanaa..
Hadi watakasike sio leo. Tuwape muda
 
Laana ya damu za wapinzani walizomwaga huko maporini inawarudi wanajiropokea tu kama wamekunywa maji ya chooni.
 
Sasa DC akisema wenzangu, kama una akili timamu lazima utakuwa umeelewa ni akina nani hao wenzie!!

Lakini kama ni kundi Moja na akina Lucas, huwezi elewa!!
Ndo maana Lucas analilia teuzi kila siku kumbe kuna mambo wanayafanya nyuma ya pazia halafu wamemwacha anabamiza viporo na kung'olea mpunga majarubani huku Ruba wakimng'ang'ania
 
Nimefarijika sana na kauli iliyotolewa Leo na Chama cha Mqpinduzi kuwa kauli ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido (Mtenguliwa) siyo kauli ya Chama na kuwa CCM haipo tayari kuingia kwenye uchaguzi kwa njia za kubebwabebwa" mbeleko".

Hakika inatia matumani ila bado ipo haja ya kuwaangalia sana wanaoshika microphone kipindi hiki cha kampeni.
 
Wewe ulitaka wafiche mpk lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…