Siasa za Mafuta na Gesi: Uzberkistan inaanza kuibadili gesi asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na gesi ya LPG

Hizo ndiyo kazi za kisomi.
Unageuza ulichonacho kupata unachotaka.

Siyo mtu sayansi zimelala kichwani unashindana na kibajaji kupiga piga meza mbele Ndugai[emoji849]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kama Gas inaweza kutumika kama mbadala wa oil, haiihitaji akili nyingi kujua kwamba gas inamanufaa zaidi ikitumika kama ilivyo kuliko kuibadili kua oil.

Dunia ya leo binadamu anatakiwa aondokane na matumizi ya mafuta ili kuyaokoa mazingira. Kwa upande wa mazingira gas ndio chaguo zuri kuliko oil.

If you have a lot of gas akili ni kubadili mifumo yako itumie gas. Yaani ubadili gas kwa lengo la kupata diesel au petrol?
 
Mfano ukiibadili gari kutumia gesi hivyo vituo vya kujazia hiyo gesi mnavyo, unaijua gharama ya kujenga vituo vya kujaza gesi Tanzania nzima ni shilingi ngapi mkuu.
 
Hii ni hoja iliyojaa woga wa mabadiliko. Faida za kutumia gas zinazidi mbali hizo gharama unazozisema. Mfano mitambo inayotumia gas inadumu na ni more efficient zaidi ya ile inayotumia diesel au petrol.

Tanzania kuna bomba la crude oil linajengwa kutoka uganda kwenda ughaibuni. At least ungesema kiwanda cha kuchakata hiyo crude oil kijegwe hapa afrika mashariki.
 
Huku watu wananufaika sn kuagiza mafuta nje maana hata umeme umetushinda unapanda kila siku
 
Hii ni hoja iliyojaa woga wa mabadiliko. Faida za kutumia gas zinazidi mbali hizo gharama unazozisema. Mfano mitambo inayotumia gas inadumu na ni more efficient zaidi ya ile inayotumia diesel au petrol.

Tanzania kuna bomba la crude oil linajengwa kutoka uganda kwenda ughaibuni. At least ungesema kiwanda cha kuchakata hiyo crude oil kijegwe hapa afrika mashariki.
Nijibu haya maswali:
Unaweza kutumia gesi kwenye ndege?
Unaweza kutumia gesi kwenye meli?
Unaweza kutumia gesi kwenye magari makubwa?
Unaweza kutumia gesi kwenye heavy machines?
Unaweza kutumia gesi kama lubricant kwenye injini?
Ukinijibu hayo maswali basi gesi itakua valuable kuliko mafuta.
 
Mafuta ghafi ya kenya na uganda (kupitia tanzania) yanauzwa nje ya afrika, alafu hapohapo unasuggest kijegwe kiwanda cha kubadili gas ya mtwara kua mafuta ili kupunguza gharama za kuagiza mafuta kutoka nje ya afrika?
 
Back
Top Bottom