Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
-
- #21
Tatizo viongozi wetu hawapo tayari kwa maendeleo.Kwani sisi tunakwama wapi?
Cc. CCM
Viongozi hawana kiu ya maendeleo.Ccm na umasikini ni pacha
Toka lini mswahili akishiba akawa na akili.Mswahili mwenye akili ni yule mwenye njaaViongozi hawana kiu ya maendeleo.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Toka lini mswahili akishiba akawa na akili.Mswahili mwenye akili ni yule mwenye njaa
Kikwete rafiki zake ni wale jamaa wa macho madogo tu!Teknolojia nzima wanayo ndugu zetu hapo kwa MADIBA South Afrika.
Sio vibaya kwanza tupiganie kupiga makelele barabarani ni haki yetu. Gas to liquid itakuwa baadae mbele..Mkuu sisi ngoja kwanza tumalize kujenga sanamu,kuunda kamati za kuchunguza majanga mbalimbali na kuzindua tela la ng'ombe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hizo ndiyo kazi za kisomi.
Unageuza ulichonacho kupata unachotaka.
Siyo mtu sayansi zimelala kichwani unashindana na kibajaji kupiga piga meza mbele Ndugai[emoji849]
Tanzania yetu jamani watu wanaishi maisha ya shida kwa kukosa viongozi wabunifu na kiu ya maendeleo.Sio vibaya kwanza tupiganie kupiga makelele barabarani ni haki yetu. Gas to liquid itakuwa baadae mbele..
Kwani wewe ni kiongozi.Wengi wakipata madaraka usahau wa chini😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mkuu lakini mimi sina njaa. Mimi ni role model wa Elon Musk. Nadhani nitaishi hivyo.
Nitakua kiongozi kuisaidia serikali katika mambo ya uwekezaji ila mpaka nimalize kufanya mambo yangu.Kwani wewe ni kiongozi.Wengi wakipata madaraka usahau wa chini
Angalia usilewe mvinyo uwalevyao wengi wakipataNitakua kiongozi kuisaidia serikali katika mambo ya uwekezaji ila mpaka nimalize kufanya mambo yangu.
Mfano ukiibadili gari kutumia gesi hivyo vituo vya kujazia hiyo gesi mnavyo, unaijua gharama ya kujenga vituo vya kujaza gesi Tanzania nzima ni shilingi ngapi mkuu.Kama Gas inaweza kutumika kama mbadala wa oil, haiihitaji akili nyingi kujua kwamba gas inamanufaa zaidi ikitumika kama ilivyo kuliko kuibadili kua oil.
Dunia ya leo binadamu anatakiwa aondokane na matumizi ya mafuta ili kuyaokoa mazingira. Kwa upande wa mazingira gas ndio chaguo zuri kuliko oil.
If you have a lot of gas akili ni kubadili mifumo yako itumie gas. Yaani ubadili gas kwa lengo la kupata diesel au petrol?
Hii ni hoja iliyojaa woga wa mabadiliko. Faida za kutumia gas zinazidi mbali hizo gharama unazozisema. Mfano mitambo inayotumia gas inadumu na ni more efficient zaidi ya ile inayotumia diesel au petrol.Mfano ukiibadili gari kutumia gesi hivyo vituo vya kujazia hiyo gesi mnavyo, unaijua gharama ya kujenga vituo vya kujaza gesi Tanzania nzima ni shilingi ngapi mkuu.
Nijibu haya maswali:Hii ni hoja iliyojaa woga wa mabadiliko. Faida za kutumia gas zinazidi mbali hizo gharama unazozisema. Mfano mitambo inayotumia gas inadumu na ni more efficient zaidi ya ile inayotumia diesel au petrol.
Tanzania kuna bomba la crude oil linajengwa kutoka uganda kwenda ughaibuni. At least ungesema kiwanda cha kuchakata hiyo crude oil kijegwe hapa afrika mashariki.
Mafuta ghafi ya kenya na uganda (kupitia tanzania) yanauzwa nje ya afrika, alafu hapohapo unasuggest kijegwe kiwanda cha kubadili gas ya mtwara kua mafuta ili kupunguza gharama za kuagiza mafuta kutoka nje ya afrika?Nijibu haya maswali:
Unaweza kutumia gesi kwenye ndege?
Unaweza kutumia gesi kwenye meli?
Unaweza kutumia gesi kwenye magari makubwa?
Unaweza kutumia gesi kwenye heavy machines?
Unaweza kutumia gesi kama lubricant kwenye injini?
Ukinijibu hayo maswali basi gesi itakua valuable kuliko mafuta.