Mie mwenyewe naamini kama wewe Ecomically it doesn't sound.Inawezekana tatizo hapa ni lugha. I mean, kwa nini ugeuze gas iwe dizeli? Tayari una mafuta ya taa, kwa nini uchukue gas utengeneze mafuta ya taa mengine?
Nadhani unachosema ni CGD - City Gas Distribution - ambapo viwanda na taasisi kama barracks au hospitali, na watu wa kawaida.
Pia, magari kama ya mwendokasi au uber au bajaj zinabadilishiwa injini yake itumie gas badala ya dizeli au petroli. Gas is cheaper than dizeli than mafuta ta taa. Au sijakuelewa?
Kwahiyo hiyo nchi wanachokifanya ni hasara mkuu? Ww umewazidi akili Uzbekistan? Mkuu acha utani wabongo wengi huwa mnaishiaga kwenye ecomically does not sound na ndio sababu nchi haina viwanda ilishaharibu vyote hatuna chochote kwa kuwa na mawazo kama haya. Sasa kununua mafuta toka mataifa mengine ndio inasound economically. Alafu wanao zalisha hayo mafuta na kutuuzia Sisi wao economically haisound. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mie mwenyewe naamini kama wewe Ecomically it doesn't sound.
Umefanya hesabu ukaona hii itakuwa cheaper per barrel in comparison na petrol and by how much ? and if that increase is sufficient to incur the extra hassle ?Kiuchumi mkuu hakuna haja ya kujali energy inayopotea wakati wa kuprocess. Tunachoangalia ni value ya product tutakazo zipata, ambazo zikiingia sokoni, kwanza zitatupatia fedha nyingi tena kwa uharaka na pili zitakidhi mahitaji ya Watanzania hata wale wa kipato cha chini.
Mkuu umeshasikia Taifa Gas na kuona mitungi ya Taifa Gas au unadhani hio Taifa Gas ni nini (ni NPG) na sio LPG...Gesi asilia mpaka mtu wa kawaida aitumie panahitajika miundombinu ya maana. Mtu wa kipato cha kawaida kijijini huko hawezi kuingiza pipe ya gesi ya kupikia ndani mwake, hivyo ataendelea kuisikia kwenye bomba tu. Labda nikuulize wewe mwenyewe umewahi kuiona hiyo gesi tangia ianze kuzalishwa si huwa unaisikia kwenye bomba tu.
Taifa gas ni NPG ingawa hizo mihan na oryx ni LPG ambazo zinatokana na petrol (naam hata kwenye boda unaweza ukatumia NPG)Ili uitumie kupikia lazima iwe kwenye pipe tofauti na hizi gesi za LPG za akina Oryx na Mihani. Lakini tukiwa na mafuta hata bodaboda wa kijijini atayatumia.
Its easier to transport Liquid kuliko gas..., kwahio waliofanya hivyo watakuwa wamefanya upembuzi yakinifu huenda the costs of building pipes mpaka sokoni ni ngumu, kuna kitu kinaitwa opportunity costs.., sasa kama sisi tumeshaweka pipe na kufikisha gas mpaka Dar na tuna uwezo wa kuipeleka mpaka viwandani (consumers wakubwa) na hata majirani tunaweza kuweka pipe (sasa kwanini tuongeze gharama ili tupeleke kitu kile kile), ambacho tunakipeleka na tumeshakipeleka..., hata kwa watu kupika gas is more efficient kwenye kupika kuliko kerosene..., ingawa huenda kerosene kama ipo tayari ni rahisi kuisafirisha kuliko gas / ila kama una pipe hata usafirishaji wake unakuwa rahisi....Kwahiyo hiyo nchi wanachokifanya ni hasara mkuu? Ww umewazidi akili Uzbekistan? Mkuu acha utani wabongo wengi huwa mnaishiaga kwenye ecomically does not sound na ndio sababu nchi haina viwanda ilishaharibu vyote hatuna chochote kwa kuwa na mawazo kama haya. Sasa kununua mafuta toka mataifa mengine ndio inasound economically. Alafu wanao zalisha hayo mafuta na kutuuzia Sisi wao economically haisound. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Gesi hii tuliyonayo mtu wa Rukwa au mtu mwenye uchumi wa kawaida anaweza kupikia??? Nijibu hili swali. Niambie utamfikishiaje hii gesi tuliyonayo mtu wa Rukwa. Pia nijibu kama wewe unaitumia hapo nyumbani kupikia.Its easier to transport Liquid kuliko gas..., kwahio waliofanya hivyo watakuwa wamefanya upembuzi yakinifu huenda the costs of building pipes mpaka sokoni ni ngumu, kuna kitu kinaitwa opportunity costs.., sasa kama sisi tumeshaweka pipe na kufikisha gas mpaka Dar na tuna uwezo wa kuipeleka mpaka viwandani (consumers wakubwa) na hata majirani tunaweza kuweka pipe (sasa kwanini tuongeze gharama ili tupeleke kitu kile kile), ambacho tunakipeleka na tumeshakipeleka..., hata kwa watu kupika gas is more efficient kwenye kupika kuliko kerosene..., ingawa huenda kerosene kama ipo tayari ni rahisi kuisafirisha kuliko gas / ila kama una pipe hata usafirishaji wake unakuwa rahisi....
Natural Gas na yenyewe inaweza ikawekwa kwenye mitungi kama LPG., na suala la kupika gas is more efficient / cheaper kwa kupikia kuliko hata umeme, kwahio kwenye suala la gesi hata hio LPG (inayotokana na petroli) inabidi kupressurize kwenye hizo cyclinders ingawa weight for weight LPG ni nyepesi kuliko NPG...,Gesi hii tuliyonayo mtu wa Rukwa au mtu mwenye uchumi wa kawaida anaweza kupikia??? Nijibu hili swali. Niambie utamfikishiaje hii gesi tuliyonayo mtu wa Rukwa. Pia nijibu kama wewe unaitumia hapo nyumbani kupikia.
Sasa nadhani umepata majibu, NATURAL GAS ILI UITUMIE KUPIKIA NJIA PEKEE NI PIPELINE MOJA KWA MOJA HADI KWA MTEJA. Mteja muuza chips wa mtaani hawezi itumia gesi asilia.Natural Gas na yenyewe inaweza ikawekwa kwenye mitungi kama LPG., na suala la kupika gas is more efficient / cheaper kwa kupikia kuliko hata umeme, kwahio kwenye suala la gesi hata hio LPG (inayotokana na petroli) inabidi kupressurize kwenye hizo cyclinders ingawa weight for weight LPG ni nyepesi kuliko NPG...,
Ina maana hujui kwamba hata NPG inaweza kuwa pressurized kwenye cyclinders ?Sasa nadhani umepata majibu, NATURAL GAS ILI UITUMIE KUPIKIA NJIA PEKEE NI PIPELINE MOJA KWA MOJA HADI KWA MTEJA. Mteja muuza chips wa mtaani hawezi itumia gesi asilia.
Huu ndio utofauti wa LPG na gesi asilia.
Utofauti wa LPG zidi ya Gesi asilia (Natural Gas)
LPG na (Gesi Asilia) kikemikali ni gesi mbili tofauti.
Gesi Asilia (natural gas) ni methane (CH4) wakati LPG ni propane (C3H8) au butane (C4H10)
Kwenye LPG kuna kiwango kikubwa cha nishati (energy content) kuliko kwenye gesi asilia. Hivyo wakati wa kupika ukitumia LPG unatumia gesi kidogo kuliko ukitumia gesi asilia.
Heat content ya LPG ni 93.2MJ/m³ wakati heat content ya gesi asilia ni 38.7MJ/m³.
Ni rahisi kusambaza na kuuza LPG kwa kutumia silinda ndogo za gesi.
Lakini gesi asilia husambazwa kwa kutumia mabomba. Hivyo mtu ambaye hanauwezo wa kuafodi kuvuta bomba la gesi asilia nyumbani kwake hawezi kutumia gesi asilia.
Hivyo LPG ni bora zaidi kuliko gesi asilia na ni rahisi kumsambazia mteja hata wa hali ya chini huko kijijini sumbawanga.
LPG hata muuza chips wa mtaani anaitumia lakini muuza chips wa mtaani hawezi kufunga bomba la gesi asilia kwenye biashara hake.
Lakini gesi asilia inahitaji uchimbe bomba lingine hadi Sumbawanga ndipo iweze kumfikia mteja wa Sumbawanga.
Sasa ukiibadirisha gesi asilia kuwa mafuta mbalimbali kwanza utapata product zenye kiwango kikubwa cha nishati (energy content) ambazo zinazoweza kununulika na kila mtanzania na pia utapata na LPG ambayo unaweza kumsambazia hata mtanzania mwenye kipato cha chini huko Sumbawanga kwa kutumia chupa ya silinda utakayoipakia kwenye kenta tu.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
In short, methane is not stored in household tanks because the symmetry of its molecule makes it hard to liquify. You could in principle store methane in a tank in the gas state, but methane has such low density in the gas state that you could not store a usable amout.Natural Gas na yenyewe inaweza ikawekwa kwenye mitungi kama LPG., na suala la kupika gas is more efficient / cheaper kwa kupikia kuliko hata umeme, kwahio kwenye suala la gesi hata hio LPG (inayotokana na petroli) inabidi kupressurize kwenye hizo cyclinders ingawa weight for weight LPG ni nyepesi kuliko NPG...,
Unatumia pressure ya ngapi kwa ujazo wa ngapi mkuu.Ina maana hujui kwamba hata NPG inaweza kuwa pressurized kwenye cyclinders ?
Compressed natural gas is a fuel gas made of natural gas, which is mainly composed of methane (CH4), compressed to less than 1% of the volume it occupies at standard atmospheric pressure. It is stored and distributed in hard containers at a pressure of 20–25 MPa (2,900–3,600 psi), usually in cylindrical or spherical shapes.Unatumia pressure ya ngapi kwa ujazo wa ngapi mkuu.
Kwa hiyo pressure huwezi kupikia mkuu, hiyo pressure ni ya CNG kwaajili ya kutumia kwenye magari.Compressed natural gas is a fuel gas made of natural gas, which is mainly composed of methane (CH4), compressed to less than 1% of the volume it occupies at standard atmospheric pressure. It is stored and distributed in hard containers at a pressure of 20–25 MPa (2,900–3,600 psi), usually in cylindrical or spherical shapes.
CNG is used in traditional petrol/internal combustion engine vehicles that have been modified, or in vehicles specifically manufactured for CNG use: either alone (dedicated), with a segregated liquid fuel system to extend range (dual fuel), or in conjunction with another fuel (bi-fuel). It can be used in place of petrol (gasoline), diesel fuel, and liquefied petroleum gas (LPG). CNG combustion produces fewer undesirable gases than the aforementioned fuels. In comparison to other fuels, natural gas poses less of a threat in the event of a spill, because it is lighter than air and disperses quickly when released. Biomethane — refined biogas from anaerobic digestion or landfills — can be used.
Okay kwahio kwa ufupi LPG ni bora kama portable cooking gas kuliko NPG hivyo ni rahisi watu kupikia, na kule vijijini kufikishiwa (ila unasahau kwamba kule vijijini kama ni suala la kupika huenda ni more cheaper na efficient kuwa na biogas plants ili waweze kupikia (kama tunaamini vijijini ni wakulima na wafugaji that is practical kutengeneza small biogas containers kwa matumizi yao ya mapishi).Kwa hiyo pressure huwezi kupikia mkuu, hiyo pressure ni ya CNG kwaajili ya kutumia kwenye magari.
Inayotumika kupikia ni PNG.
Sio rahisi western countries tu wenye megawat za kutosha za umeme bado wanapikia gesi.Okay kwahio kwa ufupi LPG ni bora kama portable cooking gas kuliko NPG hivyo ni rahisi watu kupikia, na kule vijijini kufikishiwa (ila unasahau kwamba kule vijijini kama ni suala la kupika huenda ni more cheaper na efficient kuwa na biogas plants ili waweze kupikia (kama tunaamini vijijini ni wakulima na wafugaji that is practical kutengeneza small biogas containers kwa matumizi yao ya mapishi).
Hivyo basi hapo inabaki segment ya wapika chips sababu magari yanaweza kuwa accomodate na CNG na viwanda vinaweza kuwa accomodated na pipes.
Hivyo umeshafanya hesabu ukaona conversion ya hii kitu ili tu mwisho wa siku tupate LPG bei yake itakuwa ngapi tofauti na kuagiza hizo LPG direct ?, na soko is it justifiable kama tumeona hapa wapika chips na wapishi wa mijini baadhi ndio wanufaika (na hawa umepiga hesabu ni wangapi ambao sasa hivi wanatumia LPG) na je gharama ya ukishabadilisha bado utacompete na original LPG kwa soko la sasa ? (kumbuka hapa segment ni mapishi tu) na kama suala ni kupika huoni kwamba kama wanavyotwambia tukimaliza Bwawa tutakuwa na umeme wa kumwaga, kama units sikishuka sana bei huoni umeme unaweza kurudi kwenye chati katika kupika ?
Western countries wanapikia LPG ? , mfano mdogo UK wanakia natural gas through pipes, in fact Europe wanamtegemea sana Russia kwa gas, that's why its cheaper kwa wao kutokana na vyanzo alternative.Sio rahisi western countries tu wenye megawat za kutosha za umeme bado wanapikia gesi.
Yaani mkuu acha ujuaji ukiona nchi zilizokutangulia kiakili zinafanya hivyo vitu usidhani wao hawajafanya hizo hesabu unazozifanya. Huko wanakobadilisha ndiko uchumi unakoanzia.
Sasa hao wenzako wanatumia pipes mkuu. Hizo pipe unazozisema ww unazitumia. Gesi ipo hapo Dar ni watu wangapi wamemudu kuitumia hiyo gesi kwa njia ya pipe. Kaangalie uchumi wao ukoje.Western countries wanapikia LPG ? , mfano mdogo UK wanakia natural gas through pipes, in fact Europe wanamtegemea sana Russia kwa gas, that's why its cheaper kwa wao kutokana na vyanzo alternative.
Tukija sehemu kama USA kutokana na vyanzo vyao...., well nisongee mengi cheki hapo chini
Electricity is the most used power source for cooking in the US - Daily Energy Insider
Electricity is the most common fuel used for cooking, according to the Energy Information Administration’s Residential Energy Consumption Survey. The survey found that 74.9 million households – or 63 percent — use electricity for cooking. ... Read More »dailyenergyinsider.com
Sasa hapa kutokana na vyanzo vya umeme vya kutosha tena cheaper to run in long term (Hydro Electric Power) unadhani units zitabaki bei hii hii, au haujui sio miaka michache tu hapo nyuma electric stoves na cooker ndio zilikuwa habari ya mjini ?
Mkuu tunazunguka tu hapa..., haya mambo inabidi kuangalia opportunity costs na watumiaji wakubwa ni kina nani na options zilizopo ni zipi, kwahio watuamiaji wengine wote wanaweza kunufaishwa na gesi kama ilivyo in its natural form (viwanda na magari)..Sasa hao wenzako wanatumia pipes mkuu. Hizo pipe unazozisema ww unazitumia. Gesi ipo hapo Dar ni watu wangapi wamemudu kuitumia hiyo gesi kwa njia ya pipe. Kaangalie uchumi wao ukoje.
Kama tu kuingiza pipe ya maji nyumbani ni shida ni watanzania wangapi wataweza kuingiza pipe ya gesi.
Lakn hizo LPG hata watanzania wa hali ya chini wanatumia.
Kwa nini sisi hatufanyi hivi
Sasa unajichanganya, shooting yourself in the foot. Umesema mwenyewe Ulaya hutumia PNG (piped natural gas) kutoka Russia, Uzbekistan ndiyo Russia yenyewe? Kwa nini hawakuona umuhimu wa GTL.Sasa hao wenzako wanatumia pipes mkuu. Hizo pipe unazozisema ww unazitumia. Gesi ipo hapo Dar ni watu wangapi wamemudu kuitumia hiyo gesi kwa njia ya pipe. Kaangalie uchumi wao ukoje.
Nenda ukajifunze ZAMBIA ambao wanatengeneza hizo bidhaa zote nchini mwao na bado bei zipo chini kuliko hapa bongo kisha urudi nikupe elimu vizuri.Mkuu tunazunguka tu hapa..., haya mambo inabidi kuangalia opportunity costs na watumiaji wakubwa ni kina nani na options zilizopo ni zipi, kwahio watuamiaji wengine wote wanaweza kunufaishwa na gesi kama ilivyo in its natural form (viwanda na magari)..
Tunakuja watuamiaji waliobaki ambao unawaita wa majumbani (nao wana option ya kutumia hizo LPG) ambazo zipo tayari ingawa tunaziagiza (to Qoute Adam Smith - "Its a Maxim of every Prudent Master of a Family never to attempt to make at home what it will cost him more to make than to buy".