Siasa za majitaka: Watanzania tumefika huku?



Hawanaga akili hawa, kabisa. Na ujinga wa Hawa wajinga, they never succeed, watakwama milele.
 
Uislamu hauna shida Ila kuna wajinga wachache wanatumia dini hii kuwaingiza chaka wenzao hawa waislamu hawajaanza Leo kutumiwa na wanasiasa nakumbuka kipindi cha kikwete aliwaahidi kuwapa mahakama ya Kadhi na mwisho wa picha walishia kudanganywa..

Ukitaka kuwaweza waislamu watangazie kuwa wanaonewa
 
Haina mahusiano hii.
Fuatilia post zangu hazijawahi kudharau dini yoyote
Pointi kuu ni hii hapa,

Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.

iwe ni imani siasa au nini sijui ni matamshi yako.

Just my observation.
 
Rwanda kulianza hivi hiv, yaani mtu kama huyu alikuwa ni wa kunyongwa. Kuna haja gani ya kuingiza udini ?
Hawa watu wachunguzwe wengine washaongwa pesa kuja kututenganisha na kusababisha watu wachinjane
 
..huyu ametumwa na CCM kufanya hayo.

..fikiria kama angekuwa anatetea Upinzani kwa hoja za udini namna hiyo serikali na msajili wa vyama wangechukua hatua gani.

..CCM wanachotaka ni madaraka. hawajali wanayapata namna gani.

..Chadema ni tishio kwa watawala. Wangekuwa sio tishio, wasingeshambuliwa kwa mbinu chafu kama hizi.
 
Watakao mwelewa huyu jamaa ni wajinga magufuli alipingwa vikali na chadema pamoja na ukristo Wake
 
Huyu ni mjinga mmoja anayejiita alhaji Mwaipopo, mnyakyusa wa Kilosa. Ni wa kupuuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…