Siasa za majitaka: Watanzania tumefika huku?

Siasa za majitaka: Watanzania tumefika huku?

Kuna mstari flani kwenye kuamini dini ukiuvukaa bhasi jua UMEKUFA KIAKILI yani unaweza ambiwa kamuue mama yako utaenda kuchinja familia nzima...utaambiwa uzikwe ukiwa hai uende peponi utalala kimya ufukiwe na udongoo dini ikivuka mipaka ni hatarii sanaa..! watu wanauza nyumba za familia wapeleke sadaka...watu wanapokea mshahara wote wanapeleka kanisani kesho anaanza kukopa aishi.
Nimekuelewa mkuu na ndiyo maana utasikia kuwa kuna watu wamejilipua kwa mabomu
 
Amesema ukweli kabisa, ukweli wote.

Wakatoliki huwa wanaingia vitani sana akiwa Rais muislamu.

Magufuli kapiga watu risasi, wakatoliki kimyaaa, kazuia mikutano, wakatoliki kimyaaa, kazuia uhuri nchi nzima.

Sasa hivi mpaka wanasoma makaratasi yao ya kufungia maandazi makanisani, mambo ya hovyo kabisa tangu tupate uhuru
Mawazo yako na huyo tunaye mlaani hayana tofauti
 
Nimekuelewa mkuu na ndiyo maana utasikia kuwa kuna watu wamejilipua kwa mabomu
yule anejilipua na mabomu au kuua watu usimshangae mkuu yani ashasafishwa akili za kibinadamu kajazwaa chuki kupitia dini haogopi kitu kabisa..!!
 
Tukiacha unafiki wa kidini. Huyu mwamba ana zungumza uhalisia. Yupo sahihi
kwani tundu lisuu kina mbowe ni waislamu??? mbona walipitia joto ya jiwee enzi za magu?? wazee wa uamshoo jk si wamesotesha sana ndani kwani si waislamu?? ukisikiliza kitu tumia akili kitafakari usiwe zuzu..
 
yule anejilipua na mabomu au kuua watu usimshangae mkuu yani ashasafishwa akili za kibinadamu kajazwaa chuki kupitia dini haogopi kitu kabisa..!!
Hao watu wanaifanya dunia kuishi kwa uoga uliopitiliza na siyo maagizo ya mwenyezi Mungu.
 
kwani tundu lisuu kina mbowe ni waislamu??? mbona walipitia joto ya jiwee enzi za magu?? wazee wa uamshoo jk si wamesotesha sana ndani kwani si waislamu?? ukisikiliza kitu tumia akili kitafakari usiwe zuzu..
Ndiyo hao hao wanaotanguliza udini mbele badala ya undugu
 
Iwe ni imani au kutumiwa na wana siasa itabakia kuwa ni kutojitambua.

Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.

Tanzania huku tunako elekea siyo na hakufai kwa afya ya utulivu wa amani hapa nchini.

Watanzania tuyakatae matendo kama haya ya kutugawanya na kutuigiza kwenye machafuko.

Ukiona mbunzi juu ya mti ujue kapandishwa
 
Kwa mawazo haya sharti hamas aendelee kupigwa na israel mpaka kieleweke.
Kumbe chadema mlikosea sana kumpinga Magufuli.mlitakiwa Muunge mkono
kwa kila jambo ili msiende kinyume na mkristo mwenzenu.

Sishangai hii mbegu ilipandikizwa tangia enzi za mzee ruksa pale mnazi mmoja.
Tuliobaki kusimamia utaifa ni wakristo tuu.Huyu ndo katoa siri ni kwanini ACT na wafia tumbo wengine wanapinga maandamano.Mnisamehe nami nimesema ya moyoni,
 
Yeye na uoslamu wake awe makini hajui walioanzisha hiyo dini yake ni kina nani...
Alafu ccm kuna waislamu pekee mbona ccm inajifungamanisha na mapadri wachungaji au kisa rais muoslamu basi anaona kamaliza hajui wakatoliki ndio wameshikilia nchi huyu dogo ni mjinga hata waislamu wenye akili watampuuza
 
Njaa hiyo na hapo tayari keshavuta mpunga wake
Ila CCM wameishiwa hoja kweli kukodi mpumbavu kama huyu wakiamini ataishusha Chadema ni wendawazimu kabisa,alishindwa Magufuli aliyekuwa CIC ataweza huyu mpumbavu aliyedandia Uislam kwa mbele. Nakumbuka wakati ule anasilimu Waarabu walimshobokea sana lakini walikuja kumpa test ndogo akafeli walimcharaza viboko vya kufa mtu,eti leo CCM wamemuona jembe kuikabili Chadema. Bashite anafeli sana kwa mbinu hizi za kitoto.
 
Kwahiyo huyo anataka CCM wabaki waislamu tu? Hana akili kabisa
Ni mavi sana huyo SHEIKH na kama kuna muislam atamfuata nae ni takataka, na serikali kama ina enjoy fracture anayosababisha nayo ni takataka, TISS , polisi , wote nao ni takataka kama wanashindwa kuona huyo ana hatarisha usalama wa nchi.
 
Usiseme dini, sema ukristo. Uislam hauendeshwi kwa utashi wa mwanadamu.
Ndio mana hatupelekeshwi ovyo kama mnavofanya vituko huko makanisani
Kumbe moody alikuwa sio mwanadamu?🤣 Maana hakuna mwenye ushahidi alikuwa anaongea na malaika, ni muongo muongo tu yule mtunga story, fabricator. Ndio maana hamuwezi hoji, mnakemewa mkihoji.
 
Huna hoja kanawe miguu ulale maana naona una usingizi
Nakubaliana nawe, sina hoja(juu ya mada husika), lakini kikubwa, ninayo hoja dhidi yako. Nlikuwa nataka Jamii unayotaka kuishauri kuacha siasa za majitaka, ikuelewe, kwamba huna moral authority kuwaachia nasaha.

Wewe ni Binadamu wa aina gani unayefurumusha matusi na siasa za majitaka dhidi ya Jamii hiyo hiyo unayotaka iwakemee wengine?

Matusi yako, maneno yako hayana tofauti na maneno unayodai ni Majitaka.

Mmawia, naamini kwmba huna mamlaka ya kimaadili ya kudai kuwa "binadamu mwenye akili timamu hawezi kuzungumza/kuongea/ au kuandika maneno kama hayo mbele ya jamii inayomzunguka.

Wewe Mmawia umezungukwa na Jamii pana sana. Unawezaje kuwa unakuja na matusi, kejeli, na maneno mengine mengi tu, mfano kutukana Jamii nzima/kabila la Mtanzania na kulishusha na kuliita ni genge? How?

Vilevile, nadhani haikufai wewe Mmawia, kabisaaa, kuwanyooshea vidole wengine kwa kutumia maneno unayoyaita ni "majitaka".

How? Unawezaje kuwanyooshea vidole watu ambao umefanana nao?

Sasa nimeweka maneno (quotes) za maneno yako ambayo huwa ni kawaida kwako kutumia hapa mbele ya Jamii ya Watanzani. Wayaone.
 
Back
Top Bottom