Siasa za majitaka: Watanzania tumefika huku?

Iwe ni imani au kutumiwa na wana siasa itabakia kuwa ni kutojitambua.

Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.

Tanzania huku tunako elekea siyo na hakufai kwa afya ya utulivu wa amani hapa nchini.

Watanzania tuyakatae matendo kama haya ya kutugawanya na kutuigiza kwenye machafuko.View attachment 2876039
Hizi takataka zinatokeaga wapi?
 
Kwahiyo waislam wasichague CCM sababu inamaslahi nao? Anachoongea huyu mshenzi asipodhibitiwa basi katumwa na mamlaka. Magufuli na ukristo wake alipata tabu sana yani, tena kutoka kwa wakristo wenzie. Huyu mama tena watu wamemstahi wakidhani labda ana jipya.
 
Dah
 
Wambepo huyu.
 
..huyu ametumwa na CCM kufanya hayo.

..fikiria kama angekuwa anatetea Upinzani kwa hoja za udini namna hiyo serikali na msajili wa vyama wangechukua hatua gani.

..CCM wanachotaka ni madaraka. hawajali wanayapata namna gani.

..Chadema ni tishio kwa watawala. Wangekuwa sio tishio, wasingeshambuliwa kwa mbinu chafu kama hizi.
Na watamuacha aendelee kuongea ujinga wake huohuo pasipo kumshughulikia.
 
Kwahiyo waislam wasichague CCM sababu inamaslahi nao? Anachoongea huyu mshenzi asipodhibitiwa basi katumwa na mamlaka. Magufuli na ukristo wake alipata tabu sana yani, tena kutoka kwa wakristo wenzie. Huyu mama tena watu wamemstahi wakidhani labda ana jipya.
Kwahiyo huyo anataka CCM wabaki waislamu tu? Hana akili kabisa
 
Uislamu hauna shida Ila kuna wajinga wachache wanatumia dini hii kuwaingiza chaka wenzao hawa waislamu hawajaanza Leo kutumiwa na wanasiasa nakumbuka kipindi cha kikwete aliwaahidi kuwapa mahakama ya Kadhi na mwisho wa picha walishia kudanganywa..

Ukitaka kuwaweza waislamu watangazie kuwa wanaonewa
Lkn wajue kuwa dini ni silaha mbaya sana ktk kugawanya jamii hivyo inabidi itumike kwa nidhamu sana.
 
Back
Top Bottom