Hizi takataka zinatokeaga wapi?Iwe ni imani au kutumiwa na wana siasa itabakia kuwa ni kutojitambua.
Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.
Tanzania huku tunako elekea siyo na hakufai kwa afya ya utulivu wa amani hapa nchini.
Watanzania tuyakatae matendo kama haya ya kutugawanya na kutuigiza kwenye machafuko.View attachment 2876039
Kama nchi Kuna mahali tumeteleza. Huyu si Bure hapo kakalia vijisenti ili azungumze!!! Badala ya kufanya kazi tunafanya udalaliHuyu ni mgonjwa maana CCM kuna wakristo pia, yaani akili zake anaona Samia ndio CCM nzima.....hakuna mwanachama mwingine.
Kwahiyo waislam wasichague CCM sababu inamaslahi nao? Anachoongea huyu mshenzi asipodhibitiwa basi katumwa na mamlaka. Magufuli na ukristo wake alipata tabu sana yani, tena kutoka kwa wakristo wenzie. Huyu mama tena watu wamemstahi wakidhani labda ana jipya.Iwe ni imani au kutumiwa na wana siasa itabakia kuwa ni kutojitambua.
Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.
Tanzania huku tunako elekea siyo na hakufai kwa afya ya utulivu wa amani hapa nchini.
Watanzania tuyakatae matendo kama haya ya kutugawanya na kutuigiza kwenye machafuko.View attachment 2876039
DahIwe ni imani au kutumiwa na wana siasa itabakia kuwa ni kutojitambua.
Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.
Tanzania huku tunako elekea siyo na hakufai kwa afya ya utulivu wa amani hapa nchini.
Watanzania tuyakatae matendo kama haya ya kutugawanya na kutuigiza kwenye machafuko.View attachment 2876039
Wambepo huyu.Iwe ni imani au kutumiwa na wana siasa itabakia kuwa ni kutojitambua.
Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.
Tanzania huku tunako elekea siyo na hakufai kwa afya ya utulivu wa amani hapa nchini.
Watanzania tuyakatae matendo kama haya ya kutugawanya na kutuigiza kwenye machafuko.View attachment 2876039
Na watamuacha aendelee kuongea ujinga wake huohuo pasipo kumshughulikia...huyu ametumwa na CCM kufanya hayo.
..fikiria kama angekuwa anatetea Upinzani kwa hoja za udini namna hiyo serikali na msajili wa vyama wangechukua hatua gani.
..CCM wanachotaka ni madaraka. hawajali wanayapata namna gani.
..Chadema ni tishio kwa watawala. Wangekuwa sio tishio, wasingeshambuliwa kwa mbinu chafu kama hizi.
Kwahiyo huyo anataka CCM wabaki waislamu tu? Hana akili kabisaKwahiyo waislam wasichague CCM sababu inamaslahi nao? Anachoongea huyu mshenzi asipodhibitiwa basi katumwa na mamlaka. Magufuli na ukristo wake alipata tabu sana yani, tena kutoka kwa wakristo wenzie. Huyu mama tena watu wamemstahi wakidhani labda ana jipya.
...ndio majitaka yenyewe hayo. Mkuu wetu Mmawia alikuwa anamgaragaza Dk. Slaa.Aliyepokea vipande 30 vya pesa ni mbowe na kumuuzia chama lowasa
Haya. Umeshinda kwa hoja.Ukikosa hoja unaleta vihoja.
Yeye anamtukuza mbowe ni kuuficha uchafu alioufanya 2015 na kumpaka matope Dr slaa...ndio majitaka yenyewe hayo. Mkuu wetu Mmawia alikuwa anamgaragaza Dk. Slaa.
Wacha nimuache anapoint yake.
Lkn wajue kuwa dini ni silaha mbaya sana ktk kugawanya jamii hivyo inabidi itumike kwa nidhamu sana.Uislamu hauna shida Ila kuna wajinga wachache wanatumia dini hii kuwaingiza chaka wenzao hawa waislamu hawajaanza Leo kutumiwa na wanasiasa nakumbuka kipindi cha kikwete aliwaahidi kuwapa mahakama ya Kadhi na mwisho wa picha walishia kudanganywa..
Ukitaka kuwaweza waislamu watangazie kuwa wanaonewa