Siasa za majitaka: Watanzania tumefika huku?

Rwanda kulianza hivi hiv, yaani mtu kama huyu alikuwa ni wa kunyongwa. Kuna haja gani ya kuingiza udini ?
Hawa watu wachunguzwe wengine washaongwa pesa kuja kututenganisha na kusababisha watu wachinjane
Nakuunga mkono mkuu watu kama hawafai kuvumiliwa kuendelea kuigawa jamii yetu
 
Punguwani hilo
 
Hii anazungumzia siasa au dini?
 
Shida wenye hiyo Dini Wana inferiority sana,Kila kitu wanaonewa tu,Sisi Waislamu tunafanywa hivi,mara raisi muislamu n.k Katika Historia ya Ulimwengu huu Dini ndio zimemwaga damu za watu wengi kuliko chochote kile.Dini ni upumbavu.
Hongera sana kwa maoni mazuri.
 
Huyu ni kenge tu wala sio muislamu hata kidogo....
 
Kuna mstari flani kwenye kuamini dini ukiuvukaa bhasi jua UMEKUFA KIAKILI yani unaweza ambiwa kamuue mama yako utaenda kuchinja familia nzima...utaambiwa uzikwe ukiwa hai uende peponi utalala kimya ufukiwe na udongoo dini ikivuka mipaka ni hatarii sanaa..! watu wanauza nyumba za familia wapeleke sadaka...watu wanapokea mshahara wote wanapeleka kanisani kesho anaanza kukopa aishi.
 
Amesema ukweli kabisa, ukweli wote.

Wakatoliki huwa wanaingia vitani sana akiwa Rais muislamu.

Magufuli kapiga watu risasi, wakatoliki kimyaaa, kazuia mikutano, wakatoliki kimyaaa, kazuia uhuri nchi nzima.

Sasa hivi mpaka wanasoma makaratasi yao ya kufungia maandazi makanisani, mambo ya hovyo kabisa tangu tupate uhuru
 
Huyu amelewa akili siyo yake
 
Tukiacha unafiki wa kidini. Huyu mwamba ana zungumza uhalisia. Yupo sahihi
 
Katumwa na Mwenyekiti wa Taifa huyo.

Kauli kama hizi zinafurahisha vyombo vya ulinzi na usalama wa nchi. Hautakaa uone ubaguzi huu wa wazi ukikemewa na sheria za nchi yetu. Lakini dai katiba mpya unaweza kuamkia kuzimu kesho yake
 
Usiseme dini, sema ukristo. Uislam hauendeshwi kwa utashi wa mwanadamu.
Ndio mana hatupelekeshwi ovyo kama mnavofanya vituko huko makanisani
 
Uhuru wa maoni huo... akienda huko kijiji kwa kijiji, atapambana na wanachadema waislam , sasa hapo ndio muziki utaanzia, na akishindwa kucheza atatoka nje ya uwanja wa siasa... sijui hawa akina Mwaipopo reasoning yao waliipata toka shuke gani au mwalimu wao alikuwa ni nani? Ana reasoning ndogo sana inayosababisha nijiulize waalimu wake walikuwa na uwezo gani katika kumjengea fikra mbadara za future... tuna kazi sana kama hawa ndio think tank ya dini yetu pendwa Tanzania.
 
[emoji1787][emoji1787] Hapo ndio ccm imefikia kama chama. Atawapata waliokuwa brainwashed na dini kama yeye.
Ccm mwisho watatuingiza kwenye chuki zisizo na msingi wowote kisa madaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…