Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
ndioomaana tunaambiwa tujue kuzi control hasira zetuUnajua maana ya hulka?Na,je,umeshawahi kumuona binadamu akichukia?
Ulishawahi kujua kuzikontroo hisia zako?ndioomaana tunaambiwa tujue kuzi control hasira zetu
Hoja yangu ya msingi hapo ni hoja hujibiwa kwa hoja na sio kwa lugha ya matusi hizo ni siasa zakitotoUlishawahi kujua kuzikontroo hisia zako?
Jamani mh waziri si katoa ufafanuzi alikuwa anatania tuMatusi sio tatizo, kuibiana kura na kuuziana kesi za kisiasa ndio sio poa
Kabisa, ulimbukeni na ushamba ni tatizoMda mwingine ni ushamba tuu na ulimbukeni
Hulka ya mtu utaiziba au kuifunika na blanketi?Hoja yangu ya msingi hapo ni hoja hujibiwa kwa hoja na sio kwa lugha ya matusi hizo ni siasa zakitoto
We mwenyewe tukikwambia umekosea unahisi umetukanwa.Siasa sio uadui ni ushindani na hamasa ya kuchochea maendeleo, inashangaza kuona mwanasiasa anazungumza jukwaani mpaka mishipa inataka kupasuka. Siasa ni ushindani wa hoja . Kutumia lugha ya matusi kunafifisha jumbe uliyokusudia kwa jamii
Kutoka kwa Raia mwema nisiyefungamana na chama chochote Moto wa volcano
Yaah ni hayo tu...Kabisa, ulimbukeni na ushamba ni tatizo
Ni ngumu kuizuia hulka ya mtu ila naamini tukijengeana uelewa itasaidia kuelimishanaHulka ya mtu utaiziba au kuifunika na blanketi?
Tuwe wakweli bwana , wewe na mimi tunafahamu yanayoendelea jukwaani kwa wanasiasa wengi, tunashuudia majibizano ya maneno makali yasiyo na lugha ya staha kitu ambacho sio kizuriWe mwenyewe tukikwambia umekosea unahisi umetukanwa.
Tatizo lina kuja ni kwamba ukweli au kukoselewa ni tusi. Je ukitukanwa utasema ni nini?
Kwakweli ni tatizoYaah ni hayo tu...
Kupigwa kwenye mishonoTuwe wakweli bwana , wewe na mimi tunafahamu yanayoendelea jukwaani kwa wanasiasa wengi, tunashuudia majibizano ya maneno makali yasiyo na lugha ya staha kitu ambacho sio kizuri
Kuliweka neno kwenye kundi la matusi bado inategemea eneo,mpokeaji,mtoaji na tafsiri ya wakati.Tuwe wakweli bwana , wewe na mimi tunafahamu yanayoendelea jukwaani kwa wanasiasa wengi, tunashuudia majibizano ya maneno makali yasiyo na lugha ya staha kitu ambacho sio kizuri
Fuatilia midahalo ya kisiasa ya mataifa ya wenzetu , wanasiasa wapomakini sana kuwasilisha hoja zinazoeleza watawafanyia nini wananchi na sio kushambuliana kwa matusiKupigwa kwenye mishono
Ikitokea wewe umetukanwa utalipokeaje ?Kuliweka neno kwenye kundi la matusi bado inategemea eneo,mpokeaji,mtoaji na tafsiri ya wakati.