Sanyambila
JF-Expert Member
- Jan 24, 2018
- 378
- 510
HABARI!!!!
Mimi binafsi nafuatilia saaana siasa za Mbeya Tangu enzi za Akina Mpesya siasa za Mbeya zinavutia saana, Nafikiri kila Chama sasa kinajipanga ili kuchukua hatamu jijini Mbeya ni miaka kumi sasa Tangu upinzani kuchukua Jimbo hilo.
CCM inajipanga kurudisha Jimbo hilo kwa udi na Uvumba sasa wote wanaonekana kuwania jimbo hilo hawa watatu,ndani ya CCM
1.DR. TULIA ACKSON - Huyu ameonesha harakati zake mapema akija na mkakati wa kusaidia akina mama na vijana kupita Tulia Trust Foundation huyu amejipanga. Je, anafaaa kwa wanaMbeya kuwa mbunge wao?
2.Dr. MARY MWANJERWA - Huyu ni mzawa wa Mbeya Jijini na ndo anajivunia zaidi na faida ya uzawa huyu ni mjukuu wa Mzee Mwanjerwa ambaye alikaa hapo Mbeya na Sehemu hiyo kuitwa Jina lake mpaka sasa sehemu ya wajanja wa Mbeya inaitwa Mwanjerwa na panazalisha zaidi ya 800.M kwa mwezi.
3.MC.MWAKIPESILE - Huyu ni kada wa CCM siku nyingi na amekuwa MC wa mikutano mikubwa ya chama na Serikali ziara mheshimiwa Rais, mawaziri, wakuu wa Mikoa na mikutano ya dini amekuwa chachu ya maendeleo jijini Mbeya.
Je, Hawa wote wataweza kumng'oa Huyu anayejiita AU wanamwita Rais wa Mbeya, Jongwe, Sugu, Joseph Mbilinyi (Mbunge)?
Maoni yako, unazijuaje siasa za Mbeya kuelekekea 2020, nini kinaendelea Mbeya tupe uonavyo, usikiayo na ufikiriavyo
Naomba kuwasilisha.