Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HABARI!!!!
Mimi binafsi nafuatilia saaana siasa za Mbeya Tangu enzi za Akina Mpesya siasa za Mbeya zinavutia saana, Nafikiri kila Chama sasa kinajipanga ili kuchukua hatamu jijini Mbeya ni miaka kumi sasa Tangu upinzani kuchukua Jimbo hilo.
CCM inajipanga kurudisha Jimbo hilo kwa udi na Uvumba sasa wote wanaonekana kuwania jimbo hilo hawa watatu,ndani ya CCM
1.DR. TULIA ACKSON - Huyu ameonesha harakati zake mapema akija na mkakati wa kusaidia akina mama na vijana kupita Tulia Trust Foundation huyu amejipanga. Je, anafaaa kwa wanaMbeya kuwa mbunge wao?
2.Dr. MARY MWANJERWA - Huyu ni mzawa wa Mbeya Jijini na ndo anajivunia zaidi na faida ya uzawa huyu ni mjukuu wa Mzee Mwanjerwa ambaye alikaa hapo Mbeya na Sehemu hiyo kuitwa Jina lake mpaka sasa sehemu ya wajanja wa Mbeya inaitwa Mwanjerwa na panazalisha zaidi ya 800.M kwa mwezi.
3.MC.MWAKIPESILE - Huyu ni kada wa CCM siku nyingi na amekuwa MC wa mikutano mikubwa ya chama na Serikali ziara mheshimiwa Rais, mawaziri, wakuu wa Mikoa na mikutano ya dini amekuwa chachu ya maendeleo jijini Mbeya.
Je, Hawa wote wataweza kumng'oa Huyu anayejiita AU wanamwita Rais wa Mbeya, Jongwe, Sugu, Joseph Mbilinyi (Mbunge)?
Maoni yako, unazijuaje siasa za Mbeya kuelekekea 2020, nini kinaendelea Mbeya tupe uonavyo, usikiayo na ufikiriavyo
Naomba kuwasilisha.
Kama vipi tuonane KABWE muda huuWe utakuwa unaish makongorosi chunya
HahahahahahahaahaKama vipi tuonane KABWE muda huu
na nipo tayar kumuonyesha kwangu Mimi hata ukiwa KABWE stendi ukiita Chizzo naskia nikiwa getho alafu..MTU Wa ileje ndani ndani anajifanya Wa mjiniHahahahahahahaaha
nimeamini kweli mbeya hamuijui hiyo makongorosi na lupa zipo mkoa Wa songwe siyo mbeyaMakongorosi karibu, atakuwa wa Lupa Tingatinga!!
Akili ya fenesi kabisa, kwa jina hilo la kipoyoyo lazima ni mpiga debe au msajili line kwa njia ya vidolena nipo tayar kumuonyesha kwangu Mimi hata ukiwa KABWE stendi ukiita Chizzo naskia nikiwa getho alafu..MTU Wa ileje ndani ndani anajifanya Wa mjini
Platinum inakuumiza roho? Kwa hiyo unataka kila mtu aijue Mbeya? Nani kakwambia kwamba nimesema Lupa Tingatinga ipo Mbeya? Unajibu swali ambalo hujaulizwa? Mimi baba yako wa Kambo kamuulize mama atakuambia kwa kuwa kimbunga kilimpitianimeamini kweli mbeya hamuijui hiyo makongorosi na lupa zipo mkoa Wa songwe siyo mbeya
Hakika wewe platinum member ni KÀMASI
Huenda kitakachotekea huko ni kile cha ukonga mwaka juzi
na nipo tayar kumuonyesha kwangu Mimi hata ukiwa KABWE stendi ukiita Chizzo naskia nikiwa getho alafu..MTU Wa ileje ndani ndani anajifanya Wa mjini
na nipo tayar kumuonyesha kwangu Mimi hata ukiwa KABWE stendi ukiita Chizzo naskia nikiwa getho alafu..MTU Wa ileje ndani ndani anajifanya Wa mjini
Sawa mume wake,Mbeya tunaenda na Tulia Ackson iwe jua au mvua. Huyu atatuletea maendeleo wana mbeya. Mambo ya ushabiki sasa hivi hatutaki tunahitaji mbeya yenye maendeleo
Wewe ndo hujui siyo hakuna nikutaarifu TU kuanzia Cross way hapa ni nyumba za watu kuja kwenye ghorofa MPYA ya machemba sehemu zote hizo mpaka blue house ni nyumba za watu sasa sijui Kama mbeya unaijua weweKabwe stendi hakuna nyumba za makazi ya watu
Wewe ndo hujui siyo hakuna nikutaarifu TU kuanzia Cross way hapa ni nyumba za watu kuja kwenye ghorofa MPYA ya machemba sehemu zote hizo mpaka blue house ni nyumba za watu sasa sijui Kama mbeya unaijua wewe
Wewe ni pimbi nini?kwani kuleta maendeleo mpaka awe mbunge?mbona hadi sasa ni mbunge wa kunyenyuliwa,alishaleta maendeleo gani!au kuwapanga foleni kutwa nzima pale kwenye ofisi yake uyole akina mama waliochoka kutwa nzima wakisubili msaada wa elfu tatu nayo nimaendeleo,au kuwapigisha ngoma za asili kinanama wasiojitambua nayo nimaendeleo?kwa nini asiende kwao Tukuyu kusaidia wasiojiweza?Mbeya tunaenda na Tulia Ackson iwe jua au mvua. Huyu atatuletea maendeleo wana mbeya. Mambo ya ushabiki sasa hivi hatutaki tunahitaji mbeya yenye maendeleo
Kiccm Tulia hawezi mshinda Mc Mwakipesile anajulikana na ana jina kubwa zaidi litakalomtuliza tulia.Bila msaada wa polisi tulia amwezi sugu kwani alishajizika kisiasa mbele ya lile jeneza,sugu ukubalika na vijana tulia na kina mamaKama unaishi mbeya kweli utajua wazi kuwa sugu hatoweza kumtikisa Tulia