Uchaguzi 2020 Siasa za Mbeya: Hapa Mary Mwanjelwa, Huku Tulia Ackson, kule MC Mwakipesile ndani ya CCM, CHADEMA J. Mbilinyi a.k.a SUGU

HABARI!!!!
Mimi binafsi nafuatilia saaana siasa za Mbeya Tangu enzi za Akina Mpesya siasa za Mbeya zinavutia saana, Nafikiri kila Chama sasa kinajipanga ili kuchukua hatamu jijini Mbeya ni miaka kumi sasa Tangu upinzani kuchukua Jimbo hilo.

CCM inajipanga kurudisha Jimbo hilo kwa udi na Uvumba sasa wote wanaonekana kuwania jimbo hilo hawa watatu,ndani ya CCM

1.DR. TULIA ACKSON - Huyu ameonesha harakati zake mapema akija na mkakati wa kusaidia akina mama na vijana kupita Tulia Trust Foundation huyu amejipanga. Je, anafaaa kwa wanaMbeya kuwa mbunge wao?

2.Dr. MARY MWANJERWA - Huyu ni mzawa wa Mbeya Jijini na ndo anajivunia zaidi na faida ya uzawa huyu ni mjukuu wa Mzee Mwanjerwa ambaye alikaa hapo Mbeya na Sehemu hiyo kuitwa Jina lake mpaka sasa sehemu ya wajanja wa Mbeya inaitwa Mwanjerwa na panazalisha zaidi ya 800.M kwa mwezi.

3.MC.MWAKIPESILE - Huyu ni kada wa CCM siku nyingi na amekuwa MC wa mikutano mikubwa ya chama na Serikali ziara mheshimiwa Rais, mawaziri, wakuu wa Mikoa na mikutano ya dini amekuwa chachu ya maendeleo jijini Mbeya.

Je, Hawa wote wataweza kumng'oa Huyu anayejiita AU wanamwita Rais wa Mbeya, Jongwe, Sugu, Joseph Mbilinyi (Mbunge)?

Maoni yako, unazijuaje siasa za Mbeya kuelekekea 2020, nini kinaendelea Mbeya tupe uonavyo, usikiayo na ufikiriavyo

Naomba kuwasilisha.
Mimi naamini Mary Mwanjelwa yuko vizuri zaidi maana mwenyewe umesema ni mzaliwa wa pale toka babu na mababu. Kwa vyovyote vile anajua matatizo ya watu wa Mbeya. Halafu kumbukumbu zinaonesha kuwa, licha ya kuwa ni mbunge wa viti maalum CCM lakini pia ni diwani kama sijakosea. Baadhi ya wakazi wanasema 2020 wanataka Mary abebe mikoba bungeni kupitia jukwaani.
 
Miongoni mwa sababu zilipelekea ccm kupoteza baadhi ya majimbo ni chama kupasuka kwa kumpitisha mgombea asie takiwa,na mbeya inaweza tokea

Kama alivyo sugu huwa ni sugu kweli,,na anajua kupangua figisufigisu za ccm mwisho wa siku anashinda,
Hicho ni kisingizio cha rahisi sana , bali ukweli unaofahamika ni kwamba ccm imechokwa nchi nzima , hata waungane kwa minyororo ya chuma katika hao waliotajwa hapa hakuna anayeweza kupata kura hata nusu tu ya atakazopata Sugu
 
HABARI!!!!
Mimi binafsi nafuatilia saaana siasa za Mbeya Tangu enzi za Akina Mpesya siasa za Mbeya zinavutia saana, Nafikiri kila Chama sasa kinajipanga ili kuchukua hatamu jijini Mbeya ni miaka kumi sasa Tangu upinzani kuchukua Jimbo hilo.

CCM inajipanga kurudisha Jimbo hilo kwa udi na Uvumba sasa wote wanaonekana kuwania jimbo hilo hawa watatu,ndani ya CCM

1.DR. TULIA ACKSON - Huyu ameonesha harakati zake mapema akija na mkakati wa kusaidia akina mama na vijana kupita Tulia Trust Foundation huyu amejipanga. Je, anafaaa kwa wanaMbeya kuwa mbunge wao?

2.Dr. MARY MWANJERWA - Huyu ni mzawa wa Mbeya Jijini na ndo anajivunia zaidi na faida ya uzawa huyu ni mjukuu wa Mzee Mwanjerwa ambaye alikaa hapo Mbeya na Sehemu hiyo kuitwa Jina lake mpaka sasa sehemu ya wajanja wa Mbeya inaitwa Mwanjerwa na panazalisha zaidi ya 800.M kwa mwezi.

3.MC.MWAKIPESILE - Huyu ni kada wa CCM siku nyingi na amekuwa MC wa mikutano mikubwa ya chama na Serikali ziara mheshimiwa Rais, mawaziri, wakuu wa Mikoa na mikutano ya dini amekuwa chachu ya maendeleo jijini Mbeya.

Je, Hawa wote wataweza kumng'oa Huyu anayejiita AU wanamwita Rais wa Mbeya, Jongwe, Sugu, Joseph Mbilinyi (Mbunge)?

Maoni yako, unazijuaje siasa za Mbeya kuelekekea 2020, nini kinaendelea Mbeya tupe uonavyo, usikiayo na ufikiriavyo

Naomba kuwasilisha.

1. Hawa wote wanalenga kuwatumikia wananchi toka moyoni au kutuliza njaa?

2. Kama lengo ni kuwatumikia wananchi kwanini wale wa byumba moja wasiafikiane kumwachia mwanafamilia mmoja?
 
Tulia hawezi shindwa mbeya. Kwa hali na mali.

Kuna changamoto hapo! Akisimama Dr Tulia kwenye kura za maoni CCM inaweza kumpitisha ila kwa Sugu anaweza kupata kipigo. Mary Mwanjelwa sioni kama ana nafasi pamoja na eneo la Mwanjelwa kuasisiwa na Babu yake. Halafu Mary ni mke wa watu wa Mara!
Huyo MC ndio yule Bonge? Aendelee tu na u MC wake.
Naona Sugu akipambana na Dr Tulia. Swali ni je Naibu Spika akipata kipigo kwenye sanduku la kura itakuwaje?
 
Wewe ni pimbi nini?kwani kuleta maendeleo mpaka awe mbunge?mbona hadi sasa ni mbunge wa kunyenyuliwa,alishaleta maendeleo gani!au kuwapanga foleni kutwa nzima pale kwenye ofisi yake uyole akina mama waliochoka kutwa nzima wakisubili msaada wa elfu tatu nayo nimaendeleo,au kuwapigisha ngoma za asili kinanama wasiojitambua nayo nimaendeleo?kwa nini asiende kwao Tukuyu kusaidia wasiojiweza?
Punguza jazba mkuu oct 2020 utaelewa nilichoandika. Sibishani na punguani mimi
 
Wasafwa Na Wakinga Ndo Wataamua Nan Awe Mbunge Wa Mbeya Mjini Ila Uchaguz Ukiwa Huru! Kwa Mabavu TULIA anapita!Nipo Nzovwe Now Naelekea Stend Kuu!
 
Kama hakuna wizi Sugu atawatandika wote, nachokiona Mbeya ni mapenzi ya Wananchi wengi kwa Sugu, nimemekuona nawasikiliza watu haswa akina mama na wasichana wao wanakula kwa Naibu S, na kulala kwingine
Utafiti Wako Umefanyia Wap?Au Na Wewe Ni Wa Kabwe?Au Uyole.Jiji La Mbeya Ni Zaidi Ya Unavoifahamu Mwanjelwa!!
 
HABARI!!!!
Mimi binafsi nafuatilia saaana siasa za Mbeya Tangu enzi za Akina Mpesya siasa za Mbeya zinavutia saana, Nafikiri kila Chama sasa kinajipanga ili kuchukua hatamu jijini Mbeya ni miaka kumi sasa Tangu upinzani kuchukua Jimbo hilo.

CCM inajipanga kurudisha Jimbo hilo kwa udi na Uvumba sasa wote wanaonekana kuwania jimbo hilo hawa watatu,ndani ya CCM

1.DR. TULIA ACKSON - Huyu ameonesha harakati zake mapema akija na mkakati wa kusaidia akina mama na vijana kupita Tulia Trust Foundation huyu amejipanga. Je, anafaaa kwa wanaMbeya kuwa mbunge wao?

2.Dr. MARY MWANJERWA - Huyu ni mzawa wa Mbeya Jijini na ndo anajivunia zaidi na faida ya uzawa huyu ni mjukuu wa Mzee Mwanjerwa ambaye alikaa hapo Mbeya na Sehemu hiyo kuitwa Jina lake mpaka sasa sehemu ya wajanja wa Mbeya inaitwa Mwanjerwa na panazalisha zaidi ya 800.M kwa mwezi.

3.MC.MWAKIPESILE - Huyu ni kada wa CCM siku nyingi na amekuwa MC wa mikutano mikubwa ya chama na Serikali ziara mheshimiwa Rais, mawaziri, wakuu wa Mikoa na mikutano ya dini amekuwa chachu ya maendeleo jijini Mbeya.

Je, Hawa wote wataweza kumng'oa Huyu anayejiita AU wanamwita Rais wa Mbeya, Jongwe, Sugu, Joseph Mbilinyi (Mbunge)?

Maoni yako, unazijuaje siasa za Mbeya kuelekekea 2020, nini kinaendelea Mbeya tupe uonavyo, usikiayo na ufikiriavyo

Naomba kuwasilisha.

HABARI!!!!
Mimi binafsi nafuatilia saaana siasa za Mbeya Tangu enzi za Akina Mpesya siasa za Mbeya zinavutia saana, Nafikiri kila Chama sasa kinajipanga ili kuchukua hatamu jijini Mbeya ni miaka kumi sasa Tangu upinzani kuchukua Jimbo hilo.

CCM inajipanga kurudisha Jimbo hilo kwa udi na Uvumba sasa wote wanaonekana kuwania jimbo hilo hawa watatu,ndani ya CCM

1.DR. TULIA ACKSON - Huyu ameonesha harakati zake mapema akija na mkakati wa kusaidia akina mama na vijana kupita Tulia Trust Foundation huyu amejipanga. Je, anafaaa kwa wanaMbeya kuwa mbunge wao?

2.Dr. MARY MWANJERWA - Huyu ni mzawa wa Mbeya Jijini na ndo anajivunia zaidi na faida ya uzawa huyu ni mjukuu wa Mzee Mwanjerwa ambaye alikaa hapo Mbeya na Sehemu hiyo kuitwa Jina lake mpaka sasa sehemu ya wajanja wa Mbeya inaitwa Mwanjerwa na panazalisha zaidi ya 800.M kwa mwezi.

3.MC.MWAKIPESILE - Huyu ni kada wa CCM siku nyingi na amekuwa MC wa mikutano mikubwa ya chama na Serikali ziara mheshimiwa Rais, mawaziri, wakuu wa Mikoa na mikutano ya dini amekuwa chachu ya maendeleo jijini Mbeya.

Je, Hawa wote wataweza kumng'oa Huyu anayejiita AU wanamwita Rais wa Mbeya, Jongwe, Sugu, Joseph Mbilinyi (Mbunge)?

Maoni yako, unazijuaje siasa za Mbeya kuelekekea 2020, nini kinaendelea Mbeya tupe uonavyo, usikiayo na ufikiriavyo

Naomba kuwasilisha.

Umefika wakati Wanambeya kubadilisha mgombea toka chama chochote na kwa hawa uliowataja basi DR. TULIA anaweza kufaa kwa Maendeleo ya wana Mbeya.

Huyo mtu usipime ni Mashine nyingine serikalini kwa sisi tuliobahatika kufanya nae kazi.

Tujivunie kwa sasa kuwa tutampata MTU mwingine mwenye maono makubwa kwa Mkoa wa Mbeya baada ya Prof Mwandosya.

Sugu tumpongeze kwa aliyoyafanya hadi alipofikia sasa tumepata jembe lingine Dr. Tulia Ackson.
 
Tulia alikuwa wapi siku zote, njaa ndo inayo msumbua, yeye nimsomi mimi naamini kijiji chao wengi wao ni masikini sizani kama amewai kupeleka kitabu kwenye shule kijijini pao, kabla hajachaguliwa kuwa naibu speaker sizani kama ameshawai fika mbeya, ila kwasabubu anataka ubunge anafanya yote hayo apo mjini, kwa moyo safi kabisa angeanza na kwao uko kijiji kuliko kuja town, wasaidie watu wakwenu kwanza kama yeye nikiongozi anaetaka maendeleo, sijui CCM itabadilika lini.
Jamani sio kila kitu cha kushangilia kwababu ni kijani. Kweli rais kwa sehem yake anajitaidi Mungu azidi kumtunza ili tuzidi ona mengi ambayo hatukutegea kuyaona, ila vijana vijana wa CCM badilikikeni basi sio kila kitu nyie ni ndio kwa sababu fulani kasema kunavingine ni hapana.
Tusefanye vitu kwa masilai ya chama tu bali kwa ajili ya taifa na watoto zetu miaka 100 mbele
 
Platinum inakuumiza roho? Kwa hiyo unataka kila mtu aijue Mbeya? Nani kakwambia kwamba nimesema Lupa Tingatinga ipo Mbeya? Unajibu swali ambalo hujaulizwa? Mimi baba yako wa Kambo kamuulize mama atakuambia kwa kuwa kimbunga kilimpitia
wacha maneno kimbunga unatoa dozi...😂😂😁😁
 
Wewe ni pimbi nini?kwani kuleta maendeleo mpaka awe mbunge?mbona hadi sasa ni mbunge wa kunyenyuliwa,alishaleta maendeleo gani!au kuwapanga foleni kutwa nzima pale kwenye ofisi yake uyole akina mama waliochoka kutwa nzima wakisubili msaada wa elfu tatu nayo nimaendeleo,au kuwapigisha ngoma za asili kinanama wasiojitambua nayo nimaendeleo?kwa nini asiende kwao Tukuyu kusaidia wasiojiweza?
we choko tulia kafanya mambo mengi huku mjini yanayo gusa jamii moja kwa moja acha ulofa
 
HABARI!!!!
Mimi binafsi nafuatilia saaana siasa za Mbeya Tangu enzi za Akina Mpesya siasa za Mbeya zinavutia saana, Nafikiri kila Chama sasa kinajipanga ili kuchukua hatamu jijini Mbeya ni miaka kumi sasa Tangu upinzani kuchukua Jimbo hilo.

CCM inajipanga kurudisha Jimbo hilo kwa udi na Uvumba sasa wote wanaonekana kuwania jimbo hilo hawa watatu,ndani ya CCM

1.DR. TULIA ACKSON - Huyu ameonesha harakati zake mapema akija na mkakati wa kusaidia akina mama na vijana kupita Tulia Trust Foundation huyu amejipanga. Je, anafaaa kwa wanaMbeya kuwa mbunge wao?

2.Dr. MARY MWANJERWA - Huyu ni mzawa wa Mbeya Jijini na ndo anajivunia zaidi na faida ya uzawa huyu ni mjukuu wa Mzee Mwanjerwa ambaye alikaa hapo Mbeya na Sehemu hiyo kuitwa Jina lake mpaka sasa sehemu ya wajanja wa Mbeya inaitwa Mwanjerwa na panazalisha zaidi ya 800.M kwa mwezi.

3.MC.MWAKIPESILE - Huyu ni kada wa CCM siku nyingi na amekuwa MC wa mikutano mikubwa ya chama na Serikali ziara mheshimiwa Rais, mawaziri, wakuu wa Mikoa na mikutano ya dini amekuwa chachu ya maendeleo jijini Mbeya.

Je, Hawa wote wataweza kumng'oa Huyu anayejiita AU wanamwita Rais wa Mbeya, Jongwe, Sugu, Joseph Mbilinyi (Mbunge)?

Maoni yako, unazijuaje siasa za Mbeya kuelekekea 2020, nini kinaendelea Mbeya tupe uonavyo, usikiayo na ufikiriavyo

Naomba kuwasilisha.
Adui mkubwa wa CCM mbeya ni CCM wenyewe na wala siyo Mh. Sugu. Ubinafsi, ukabila na unafiki wa viongozi hao utakaomfanya Mh. Sugu aendelee kuwa rais wa jimbo hilo kwani wazee walisema 'vita ya panza ni sherehe kwa kunguru'
 
HABARI!!!!
Mimi binafsi nafuatilia saaana siasa za Mbeya Tangu enzi za Akina Mpesya siasa za Mbeya zinavutia saana, Nafikiri kila Chama sasa kinajipanga ili kuchukua hatamu jijini Mbeya ni miaka kumi sasa Tangu upinzani kuchukua Jimbo hilo.

CCM inajipanga kurudisha Jimbo hilo kwa udi na Uvumba sasa wote wanaonekana kuwania jimbo hilo hawa watatu,ndani ya CCM

1.DR. TULIA ACKSON - Huyu ameonesha harakati zake mapema akija na mkakati wa kusaidia akina mama na vijana kupita Tulia Trust Foundation huyu amejipanga. Je, anafaaa kwa wanaMbeya kuwa mbunge wao?

2.Dr. MARY MWANJERWA - Huyu ni mzawa wa Mbeya Jijini na ndo anajivunia zaidi na faida ya uzawa huyu ni mjukuu wa Mzee Mwanjerwa ambaye alikaa hapo Mbeya na Sehemu hiyo kuitwa Jina lake mpaka sasa sehemu ya wajanja wa Mbeya inaitwa Mwanjerwa na panazalisha zaidi ya 800.M kwa mwezi.

3.MC.MWAKIPESILE - Huyu ni kada wa CCM siku nyingi na amekuwa MC wa mikutano mikubwa ya chama na Serikali ziara mheshimiwa Rais, mawaziri, wakuu wa Mikoa na mikutano ya dini amekuwa chachu ya maendeleo jijini Mbeya.

Je, Hawa wote wataweza kumng'oa Huyu anayejiita AU wanamwita Rais wa Mbeya, Jongwe, Sugu, Joseph Mbilinyi (Mbunge)?

Maoni yako, unazijuaje siasa za Mbeya kuelekekea 2020, nini kinaendelea Mbeya tupe uonavyo, usikiayo na ufikiriavyo

Naomba kuwasilisha.

Kama hawatahesabu kura walizopiga wananchi basi Tulia anaweza kuwa Mnunge wa Mbeya Mjini 2020, lakini kama ni kwa kuhesabu kura sioni namna ya watu wa Mbeya Mjini kumpa kura kwa sababu ziduatazo;
1. Mfumo dume; bado watu wa Mbeya hawaamini katika wawakikishi wanawake.

2. Kukosa mvuto; kwa kweli Mh Tulia ana sura ya kilioni. Kama wana Mbeya Mjini wataambiwa wachague kati ya Mary Mwanjelwa au Tulia Ackson, atashinda Mary Mwanjelwa kwa 90% hata bila kutoa senti tano. Mary ana mvuto!!

3. Tulia siyo mwenyeji wa Mbeya Mjini; hilo peke yake linaleta shida. Kwa nini asigombee kwao Busokelo?

4. Mwenendo wake bungenj kama naibu spika; pamoja na kisomo chake cha uana sheria ameonekana ni mtu ambaye yuko tayari kumtumikia kiongozi mkuu kukandamiza haki za wabunge walio chaguliwa na wananchi.

5. Vyanzo vya fedha za misaada; je anapata wapi hizo hela anazotoa misaada kwenye vikundi mbali mbali na je atawalipa nini hao wanaompa hiyo misaada?

6. Kuanza kampeni mapema; ana dalili zote za kuwa ameanza kampeni mapema na ameushika uongozi wa CCM wilaya na Mkoa

7. Mashindano ya ngoma za utamaduni ; siamini kama ndicho wana Mbeya wanataka
 
Niko mbeya nina wiki sasa tangu nije, mbeya imebadilika kiukweli kimuonekano, sugu na baraza lao wamejipanga wakapangika.Napenda niwapongeze chadema na wana mbeya kwa kuituliza mbeya.Nimeona Tulia kaanzisha Trust nafikiri makao kaweka Uyole.Kwa ninavyoona bado mpambano Ni mzito.labda wamnyime sugu fomu ya kugombea kama walivyoanza kufanya kwa baadhi ya wagombea Wa upinzani kwenye serikali za mitaa...
 
Wasafwa Na Wakinga Ndo Wataamua Nan Awe Mbunge Wa Mbeya Mjini Ila Uchaguz Ukiwa Huru! Kwa Mabavu TULIA anapita!Nipo Nzovwe Now Naelekea Stend Kuu!
Najaribu kuhojiana Na RAIA, wengine wanasema kuna etieti jimbo kugawanywa Mara 2 ili kumpa nafasi tulia ajaribu bahati yake.kiukweli nimeona ccm Na chadema bado wana nguvu mbeya...
 
Back
Top Bottom