Uchaguzi 2020 Siasa za Mbeya: Hapa Mary Mwanjelwa, Huku Tulia Ackson, kule MC Mwakipesile ndani ya CCM, CHADEMA J. Mbilinyi a.k.a SUGU

Mchuano hapo ni jongwe na Dada tulia ila tukieka goli la mkono pembeni sugu atapita tena kwa kura nyingi ila wasi wasi wangu tulia anaenda kugombea kwa sababu huenda akawa na support ya vyombo vyetu pendwa na goli LA mkono juu
 
Kama hakuna wizi Sugu atawatandika wote, nachokiona Mbeya ni mapenzi ya Wananchi wengi kwa Sugu, nimemekuona nawasikiliza watu haswa akina mama na wasichana wao wanakula kwa Naibu S, na kulala kwingine
 
nimeamini kweli mbeya hamuijui hiyo makongorosi na lupa zipo mkoa Wa songwe siyo mbeya
Hakika wewe platinum member ni KÀMASI
Platinum inakuumiza roho? Kwa hiyo unataka kila mtu aijue Mbeya? Nani kakwambia kwamba nimesema Lupa Tingatinga ipo Mbeya? Unajibu swali ambalo hujaulizwa? Mimi baba yako wa Kambo kamuulize mama atakuambia kwa kuwa kimbunga kilimpitia
 
na nipo tayar kumuonyesha kwangu Mimi hata ukiwa KABWE stendi ukiita Chizzo naskia nikiwa getho alafu..MTU Wa ileje ndani ndani anajifanya Wa mjini


Kabwe stendi hakuna nyumba za makazi ya watu
 
na nipo tayar kumuonyesha kwangu Mimi hata ukiwa KABWE stendi ukiita Chizzo naskia nikiwa getho alafu..MTU Wa ileje ndani ndani anajifanya Wa mjini


Kabwe stendi hakuna nyumba za makazi ya watu
 
Kabwe stendi hakuna nyumba za makazi ya watu
Wewe ndo hujui siyo hakuna nikutaarifu TU kuanzia Cross way hapa ni nyumba za watu kuja kwenye ghorofa MPYA ya machemba sehemu zote hizo mpaka blue house ni nyumba za watu sasa sijui Kama mbeya unaijua wewe
 
Wewe ndo hujui siyo hakuna nikutaarifu TU kuanzia Cross way hapa ni nyumba za watu kuja kwenye ghorofa MPYA ya machemba sehemu zote hizo mpaka blue house ni nyumba za watu sasa sijui Kama mbeya unaijua wewe


Naijua
 
Angalieni historia ya jimbo la Mbeya hasa hapo mjini, je wamewahi kuwa na Mbunge mwanamama? Toka enzi za Mponda John Alli [ vijana hamumjui huyu alikuwa mbunge wa Mbeya baada ya uhuru] mpaka wa jana wakina Mpesya jimbo hilo ni la BANYAMBALA!!!!
 
Mbeya tunaenda na Tulia Ackson iwe jua au mvua. Huyu atatuletea maendeleo wana mbeya. Mambo ya ushabiki sasa hivi hatutaki tunahitaji mbeya yenye maendeleo
Wewe ni pimbi nini?kwani kuleta maendeleo mpaka awe mbunge?mbona hadi sasa ni mbunge wa kunyenyuliwa,alishaleta maendeleo gani!au kuwapanga foleni kutwa nzima pale kwenye ofisi yake uyole akina mama waliochoka kutwa nzima wakisubili msaada wa elfu tatu nayo nimaendeleo,au kuwapigisha ngoma za asili kinanama wasiojitambua nayo nimaendeleo?kwa nini asiende kwao Tukuyu kusaidia wasiojiweza?
 
Wanambeya mjini ni sawa na wanyalukolo wa mjini wao huwa walishamchagua wamtake hata miaka 5 nyuma huwa awachaguliwi na polisi mbunge wamtakae.Siasa za Mbeya na Iringa ni sawa thus Chalamila kapelekwa Mbeya na Happy kapelekwa Iringa nadhani ndio ma rc watakaotumbuliwa kwa kushindwa kuipa ccm majimbo hayo
 
Kama unaishi mbeya kweli utajua wazi kuwa sugu hatoweza kumtikisa Tulia
Kiccm Tulia hawezi mshinda Mc Mwakipesile anajulikana na ana jina kubwa zaidi litakalomtuliza tulia.Bila msaada wa polisi tulia amwezi sugu kwani alishajizika kisiasa mbele ya lile jeneza,sugu ukubalika na vijana tulia na kina mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…