Uchaguzi 2020 Siasa za Mbeya: Hapa Mary Mwanjelwa, Huku Tulia Ackson, kule MC Mwakipesile ndani ya CCM, CHADEMA J. Mbilinyi a.k.a SUGU

hao fisi wooote umiwaelezea status zao na harakati zao kuonyesha ukadawako wa FISIEM ulipofika kwa RAIS WA MBEYA ukapata kigugumizyee mara anajiita mara wanamwita.... sasa hio ndio status ya RAIS WA MBEYA au ukada ndo unakusumbua?
 
Hata akiwa tulia hakuna jipya watafanya hao ccm.Uchaguzi huru na haki Sugu bado anabeba.
 
Wasafwa Na Wakinga Ndo Wataamua Nan Awe Mbunge Wa Mbeya Mjini Ila Uchaguz Ukiwa Huru! Kwa Mabavu TULIA anapita!Nipo Nzovwe Now Naelekea Stend Kuu!
Ni aibu kubwa kwa mtanzania wa leo kuzungumza habari za wasafwa na wakinga.
Hiki siyo kitu cha kujivunia na nadhani hiki kimekuwa kikikwaza maendeleo yenu.
 
 
Msimfananishe sugu na vitu vya kijinga
 
Kura za maoni 20/7. Jibu litapatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…